Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 2,268
- 7,119
Kuanzaia kesho naanza kuhesabika kuwa mimi sio raia wa Tanzania?
Hii imekaaaje kisheria zaidi?
Hii imekaaaje kisheria zaidi?
Ila zinaongeza mbegu😀Uache kuuza karanga zinakulemaza akili
Thread closed at 15:54 pm.✍️Nida walishatoa taarifa kuwa hakutokuwa na na expire date kwenye vitambulisho hivyo hata kama unaona kina expire date.
Nimeokoka usinitoe kwenye mstariIla zinaongeza mbegu😀
🙄Ila zinaongeza mbegu😀
Na Mimi nna tatizo hili...Wanasema hakina haja ya kurenew lakini ukiscan kwenye website za nje hakitambuliki , kinasema expired