ngakotecture
JF-Expert Member
- Dec 30, 2014
- 2,569
- 2,847
bora iyo K vant kuliko soda bujibujiDona ya madukani naiogopa sana. Huyu Mzaramo wangu yeye anasema kichwa chake ni kidogo, hawezi kujitwisha mahindi kwenda kusaga mashineni, kichwa chake kitapasuka.
Kuhusu pombe kuna m'babu mmoja anaitwa Asprin, kaniambia kaenda migombani kuwachanja ma eksi gelofrendi chanjo maalum, akirudi tukutane naye Family Bar pale Tegeta, hatua chache kutoka Kibo Mall. Mimi akinunua ntakunywa soda tu, ila nitashika li K Vant nipige nalo picha
Sawa brobora iyo K vant kuliko soda bujibuji
Kunyosha mkono ndo mazoez???? Hauko siryaz,,,, nakwambia huo mkitambi utafumuka mpaka vishkizo vya shati vikatike[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nafanya mazoezi milimani
View attachment 2453624
"Soda pia sio nziri mkuu soda moja unaeza pata hata kg 1 ya sukari hii unayochemshia chai"Aah kwan huna watoto au wasaidizi? Dona mbona easy tu hata mashineni unaeza enda direct unapata
Soda pia sio nziri mkuu soda moja unaeza pata hata kg 1 ya sukari hii unayochemshia chai
More Water less Soda
Yaani kunywa soda moja ni sawa na kula sukari kilo moja?Aah kwan huna watoto au wasaidizi? Dona mbona easy tu hata mashineni unaeza enda direct unapata
Soda pia sio nziri mkuu soda moja unaeza pata hata kg 1 ya sukari hii unayochemshia chai
More Water less Soda
Yaani mtumbo wangu utakuwa unabembea nje ya shati?Kunyosha mkono ndo mazoez???? Hauko siryaz,,,, nakwambia huo mkitambi utafumuka mpaka vishkizo vya shati vikatike
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hayo mayai hayakujazi gesi tumboni?hayakukinai?nilikua nafululiza kula mayai ya kukaanga, 6+ kila siku, baada ya miezi 3 naona kitumbo ichoo kimechomoza, na kinaendelea kuchomoza
nilistop nikawa nayachemsha, wiki kadhaa kikapotea
naungana na comment #33 Oils/Fats
Punguza kula michembe,maparachichi,supusupu na furu.ππππView attachment 2453416
Mimi ni handsome sana, mitaani kote wananisifu. Hata wanawake wananiambiaga. Lakini hawaachi kunikosoa tumbo langu hadi nimeanza kujichukia.
Kwa kweli nakosa sana raha, namtongoza msichana ananiambia na huo mtumbo wako kama umemeza kifaru cha jeshi ntakupeleka wapi mimi?
Six pack sio kwamba sijawahi kuwa nazo, nilikuwa nazo ila nikapata binti wa Kizaramo, asubuhi ananipa chai kikombe kimoja na andazi moja. Mchana hatuli anasema tubane matumizi.
Usiku anapika wali, maharage, nyama, mchicha, dagaa wa bukubuku, miguu ya kuku na supu ya mapupu inakuwepo.
Anasema kwanini tulale na njaa? Tunalala tukiwa tumeshiba sana hadi tunashindwa kupumua.
Tunajambiana huku tukikoroma, wachawi kila siku wanakuja kutukaba kwasababu ya kutuonea wivu mavitu tunayokula la kulala tukiwa tumeshiba matumbo ndiii.
Sasa wachawi wakanionea wivu six packs zangu, wakanuroga nimepata kitambi, sina six packs tena nina mtumbo mkubwa ambao ni single pack.
Mzaramo wangu ananiambia kwao Maneromango kuna mganga anaweza kunitoa hiki kitambi ambacho ni kama nina mpira wa madaso, au kinyengo au chandimu ndani ya tumbo.
Nimemkatalia nimemwambia JF kuna watalaam wa kila sekta.
Wanamitindo wenzangu, naombeni ushauri ili fashenista mwenzenu nirudie utanashati wangu.
