Kitambi na mwanaume wa Kitanzania

Hapo juu kwenye picha's, bia ya savanna inahusika? castle lite, Heineken je?
 

kweli wewe jamaa mbishi..........
 
Pombe yeyote ina sugar ambayo ni noma kwa kitambi. Iwe Grants ama beer.
 

Rick Ross is a jerk!!
 
SHERRIF ARPAIO umenifanya leo lazima nikanunue pizza na cake uwiiii
 
Last edited by a moderator:
  • Je nini kifanyike kwa ambao wamejitambua na hawataki kuendelea kuwa na kitambi?
Acheni zenu kitambi kibongobongo ni dalili ya kuridhika na maisha....uwezi ukamkuta makabwela hapa bongo wanavitambi na inakupa confidence hata kama unapresent kitu fulani kwa wadau..wanakupa cheers tu ukilinganisha na chikonda...
 
kiukweli mimi ninacho na sio mvivu. napiga kazi haswaa. sikitaki lakini kipo tu. nishaurini basi nifanyeje?

Simple.. Chakula unachokula ni kingi kuliko unachotumia.. Badili mlo wako punguza wanga na mafuta ongeza mboga za majani na matunda na maji kwa wingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…