Kitambulisho cha NIDA kwa mara ya pili

Kitambulisho cha NIDA kwa mara ya pili

Habari, mimi tayari nina namba ya nida lakini kuna mambo yametokea yananilazimu nipate namba mpya tofauti na hii nayotumia sasa hivi.

Naomba kuuliza je nikijaza taarifa tofauti na za mara ya kwanza nitaweza kupata namba? Je, kwenye majina yangu, picha yangu na finger prints zangu hazitooneka Kwenye system yao hata nikibadilisha baadhi ya taarifa zangu?
HAIWEZEKANI, SABABU UKISHACHUKURIWA TU ALAMA ZA VIDOLE WAO WANABAKI NA HIZO TAARIFA ZAKO KWENYE KUMBUKUMBU ZAO
 
Back
Top Bottom