Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Nenda nida inawezekana. Namba hiyo hiyo wanabadili taarifaNgoja niwe mpole tuu aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda nida inawezekana. Namba hiyo hiyo wanabadili taarifaNgoja niwe mpole tuu aisee
Mkuu! 20,000 ni pale tu endapo mhusika atakuwa tiyari ameshapokea kitambulisho chake, na kitambulisho kikawa ndo tiyari kina makosa hayo bila ya yeye kugundua.Kusahihisha jina inawezekana, ni Tsh 20,000
Wewe ni muhalifu.Yn hapa ni hy namba nataka mpya
Ahsante kwa kusahihishaMkuu! 20,000 ni pale tu endapo mhusika atakuwa tiyari ameshapokea kitambulisho chake, na kitambulisho kikawa ndo tiyari kina makosa hayo bila ya yeye kugundua.
Pili, pale ambapo mhusika hajakipokea kitambulisho chake (ana namba ya kitambulisho pekee) lkn makosa yaliyopo ni kutokana na kukosea yeye mhusika mwenyewe katika ujazaji wa fomu zile zenye taarifa zake.
Endapo hujapokea kitambulisho na una uhakika ya kwamba hukukosea ktk kujaza taarifa zako kwenye fomu, marekebisho utafanyiwa bure na NIDA wenyewe kwa kuwasiliana nao kupitia namba zao za huduma kwa mteja.
Sio kitu chepesi kabisa.Sijaharibu chochote ila bc tuu kuna mambo yaninifanya nitake namba mpya
Pamoja sana mkuu.Ahsante kwa kusahihisha
Kaedit hakuna kitu kibaya kama jina lako kukosewaMimi nimepata namba sawa, ila nikiingiza namba jina linalotokea lina makosa kwenye herufi moja… sijui nikaushe tu!
Hivi havibadiliki.Na mm wasiwasi wangu ni hapo kwenye sura na finger prints
Unataka kubadili tarehe ya kuzaliwa ili kusogeza ajira mbele usistaafu kwa wakati sahihi??Yn hapa ni hy namba nataka mpya
Fingerprints utafanyaje?Vitu muhimu kama jina nngetumia vilevile ila kuna vitu kama taarifa za wazazi ndo niliwaza nibadilishe ili nione kama nitaweza kupata namba mpya
Kusahihisha jina inawezekana, ni Tsh 20,000
SAA kumi mkuu kuingia selo..kulala ni SAA tatu usiku...gerezani kulala ni saa tisa mchana.