Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Demu ukishazaa haijalishi tumbo litakua kubwa ama dogo mvuto wako huwa umekwenda na maji unabakiza.housing tu inayokuonyesha kuwa ww ni ke
Wewe kwenu mlizaliwa wangapi?? Je, mamako naye alikula matikiti maji kuondoa gas tumboni?? Wazazi wako ni wazaliwa baada ya uhuru au kabla?
Huu uzungu wenu utawa cost siku sio nyingi.
Mwanamke lazima uelewe kuwa unapokwenda kubeba mimba hadi kumzaa mtoto unahitaji matunzo mema. Ndo maana umesema mwenyewe kuwa ulishindwa kuzaa kwa njia ya kawaida kumbe ilikuwa LISHE MGOGORO. Huwezi niambia kitu. Wapo wanawake "Wajinga" wanaosema hawataki kuzaa kwa njia ya kawaida bali kisu ati wanaogopa K itatepweta. What a nonsense. Muumba aliweka ufundi woote pale kiasi kwamba huwezi kutofautisha kati ya ambaye hajazaa na anayepigwa mijeledi kila siku.
To the point.
Mama mtoto, kula chakula kizuri ili upate maziwa ya kumnyonyesha mwanao ashibe even for 2 years. Atakuwa ana akili nyingi darasani aje kukusaidia baadaye. Acha u bi show, umtunze mwanao. Kwanza, elewa kuwa umbo la kujaa humfanya hata mumeo akutamani. Nnani anatafuta hivyo vimbaombao?? Mvizie huyo mumeo mnapotembea njiani anavyowakodolea mimacho mkutanapo na majike yaliyo jazia jazia zile neema za Allah!
Usidanganyike, kama mmeo ni kicheche hafugiki kwa wewe kujilisha matango.
Miye ni Me kubwa tu lakini mwenye familia na mke ambaye nampenda kama alivyo. Macho yangu yakienda nje huwa nachunguza kuwa nilivutwa na nini halafu naenda kukiongeza pale kwangu. I really hate slim, skinny women. Natamani nikimshika, makucha yangu yabonyee kwenye nyamaWewe utakua ni wale wenye vitambi
Three kids but still hot nakupa ofa uje uhakiki na ninapeleka msosi balaaama bamedi ndio wanaongoza kwa vitambi, kila baa huwezi kuwakosa wa5 ama 6 wana vitambi kushinda ma boss zao
Three kids but still hot nakupa ofa uje uhakiki na ninapeleka msosi balaaa
Mambozhahaaah, Kapeace
Hahahaaaa. Na kweli Pacha.Kila mtu na ladha anayoipenda
Mwingine anapenda kitambi
Mwingine anapenda matege
Nk
Nk
Hahahaha watasema najifarijiHahahaaaa. Na kweli Pacha.
Hahahaaa. Haitasaidia Pacha sababu umeongelea mtazamo wako wewe kama wewe.Hahahaha watasema najifariji
Afadhali pachaHahahaaa. Haitasaidia Pacha sababu umeongelea mtazamo wako wewe kama wewe.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mh...ucku huu unachezea cmu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna mtu ana mimba lkn anapenda kufukia huyo...nadhani akishajifungua ndio tumbo litaanguka kama muhindi
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Demu ukishazaa haijalishi tumbo litakua kubwa ama dogo mvuto wako huwa umekwenda na maji unabakiza.housing tu inayokuonyesha kuwa ww ni ke
Nikiwa thieta nasubiri operation pale MNH kuna mama aliletwa kwa emergence mshono umeachia baada ya kufunga tumbo. Amefunikwa lile shuka la kijani limeloa damu chepe chepe. Dr wangu akawapa maelekezo wale madaktari wanafunzi kuwa wamfanyie nini sijui....[emoji28][emoji28][emoji28] hamna mkuu kama atalifunga vizuri ndani ya miezi mitatu litakua sawa tu.