Kitambi kwa mwanamke hupoteza mvuto wa mwili

Kitambi kwa mwanamke hupoteza mvuto wa mwili

Ni kweli kabisa mkuu yaani ukiajichia kidogo tu unakua na mwili wa ajabu sana
Lakini bado hajachelewa ana uwezo wa kufanya mazoezi na akapungua vizuri tu ila asitumie yale madawa ya kujipunguza.
Awe anajitambua na kukubali ushauri kama hivi, mtu mwenyewe anang'ang'ana na vyakula vya mafuta. Na alishaambiwa tangu wakati anachumbiwa kuhusu umbile lake alimaintain vilevile hata kama akijifungua matokeo yake duuuh
 
Umewashauri vizuri. Shemeji yangu alijifungua mwaka jana wakati huo hakuwa na mwili futufutu, asee ukimuona sasa hivi utadhani sanamu la Michelin, kafutuka utadhani furushi la mitumba. Mumewe alishamtahadharisha kabla ya kujifungua, nina wasiwasi na mwenendo wa kupendana kwao baada ya shape mpya ya mkewe kwani malalamiko yameanza kuwa mengi sasa, mara mume wangu kafanya hivi mara vile.

Kufutuka mwili ni jambo jepesi sana ila kuurekebisha sio lelemama
Duuh. Pole yake huyo shemeji yako sababu unene sio aisee.

Na kama ulivyosema kufutuka ni jambo rahisi sana ili kuupunguza huo ufutu ndio mtihani.
 
Bora mdogo wangu na hongera sana kwa kulifahamu hilo.

Sababu sisi wanawake changamoto huwa ni kwenye miili yetu yaani ikitokea umejiacha tu kuja kuurudisha ndio inakuwa issue.
Asante dada mimi nina mwili sana ningejiachia tu ningetisha kwa kweli nilijifunza kutoka kwa dada yangu mkubwa, huwezi amini amenenepa sana kiasi kwamba mwanaume wake hawaongozani pamoja.
 
Asante dada mimi nina mwili sana ningejiachia tu ningetisha kwa kweli nilijifunza kutoka kwa dada yangu mkubwa, huwezi amini amenenepa sana kiasi kwamba mwanaume wake hawaongozani pamoja.
Duuh! Mpe pole aisee.
 
Duuh! Mpe pole aisee.
Anahangaika sana kujipunguza lakini wapi mpaka amepata vidonda vya tumbo nimemwambia aende kwa yule dada open kitchen akaongee nae amuombe tips zake amewezaje yy kupungua vile.
 
Vitambi vingi vya wanawake wa Dar ni vya chips yai!

Nakuunga mkono,wanawake wengi ni wavivu wa mazoezi kwahiyo hiyo shida ya kitambi lazima iwatese..
Vitambi kwa ujumla wanawake na wanaume ni vibaya tu. Tena kwa mwanaume ndio mbaya kabisa na hata nguvu na uwepesi navyo hupungua, mikoromo na mijampo kwa uwingi. Kwa ujumla kama kuna namna ya kukizuia ni kukomaa nalo.

Kwa mwanamke ni kule kumharibu maumbile na kumfanya mvivu wa shughuli.
 
Kama ulijilegeza wakati wa ujauzito na ulikua mtu wa kulakula ovyo mazoezi haufanyi mtu wa kulala lala tu Basi ata ukijifungua lazima ujione mzigo
 
Anahangaika sana kujipunguza lakini wapi mpaka amepata vidonda vya tumbo nimemwambia aende kwa yule dada open kitchen akaongee nae amuombe tips zake amewezaje yy kupungua vile.
Duuh. Inabidi akajaribu aiseee.
 
Naona anatuletea utafiti aliofanya mtaani kwao malapa huko wadada wamezeeka ata kabla ya kuzaa
[emoji23][emoji23][emoji23] kwanza wameshatoa mimba zaidi ya 3, wamechoma masindano ya uzazi wa mpango huko kabla hawajazaa na bado wanaendelea nayo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nicheke tu maana nilijiachia ndani ya mwezi sijui hizi kilo nitazitoaje, asante kwa kutukumbusha.
 
Back
Top Bottom