Kitambulisho cha Mjasiriamali kilivyoleta mateso katika jamii

ishu ni gvt kupanga mambo sawa kama mtu analipia kitambulisho gharama ya taka na ulinzi visiwepo maana mmhh wenye mitaji midgo wanaumia sana jamani
 
Acheni upumbavu wenu nyie Lumumba, anacholalamikia Lissu ni ujinga wa mtu mmoja kutoa tamko na kuwa sheria badala ya kufunga sheria kuilinda huyo mjasiliamali. Hivi unajua ni akinamama wangapi wanapoteza mitaji yao kwa kunyang'anywa bidhaa zao na Wagambo wa jiji au Manispaa? Kumbuka kwenye hiyo ya kulipa 100-100 kuna siku walikuwa hawalipi maana siyo kila siku wanaenda sokoni. Kama kungekuwa na sheria hata ya kulinda hayo mapato ingekuwa bora sana lakini sasa hivi nyingi zinaishia mfukoni mwa wajanja huku mitaani! Kwa ufupi Magu anapigwa na hiyo pesa hai-reflect kwenye bajeti yetu! Hebu watupishe huko!!
 
CHADEMA saccos, wao wakishinda dola watasaidiwa na beberu la Belgium.
Hiyo hoja ya mabeberu imepondwa sana na Mh. Lissu anasema ni hoja ya kijinga na kipumbavu ambayo inapaswa kutolewa na mtu mpumbavu tu! Kwa maana hiyo kama kuna kiongozi wenu mkubwa huko Lumumba anaitoa ni mjinga na mpumbavu! Huwezi kuwaita wafadhili wako mabeberu wakati uchumi wako unawategemea hao hao mabeberu!
 
Kwahiyo hiyo elf20 ni kodi?
 
Siwezi Tujibu illogical argument. Kama unaona uko sawa, poa.
 
Mnapi Mnapiga makelele mengi ambayo hayana maana.Akija .mgombea urais akasema ataondoa PAYE huyo nitamuona wa maana sana.nahisi chadema wote ni mmmantilie,machinga ndiyo maana mnapiga kelele sana.
 
Mnapi
Mnapiga makelele mengi ambayo hayana maana.Akija .mgombea urais akasema ataondoa PAYE huyo nitamuona wa maana sana.nahisi chadema wote ni mmmantilie,machinga ndiyo maana mnapiga kelele sana.
Kweli mkuu, tena ni kelele kwenye kila kitu. Wao hata kujengewa hospitali wanaona wanaonewa.

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Mbona kama una makasiriko mkuu mleta uzi anazungumzia huyu mjasiliamali mwenye mtaji wa 20k ambapo anapata faida ya 5k ambayo anaitumia kuendesha maisha yake kumbuka sukari kilo 3k,mchele kilo2k, unga kilo1.5k, nyama kilo 7k apo bado ajanunua vifaa vya shule kwa watoto, hawajaugua na sio kwamba kila siku anaipata iyo faida wakati mwingine biashara inadunda maana yake maisha yanaenda mbele hayarudi nyuma unamuuzia kitambulisho kwa 20k ambacho hakuna sheria au utaratibu wowote wa kusimamia hivyo vitambulisho na mapato yake zaidi ilikua ni tamko la mtu mmoja zuzu.
Hivi toka wajasiriamali wameanza kulipia hivi vitambulisho Kuna mtu anaweza kutuambia kiuhakika imepatikana shillingi ngapi? Na zinaenda wapi au zinatumikaje
 
Kabisa
 
Kuwa na kitambulisho maana yake ni kurasimisha shughuli zao...unaweza kujua wapo wangapi na sehemu gani na pia unazuia kundi kuongezeka kiholela.msiangalie upande wa fedha...20k hela ndogo sana ni wastani wa sh 1700 hivi kwa mwezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…