Sodium 23
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 483
- 491
Sijajua kwa nini watu wengi wamehamia 5 kwa 6. Binafsi naona 4 kwa 6 inanitosha.
Nikilala kwenye 4 kwa 6 tunatoshea vizuri na shemeji yenu.
Mbali na kitanda sijajua kwa nini mtu anakua na kabati kubwa la vyombo ambavyo havitumiki, unakuta kuna vyombo vya wageni na vya wenyeji.
Kwangu naona ni matumizi mabaya ya rasilimali, tumia vyombo vya kila siku. Kabati dogo la mlango mmoja linatosha sana.
Pia kitanda cha 4 kwa 6 kinatosha sana.