Kitambulisho cha Mjasiriamali kilivyoleta mateso katika jamii

Kitambulisho cha Mjasiriamali kilivyoleta mateso katika jamii

Taifa lolote linahamasisha uwajibikajii, wa kila raia ili lisonge mbele, zaidi. Kwahiyo kila mtanzania kwa kiwango cha pato lake, achangie maendeleo. Hawa wajasiliamali kuchangia elfu 20000 kwa mwaka mzima ni serikali kuwabeba pakubwa saana. Hivyo tunaomba zilaaniwe sera za mwanasiasa yoyote anayepinga ulipaji wa kodi kwa wajasiriamali wadodo wadogo
Kama kawaida mkiwa tricked once Wala hamjisumbui kiumiza kichwa kijinasua , kitambulisho kwa maneno ya kwanza kilikuwa ni 2000 kwa mwako, kwa Sasa hivi vina expire Kila baada ya miezi mitatu,
Seamlessly mjasilamali naye ana four quarters za tax payment just like mfanyabiashara wa kawaida tu
 
Kama serikali Ina nia ya kuwasaidia hii kodi ya mjasiliamali ingeondolewa kwa wenye mitaji midogo. Fikiria ni lini mtu huyu ataweza kununua mabati na kuboresha mahaki anapolala.
Wenye mawazo Kama yako ndo wanataka Lissu awe rais! Watu wa ajabu Sana.
 
Ndugu yangu ni mkulima wa jembe la mkono. Analima shamba lake na analimia watu ili kupata pesa ya sukari na sabuni. Kuna siku kazi za kulimia watu zinakosekana. Ikifika hali hii mke wake anadamka alfajiri kuwahi soko la matunda. Ananunua ndizi na machungwa anatembeza kwenye beseni lake kichwani.

Mtaji wake ni sh 10,000 na ikifika jioni anakuwa amepata sh 15,000. Hii ni pesa ya kununua unga na mboga akapikie familia. Fikiria huyu mama ili atembeze beseni lake la ndizi na machungwa inabidi anunue kitambulisho cha mjasiliamalu 20,000.

Mama huyu siku za mvua hawezi kufanya biashara. Katika faida anayopata inabidi aweke kidogo senti zitakazosaidia siku akikosa biashara pia watoto wakiugua.
Kodi yeyote kwa mtu mwenye mtaji below 250K ni kumuonea tuu
 
Kodi yeyote kwa mtu mwenye mtaji below 250K ni kumuonea tuu
Fikiria hiyo 20,000 ndiyo nafasi pekee ya mama huyu kununua angalau vitenge vipya mara moja kwa mwaka. Unachukua 20,000 kutoka kwa mtu mwenye viraka mwilini.
 
Huyu mama hana watoto wanaoweza kumtafutia elfu 20 ya kitambulisho? Au ni kutafta huruma ya kijinga?

Ukilipishwa 1,000 kila siku na manispaa kwa mwaka mzima na ukalipa 20,000 mara moja kwa mwaka mzima kipi ni afadhali?

1,000*365 = 365,000
20,000*1= 20,000

Kipi ni nafuu?
Watoto Hadi waweze kumtafutia 20000 mama yao inabidi kwanza wakuzwe ,pengine mama ndo anapambana kuwakuza watoto ,
Hoja yako ya kulipishwa 1000 na manispaa kweli hapo kitambulisho kinakuwa ni nafuu, lakini inatakiwa ujue kuwa wengi wanaodaiwa hivi vitambulisho kwa Sasa , sio wafanyabiashara rasmi, hawana hata maeneo ya hizo biashara na hawako rasmi, manispaa ilikuwa haimbani mama aliyelima spinach na matembele uani kwake anapoamua kuuza mboga zake , kitambulisho kinambana mama huyo!, Pika togwa weka kwenye chupa za pepsi kibarazani watu wa kitambulisho watakusumbua .
Kuna kundi Fulani kwa kuzingatia kipato lilitakiwa Lowe exempted na Mambo ya kodi, nahisi ndo sababu mukulu kasema sio lazima kuwa nacho kwa sasa
 
Acha mawazo ya kifukara, Kodi ni ya wajasiriamali wadogo wadogo, kwanini unalazimisha wawe wauza mchicha tuu? Wewe ndo mjinga.
Binafsi Sina shida na kitambulisho hiki kwa wajasiliamali waliokuwa rasmi na walikuwa wanalipa Kodi kandamizi za manispaa
Nina shida na aliyewaingiza wauza mchicha na watafuta rizki ndogo ndogo kwenye mfumo huu, Raisi juzi alipolijibu hili alisema kitambulisho ni hiari sio lazima , definetly alikuwa ameona mapungufu hayo
 
Wewe mama huna point hapa. Kama kwa siku anaingiza 5000, kwa mwaka anaingiza 1,590,000/=. Kuna ubaya gani akichangia 20,000 kwa mwaka kwa ajili ya ulinzi wa nchi, huduma za jamii na miundombinu kwa manufaa yetu wenyewe?

