Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
- Thread starter
- #21
Mazoezi gani mkuu?Fanya mazoezi 😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mazoezi gani mkuu?Fanya mazoezi 😀
Don't take things very seriouslyHuyu nae great thinker
Haha hahahNa hilo nalo mkalitazame.
Mkuu fanya mazoezi unaonekana una #Obesity japo sijakufanyia assessmentView attachment 2453416
Mimi ni handsome sana, mitaani kote wananisifu. Hata wanawake wananiambiaga. Lakini hawaachi kunikosoa tumbo langu hadi nimeanza kujichukia.
Kwa kweli nakosa sana raha, namtongoza msichana ananiambia na huo mtumbo wako kama umemeza kifaru cha jeshi ntakupeleka wapi mimi?
Six pack sio kwamba sijawahi kuwa nazo, nilikuwa nazo ila nikapata binti wa Kizaramo, asubuhi ananipa chai kikombe kimoja na andazi moja. Mchana hatuli anasema tubane matumizi.
Usiku anapika wali, maharage, nyama, mchicha, dagaa wa bukubuku, miguu ya kuku na supu ya mapupu inakuwepo.
Anasema kwanini tulale na njaa? Tunalala tukiwa tumeshiba sana hadi tunashindwa kupumua.
Tunajambiana huku tukikoroma, wachawi kila siku wanakuja kutukaba kwasababu ya kutuonea wivu mavitu tunayokula la kulala tukiwa tumeshiba matumbo ndiii.
Sasa wachawi wakanionea wivu six packs zangu, wakanuroga nimepata kitambi, sina six packs tena nina mtumbo mkubwa ambao ni single pack.
Mzaramo wangu ananiambia kwao Maneromango kuna mganga anaweza kunitoa hiki kitambi ambacho ni kama nina mpira wa madaso, au kinyengo au chandimu ndani ya tumbo.
Nimemkatalia nimemwambia JF kuna watalaam wa kila sekta.
Wanamitindo wenzangu, naombeni ushauri ili fashenista mwenzenu nirudie utanashati wangu.
To yeye, mzabzab, Baba Swalehe , Mwifwa naamini mtanisaidia
Nafanya mazoezi milimaniMkuu fanya mazoezi unaonekana una #Obesity japo sijakufanyia assessment
Mazoezi kama
i) Kukimbia 5 miles per hr
ii) Kuendesha baiskeli kwa 10 miles per hour
😃
iii) aerobics unaeza try
Pia mkuu ounguza kutumia muda mwingi ku-browse internet, kucheza video gemu na kuangalia TV badala yake uutumie muda mwingi kujishughulisha hasa na mazoez ya viungo yaan usikae bure bure tu
Kuna mtu pia kanishauri nitafute nyama ya kiboko, inakata sana uzito kwasababu yenyewe ukiipika inaeleaBadala ya nyama hizi unaeza tumia maharage na samaki kama mbadala wa protini pia si maanishi uache hapana nyama ni nzuri ila kula kwa kiasi
Dona ya madukani naiogopa sana. Huyu Mzaramo wangu yeye anasema kichwa chake ni kidogo, hawezi kujitwisha mahindi kwenda kusaga mashineni, kichwa chake kitapasuka.Tukija swala diet
Nimefatilia thred zako zinaonesha ni mtu wa pombe mno
i) Punguza au acha kabisa pombe kama unataka kitambi kipotee
ii) Punguza nyama choma, michemsho hii sio ujanja badala yake kula mboga mboga za majani zifanye ziwe your main dish
iii) Matunda kama mapapai, maembe ,machungwa yawe ndo ur best friends,
iii) Pendelea kula vyakula vya nafaka ambazo hazijakobolewa
Ila most usisahau kuushughulisha mwili
Mbona tembo hali nyama lakini kibonge?Fat has more calories almost 7kcal thus consuming more fat dish make you to gain weght
On other side Vegetables and fruits has fiber and fiber has no calories thus consuming them at any amoint has no negative efdects insted has many benefits like
I) Relieve constipation (Fruits and vegetables)
ii) Reduce blood sugar lever and blood cholesterol (beans , peas)
iii) They prevent colorectal cancer (Fruits and vegetables)
Natumaini umejifunza kidogo ,😊
Kwani wewe ni mnyama??Mbona tembo hali nyama lakini kibonge?
Hivi nikisema nifunge kula, wiki nzima nisile kitu wala kunywa, niwe nakunywa red wine tu ile ya kanisani iliyoombewa na Padre si kitambi kinaweza kuroweka kabisa?Fat zipo aina tatu
i) Soluble fat hizi unazipata kwa vyakula jamii ya wanyama kama nyama, cheese,maziwa,l
ii)nsoluble fat unazipata kwa mimea kama na kwa njia ya vimiminika (Sunflower oil, camola oil.)
iii) Trans fat unazipata from burned and fried items like keki, chips hizi
Soluble and Trans fat ndo kipengele sasa
Kama shilingi ngapi?Hicho mbona poa tu,, afu sio kikubwa kiivo, uwe na hela tu apo watakuja wenyewe!
Aah kwan huna watoto au wasaidizi? Dona mbona easy tu hata mashineni unaeza enda direct unapataDona ya madukani naiogopa sana. Huyu Mzaramo wangu yeye anasema kichwa chake ni kidogo, hawezi kujitwisha mahindi kwenda kusaga mashineni, kichwa chake kitapasuka.
Kuhusu pombe kuna m'babu mmoja anaitwa Asprin, kaniambia kaenda migombani kuwachanja ma eksi gelofrendi chanjo maalum, akirudi tukutane naye Family Bar pale Tegeta, hatua chache kutoka Kibo Mall. Mimi akinunua ntakunywa soda tu, ila nitashika li K Vant nipige nalo picha
Naomba ufafanuzi kidogo hapa. Habits na behaviour zinaninenepeshaje?4)Habits
5)Behavior
Kama soda 1, sawa na kilo moja ya sukari.Aah kwan huna watoto au wasaidizi? Dona mbona easy tu hata mashineni unaeza enda direct unapata
Soda pia sio nziri mkuu soda moja unaeza pata hata kg 1 ya sukari hii unayochemshia chai
More Water less Soda