Awe anajitambua na kukubali ushauri kama hivi, mtu mwenyewe anang'ang'ana na vyakula vya mafuta. Na alishaambiwa tangu wakati anachumbiwa kuhusu umbile lake alimaintain vilevile hata kama akijifungua matokeo yake duuuhNi kweli kabisa mkuu yaani ukiajichia kidogo tu unakua na mwili wa ajabu sana
Lakini bado hajachelewa ana uwezo wa kufanya mazoezi na akapungua vizuri tu ila asitumie yale madawa ya kujipunguza.
Bora mdogo wangu na hongera sana kwa kulifahamu hilo.Yaani dada kama ningesema nijiachie kidogo tu sasa hivi ningekua zaidi ya Linah.
Duuh. Pole yake huyo shemeji yako sababu unene sio aisee.Umewashauri vizuri. Shemeji yangu alijifungua mwaka jana wakati huo hakuwa na mwili futufutu, asee ukimuona sasa hivi utadhani sanamu la Michelin, kafutuka utadhani furushi la mitumba. Mumewe alishamtahadharisha kabla ya kujifungua, nina wasiwasi na mwenendo wa kupendana kwao baada ya shape mpya ya mkewe kwani malalamiko yameanza kuwa mengi sasa, mara mume wangu kafanya hivi mara vile.
Kufutuka mwili ni jambo jepesi sana ila kuurekebisha sio lelemama
Asante dada mimi nina mwili sana ningejiachia tu ningetisha kwa kweli nilijifunza kutoka kwa dada yangu mkubwa, huwezi amini amenenepa sana kiasi kwamba mwanaume wake hawaongozani pamoja.Bora mdogo wangu na hongera sana kwa kulifahamu hilo.
Sababu sisi wanawake changamoto huwa ni kwenye miili yetu yaani ikitokea umejiacha tu kuja kuurudisha ndio inakuwa issue.
Duuh! Mpe pole aisee.Asante dada mimi nina mwili sana ningejiachia tu ningetisha kwa kweli nilijifunza kutoka kwa dada yangu mkubwa, huwezi amini amenenepa sana kiasi kwamba mwanaume wake hawaongozani pamoja.
Vitambi vingi vya wanawake wa Dar ni vya chips yai!
Vitambi kwa ujumla wanawake na wanaume ni vibaya tu. Tena kwa mwanaume ndio mbaya kabisa na hata nguvu na uwepesi navyo hupungua, mikoromo na mijampo kwa uwingi. Kwa ujumla kama kuna namna ya kukizuia ni kukomaa nalo.Nakuunga mkono,wanawake wengi ni wavivu wa mazoezi kwahiyo hiyo shida ya kitambi lazima iwatese..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna mtu ana mimba lkn anapenda kufukia huyo...nadhani akishajifungua ndio tumbo litaanguka kama muhindi
Nancy sumariDemu ukishazaa haijalishi tumbo litakua kubwa ama dogo mvuto wako huwa umekwenda na maji unabakiza.housing tu inayokuonyesha kuwa ww ni ke
Duuh. Inabidi akajaribu aiseee.Anahangaika sana kujipunguza lakini wapi mpaka amepata vidonda vya tumbo nimemwambia aende kwa yule dada open kitchen akaongee nae amuombe tips zake amewezaje yy kupungua vile.
Naona anatuletea utafiti aliofanya mtaani kwao malapa huko wadada wamezeeka ata kabla ya kuzaaBora umempa mifano hai kabisa.
[emoji23][emoji23][emoji23] kwanza wameshatoa mimba zaidi ya 3, wamechoma masindano ya uzazi wa mpango huko kabla hawajazaa na bado wanaendelea nayo.Naona anatuletea utafiti aliofanya mtaani kwao malapa huko wadada wamezeeka ata kabla ya kuzaa
Kama ulijilegeza wakati wa ujauzito na ulikua mtu wa kulakula ovyo mazoezi haufanyi mtu wa kulala lala tu Basi ata ukijifungua lazima ujione mzigo
Kwako na kitambi chako hicho.tumbo kubwa tako kizibo cha sodaNancy sumari
Jacqueline ntuyabaliwe
Still wanadunda na urembo wao sasa mwenzetu utafiti wako umeufanyia wapi?
Ha ha ha wenye mitumbo yao povu linawatokaBora umempa mifano hai kabisa.