Wenzetu huko mbele huona fahari kulipa kodi, sisi tunaona ni adhabu.
Chadema mtajenga nchi kwa fedha kutoka wapi? Kodi mmsema mnafuta, madini mnaweka rehani. Au misaada ya kuhimiza ushoga?
Huna akili kabisa wewe hivi huoni kwamba hiyo elfu 20 ya kitambulisho inatakiwa itolewe kwa wakati mmoja? kumbuka mtaji wake ni nusu ya kodi anayolipa.

Hiyo elfu 5 anayopata kwa siku nzima unadhani anaenda kuiweka kama ilivyo? Anategemea pesa hiyohiyo atumie kununua chakula cha siku nzima, anunue sare za shule za watoto, bado matibabu, hajalipa pango, kwenye akiba itabaki hiyohiyo?

Kuna siku hatafanya kazi kwa sababu ya ugonjwa, mvua na ibada bado atapata 1,500,000 kwa mwaka?
Kuwa ccm kusiwatoe ubinadamu hiki kichaka cha kutetea wanyonge mlichojifichia kinawaka moto saiv mtatoka tu.
 
Kuchangia chochote kwenye nchi yako ni fahari kubwa. 20K kwa mwaka ni Sawa na 1800 approx kwa mwezi, na 56Tsh kwa siku. Ni program inayofaa na nyepesi zaidi kwa mjasiriamali kuliko ile inayotozwa holela masokoni. Ila hapa uliandika, ili ionekane Serikali ya JPM inawanyanyasa wajasiriamali, sio Sawa hata kidogo.
Mkuu hivi unajua kuwa anayechangia mapato ya nchi ni mtumiaji wa mwisho ambaye ni huyu mjasiriamali wa chini?

Hao tunaowaita walipa kodi wakubwa wanauza bidhaa zao wakiweka pamoja gharama ya kodi na faida atakayopata anayefidia hizi gharama ni mkulima na mjasiriamali.

Kiasi hawa watu wanaichangia nchi ni kikubwa tunapaswa kuwapongeza na kuwaunga mkono sio kuwaongezea mzigo tena.
 
Wenzetu huko mbele huona fahari kulipa kodi, sisi tunaona ni adhabu.
Chadema mtajenga nchi kwa fedha kutoka wapi? Kodi mmsema mnafuta, madini mnaweka rehani. Au misaada ya kuhimiza ushoga?

Mtoa hoja hakuwahi kusema kwamba CHADEMA watakuwa walihimiza ushoga, hayo ni maneno yako, na sijui imeyatoa wapi. Huenda labda unataka ni kuwa shoga, hayo hayanihusu....

Hii hesabu hapo juu ni ya kijinga na wala haijawahi kutokea.

Mwenye uzi kasema kwamba,huyu mama huwa hawezi kufanya hii kazi nyakati za mvua, lakini hata akiwa mgonjwa, akiuguza, akienda mazikoni, na mambo mengine ya kijamii.

Pia si kila siku anapata bidhaa anazouza,ama kupata faida ya kiwango kilichodaiwa, wakati mwingine pia atakosa wateja na bidhaa zinamuozea.

Sasa kupiga hesabu hizo za kukariri,tena kwa kila siku na kwa mwaka basi huo ndio upumbavu wa wafanyakazi wa serikali hii ya ccm, na watu wao wa TRA
 
Ndugu yangu ni mkulima wa jembe la mkono. Analima shamba lake na analimia watu ili kupata pesa ya sukari na sabuni. Kuna siku kazi za kulimia watu zinakosekana. Ikifika hali hii mke wake anadamka alfajiri kuwahi soko la matunda. Ananunua ndizi na machungwa anatembeza kwenye beseni lake kichwani.

Mtaji wake ni sh 10,000 na ikifika jioni anakuwa amepata sh 15,000. Hii ni pesa ya kununua unga na mboga akapikie familia. Fikiria huyu mama ili atembeze beseni lake la ndizi na machungwa inabidi anunue kitambulisho cha mjasiliamalu 20,000.

Mama huyu siku za mvua hawezi kufanya biashara. Katika faida anayopata inabidi aweke kidogo senti zitakazosaidia siku akikosa biashara pia watoto wakiugua.
Huna akili bali unafikiri kwa kutumia makamasi, je kulipa elfu 20000 kwa mwaka na kulipa 500 kila siku huku akisumbuliwa na migambo wa kata kipi bora?
 