To yeye, mzabzab, Baba Swalehe , Mwifwa naamini mtanisaidia
mvivu kupika, so nikipiga mayai mengi ( na wanga ) na-survive masaa mengiHayo mayai hayakujazi gesi tumboni?hayakukinai?
Mayai sita ni mengi mbona
Nimepunguza. Ila mbute siwezi kuachaPunguza kula michembe,maparachichi,supusupu na furu.ππππ
Mayai sita ni mengi kuanzia lini? Mi nakula 12 usiku, nayachemsha saa 12 jioni, nakula mojamoja hadi saa mbili usiku, nashushia na mtindi baridiiiii usio na sukariHayo mayai hayakujazi gesi tumboni?hayakukinai?
Mayai sita ni mengi mbona
πππππππππππππ Nilitka nishangae,mayai yakuache salamamvivu kupika, so nikipiga mayai mengi ( na wanga ) na-survive masaa mengi
kuhusu gesi usiku kama kawa, ni mwendo wa bombings tu kama za Kyiv
Una mke?Mayai sita ni mengi kuanzia lini? Mi nakula 12 usiku, nayachemsha saa 12 jioni, nakula mojamoja hadi saa mbili usiku, nashushia na mtindi baridiiiii usio na sukari
Huyu ni Mnyantuzu. Naomba nirekebishwe kama nimekosea. Wanyantuzu wanajulikana tu kwa mwonekano. Ama la, nimsukuma.View attachment 2453416
Mimi ni handsome sana, mitaani kote wananisifu. Hata wanawake wananiambiaga. Lakini hawaachi kunikosoa tumbo langu hadi nimeanza kujichukia.
Kwa kweli nakosa sana raha, namtongoza msichana ananiambia na huo mtumbo wako kama umemeza kifaru cha jeshi ntakupeleka wapi mimi?
Six pack sio kwamba sijawahi kuwa nazo, nilikuwa nazo ila nikapata binti wa Kizaramo, asubuhi ananipa chai kikombe kimoja na andazi moja. Mchana hatuli anasema tubane matumizi.
Usiku anapika wali, maharage, nyama, mchicha, dagaa wa bukubuku, miguu ya kuku na supu ya mapupu inakuwepo.
Anasema kwanini tulale na njaa? Tunalala tukiwa tumeshiba sana hadi tunashindwa kupumua.
Tunajambiana huku tukikoroma, wachawi kila siku wanakuja kutukaba kwasababu ya kutuonea wivu mavitu tunayokula la kulala tukiwa tumeshiba matumbo ndiii.
Sasa wachawi wakanionea wivu six packs zangu, wakanuroga nimepata kitambi, sina six packs tena nina mtumbo mkubwa ambao ni single pack.
Mzaramo wangu ananiambia kwao Maneromango kuna mganga anaweza kunitoa hiki kitambi ambacho ni kama nina mpira wa madaso, au kinyengo au chandimu ndani ya tumbo.
Nimemkatalia nimemwambia JF kuna watalaam wa kila sekta.
Wanamitindo wenzangu, naombeni ushauri ili fashenista mwenzenu nirudie utanashati wangu.
To yeye, mzabzab, Baba Swalehe , Mwifwa naamini mtanisaidia
πππ²π²π² Hongera,mkitoka hapo balaaaa,hadi wachawi wanawaonea wivu kwa kutoa mabomu ππππ we bujibuji handsome boy hahahahaMayai sita ni mengi kuanzia lini? Mi nakula 12 usiku, nayachemsha saa 12 jioni, nakula mojamoja hadi saa mbili usiku, nashushia na mtindi baridiiiii usio na sukari
Weee niite tu handsome, unikute sasa na harufu yangu ya Maya nikisha kula mayai 12πππ²π²π² Hongera,mkitoka hapo balaaaa,hadi wachawi wanawaonea wivu kwa kutoa mabomu ππππ we bujibuji handsome boy hahahaha
Unakuwa Simba NyamaumeWeee niite tu handsome, unikute sasa na harufu yangu ya Maya nikisha kula mayai 12