Kitambo hicho unaambiwa first half tu timu ishakula mkono

Kitambo hicho unaambiwa first half tu timu ishakula mkono

Gordian Anduru

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2021
Posts
369
Reaction score
747
Sasa hivi timu zetu zinakaza timu inafungwa Moja bila full time. Kitambo hicho unaambiwa first half tu timu ishakula mkono
Screenshot_20240302-072536~2.png
 
Kwa hiyo mnajisifu kufungwa goli Moja? kumbuka huyo mbabe wenu wa kundi alishindwa kuongoza kundi mbele yetu

IMG_20240301_220732.jpg
 
  • Nzuri
Reactions: EEX
Kipindo hicho uto inajivunia kupanda ndege tu inaposhiriki kimataifa huku akina Gormahia wakijipigia
 
Mwaka 82 Kuna timu ilipigwa goli tano misri, waliporudi Tena wakala goli 4 siku hizi wanafungwa machache wanajisifu.
 
Yanga iliwahi chinjwa 6-0 na raja casabranca
 
Back
Top Bottom