Nokia83
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 24,643
- 44,320
Kwahiyo lako lipo vzr kbs?Nikiwa thieta nasubiri operation pale MNH kuna mama aliletwa kwa emergence mshono umeachia baada ya kufunga tumbo. Amefunikwa lile shuka la kijani limeloa damu chepe chepe. Dr wangu akawapa maelekezo wale madaktari wanafunzi kuwa wamfanyie nini sijui....
Aisee niliogopa. Mie tumbo la operation sifungi,napunguza tu kula na kunywa maji moto tu basi.