Kitambi kimeharibu muonekano wangu, wadada hawanitaki tena

Kitambi cha kawaida kabisa hicho.
 
Mkuu fanya mazoezi unaonekana una #Obesity japo sijakufanyia assessment

Mazoezi kama
i) Kukimbia 5 miles per hr
ii) Kuendesha baiskeli kwa 10 miles per hour
πŸ˜ƒ

iii) aerobics unaeza try
Pia mkuu ounguza kutumia muda mwingi ku-browse internet, kucheza video gemu na kuangalia TV badala yake uutumie muda mwingi kujishughulisha hasa na mazoez ya viungo yaan usikae bure bure tu
 
Tukija swala diet

Nimefatilia thred zako zinaonesha ni mtu wa pombe mno

i) Punguza au acha kabisa pombe kama unataka kitambi kipotee
ii) Punguza nyama choma, michemsho hii sio ujanja badala yake kula mboga mboga za majani zifanye ziwe your main dish

iii) Matunda kama mapapai, maembe ,machungwa yawe ndo ur best friends,

iii) Pendelea kula vyakula vya nafaka ambazo hazijakobolewa


Ila most usisahau kuushughulisha mwili
 
Badala ya nyama hizi unaeza tumia maharage na samaki kama mbadala wa protini pia si maanishi uache hapana nyama ni nzuri ila kula kwa kiasi
 
Nafanya mazoezi milimani
 
Dona ya madukani naiogopa sana. Huyu Mzaramo wangu yeye anasema kichwa chake ni kidogo, hawezi kujitwisha mahindi kwenda kusaga mashineni, kichwa chake kitapasuka.

Kuhusu pombe kuna m'babu mmoja anaitwa Asprin, kaniambia kaenda migombani kuwachanja ma eksi gelofrendi chanjo maalum, akirudi tukutane naye Family Bar pale Tegeta, hatua chache kutoka Kibo Mall. Mimi akinunua ntakunywa soda tu, ila nitashika li K Vant nipige nalo picha
 
Mbona tembo hali nyama lakini kibonge?
 
Fat zipo aina tatu
i) Soluble fat hizi unazipata kwa vyakula jamii ya wanyama kama nyama, cheese,maziwa,l

ii)nsoluble fat unazipata kwa mimea kama na kwa njia ya vimiminika (Sunflower oil, camola oil.)

iii) Trans fat unazipata from burned and fried items like keki, chips hizi

Soluble and Trans fat ndo kipengele sasa
 
Hivi nikisema nifunge kula, wiki nzima nisile kitu wala kunywa, niwe nakunywa red wine tu ile ya kanisani iliyoombewa na Padre si kitambi kinaweza kuroweka kabisa?
 
Aah kwan huna watoto au wasaidizi? Dona mbona easy tu hata mashineni unaeza enda direct unapata

Soda pia sio nziri mkuu soda moja unaeza pata hata kg 1 ya sukari hii unayochemshia chai

More Water less Soda
 
Aah kwan huna watoto au wasaidizi? Dona mbona easy tu hata mashineni unaeza enda direct unapata

Soda pia sio nziri mkuu soda moja unaeza pata hata kg 1 ya sukari hii unayochemshia chai

More Water less Soda
Kama soda 1, sawa na kilo moja ya sukari.
Sukari kilo moja ni shilingi 3000, soda 700.
Hawa watengeneza soda lazima ni ma freemasonry. Watakuwa wanatumia sukari ya kuzimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…