Si kila siku anauza biashara hii, Kuna siku za mvua na katika 5,000 inabidi aweke akiba kidogo. Huyu alitakiwa kusaidiwa si kukamuliwa 20,000 kwa mwaka.
Yani 20,000 kwa mwaka unaina ni nyingi?
 
Hiyo 5000 ni makadirio ya chini ,kitambulosho kinamsaidia hata yeye kufanya biashara yake kwa amani.
Kama kwa mwaka 20000 means kwa mwezi analipia 1666 na nikiwango kidogo sana ukulinganisha na zile hela za ushuru walizokuwa wanatozwa kila siku.
Kuliko kubeza ni bora tuangalie swala hili kwa upande wa manufaaa kwa wananchi na Taifa kwa ujumla mana vimesaidia hata serikali kupata mapato yake na kuendeleza miindombinu na utolewaji wa huduma za kijamii ambazo hata huyo Mjasiriamali zitamnufaisha.
hivi mnajua kuwa ushuru na ada ya kitambulisho havina uhusiano ushuru unasaidia soko kujiendesha hela zavitambulisho zinasaidia kununua wabunge
 
Ndugu yangu ni mkulima wa jembe la mkono. Analima shamba lake na analimia watu ili kupata pesa ya sukari na sabuni. Kuna siku kazi za kulimia watu zinakosekana. Ikifika hali hii mke wake anadamka alfajiri kuwahi soko la matunda. Ananunua ndizi na machungwa anatembeza kwenye beseni lake kichwani.

Mtaji wake ni sh 10,000 na ikifika jioni anakuwa amepata sh 15,000. Hii ni pesa ya kununua unga na mboga akapikie familia. Fikiria huyu mama ili atembeze beseni lake la ndizi na machungwa inabidi anunue kitambulisho cha mjasiliamalu 20,000.

Mama huyu siku za mvua hawezi kufanya biashara. Katika faida anayopata inabidi aweke kidogo senti zitakazosaidia siku akikosa biashara pia watoto wakiugua.
MATAGA na TBC jana walianda kipindi cha MATAGA kusifia kitambulisho, mmoja wao akawa kabisa anasema KITAMBULISHO KIMEMUWEZESHA KUFUNGUA KIWANDA.

pathetic dictator
 
You must be crazy na mtu hopeless! Out of 5,000 anakula ngapi na familia for a day?
Wewe nawe ni lijinga! Hiyo 20,000 anatoa kila siku?
Ni kipi bora kutoa hiyo kwa mwaka au asitoe awe analipa 500 mpaka 1000 ya ushuru kila siku
 
Kama serikali Ina nia ya kuwasaidia hii kodi ya mjasiliamali ingeondolewa kwa wenye mitaji midogo. Fikiria ni lini mtu huyu ataweza kununua mabati na kuboresha mahaki anapolala.
Duh...
 
Ndugu yangu ni mkulima wa jembe la mkono. Analima shamba lake na analimia watu ili kupata pesa ya sukari na sabuni. Kuna siku kazi za kulimia watu zinakosekana. Ikifika hali hii mke wake anadamka alfajiri kuwahi soko la matunda. Ananunua ndizi na machungwa anatembeza kwenye beseni lake kichwani.

Mtaji wake ni sh 10,000 na ikifika jioni anakuwa amepata sh 15,000. Hii ni pesa ya kununua unga na mboga akapikie familia. Fikiria huyu mama ili atembeze beseni lake la ndizi na machungwa inabidi anunue kitambulisho cha mjasiliamalu 20,000.

Mama huyu siku za mvua hawezi kufanya biashara. Katika faida anayopata inabidi aweke kidogo senti zitakazosaidia siku akikosa biashara pia watoto wakiugua.
Acha uzandiki wewe mama
 
Wewe mama huna point hapa. Kama kwa siku anaingiza 5000, kwa mwaka anaingiza 1,590,000/=. Kuna ubaya gani akichangia 20,000 kwa mwaka kwa ajili ya ulinzi wa nchi, huduma za jamii na miundombinu kwa manufaa yetu wenyewe?

Wenzetu huko mbele huona fahari kulipa kodi, sisi tunaona ni adhabu.
Chadema mtajenga nchi kwa fedha kutoka wapi? Kodi mmsema mnafuta, madini mnaweka rehani. Au misaada ya kuhimiza ushoga?
SWALI ILE 20,000 ILIKUWA INAENDA HAZINA KAMA MAPATO MENGINE YA HALMASHAURI???
 
Wenye kipato kidogo hupewa msaada na serikali ili waweze kuboredha maisha yao. Kosa la huyu mama ni kuwatafutia wanawake rizik kidogo lakini akiamua kukaa nyumbani hatadaiwa 20,000.
Chadema wengi ni mbumbumbu
 
Back
Top Bottom