Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂 Bila shaka aliuona motoWatu wa nida hawataki mchezo tena wapo vizuri sana na kazi zao, nilimkuta jamaa alitaka kufanya kama wewe yaliomkuta sijui yupo wapi nimuulize kama ataweza kurudia tena.
Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Mkuu umeshaharibu nn ? Unataka kujificha au inakuwaje , ulichoandika hapa wala hakiwezekani , wewe kua mpole tuHabari, mimi tayari nina namba ya nida lakini kuna mambo yametokea yananilazimu nipate namba mpya tofauti na hii nayotumia sasa hivi.
Naomba kuuliza je nikijaza taarifa tofauti na za mara ya kwanza nitaweza kupata namba? Je, kwenye majina yangu, picha yangu na finger prints zangu hazitooneka Kwenye system yao hata nikibadilisha baadhi ya taarifa zangu?
Wanafanya editing ya taarifa ambazo labda unataka kurekebisha kama Jina, sahihi.Nenda nida wana edit hiyo nida yako, ila utaanza taratibu mpya ya kujaza upya taarifa zako kwa kufuata taratibu zote kama utakavyoagizwa na hao maofisa wa nida.
Unaweza kusahihisha au kubadili jina.Mimi nimepata namba sawa, ila nikiingiza namba jina linalotokea lina makosa kwenye herufi moja… sijui nikaushe tu!
Big Nooo!!!Habari, mimi tayari nina namba ya nida lakini kuna mambo yametokea yananilazimu nipate namba mpya tofauti na hii nayotumia sasa hivi.
Naomba kuuliza je nikijaza taarifa tofauti na za mara ya kwanza nitaweza kupata namba? Je, kwenye majina yangu, picha yangu na finger prints zangu hazitooneka Kwenye system yao hata nikibadilisha baadhi ya taarifa zangu?
Kusahihisha jina inawezekana, ni Tsh 20,000Mimi nimepata namba sawa, ila nikiingiza namba jina linalotokea lina makosa kwenye herufi moja… sijui nikaushe tu!