Habari, mimi tayari nina namba ya nida lakini kuna mambo yametokea yananilazimu nipate namba mpya tofauti na hii nayotumia sasa hivi.
Naomba kuuliza je nikijaza taarifa tofauti na za mara ya kwanza nitaweza kupata namba? Je, kwenye majina yangu, picha yangu na finger prints zangu hazitooneka Kwenye system yao hata nikibadilisha baadhi ya taarifa zangu?