Kitanda kikubwa huchangia mahusiano ya ndoa kudorora

Kitanda kikubwa huchangia mahusiano ya ndoa kudorora

Mnakuwa hajatibuana bado aisee,mnaweza lala hata kwa kupandana na nyege zisiwepo kabisa kwa mwenzio.Ivi unajua kukerwa au hujawahi kerwa na mwenza?
Hiyo ipo lakini isichukue muda mrefu sana mpaka ikaleta mambo mengine ya kutotimiza wajibu wa ndoa kisa mmenuniana wiki
 
Wanaume tupo tofauti sana.

Yaani ukubwa wa kitanda pia ni tatizo?

mwanamke akiwa nyumba moja na mm huwa sipati usingizi ni lazima usiku nimfate.

Nikamilishe jambo langu kwnz.

Itakuwa kitanda kimoja?
 
Kuna mdau anasema bora avunje vunje kitanda chake cha sasa maana anaona tofauti kubwa kati kitanda kikubwa na kidogo.

Anasema alipooa alikuwa anatumia kitanda cha futi 4 kwa 6 na walikuwa hawakai kipindi kirefu bila kupatana na mke wake ikiwa wamehitilifiana tofauti na sasa.

Anasema akiwa anatumia kitanda cha 4 kwa 6 wakihitilifiana wakaingia kulala lazima wagusane na hasa wakiwa usingizini na walikuwa wanajikuta wamekubatiana au mwingine amemuwekea mikono au miguu kwa mwenzake na kujikuta ugomvi unaisha kiulaini.

Anasema kwa sasa mambo yanakuwa magumu anasema kitanda chake ni 8 kwa 8 ,tangu wameanza kutumia kitanda hicho ugomvi huwa unachukua muda mrefu kuisha.

Anasema wakigombana na mke wake, wakati wa kulala hujibanza kwenye kona ya kitanda bila kutaka kuguswa hata kama kosa lililosababisha mkagombana lilikuwa lake.

Anasema anapojaribu kumsogelea huhama upande mwingine wa kitanda ,au hutulia hapo ila usingizi unapomshika mke wake huhama na kwenda kulala upande mwingine wa kitanda.

Anasema ugomvi huchukua muda mrefu kuisha tofauti na zamani.

Je ni kweli vitanda vya kisasa huchangia ugomvi kutoisha mapema tofauti na vile vya zamani?

Ikiwa jibu ni ndiyo kuna ulazima wa wanandoa kurudia vitanda vya 3 kwa 6 ili kudumisha mahusiano yenu.

Ndio huchangia.

Yes kuna ulazima kurudisha vitanda vya 3 kwa 6 Chief
 
Ukiacha kitanda kikubwa,,, mimi napendelea tuwe hata majirani kabisa
 
Kuna ID nazicheki hapa...

Nina uhakika hazitakosa kwenye hizi mada za kitandani.
 
Ubaya ni kwamba mara nyingi mtu akianza kuzoea uhuru wake, kufanya mambo yake bila mwenza wake basi hata ile connection iliyokuwepo mwanzo hupotea na kumuona mwenza wake kama kero.
 
Back
Top Bottom