Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,503
- 20,892
Hivi kumbe hivi “vitambulisho vya wajasiliamali” ni kwa wote hata watembeza mchicha na wachoma maandazi vibarazani??Fikiria huyu mama ili atembeze beseni lake la ndizi na machungwa inabidi anunue kitambulisho cha mjasiliamalu 20,000.
I thought ni kwa Machinga tu na wale wote wanaoingiza biashara zao kwenye masoko yanayotambuliwa na Halmashauri/Manispaa