Kitanda kikubwa huchangia mahusiano ya ndoa kudorora

Sijajua kwa nini watu wengi wamehamia 5 kwa 6. Binafsi naona 4 kwa 6 inanitosha.
Nikilala kwenye 4 kwa 6 tunatoshea vizuri na shemeji yenu.
Mbali na kitanda sijajua kwa nini mtu anakua na kabati kubwa la vyombo ambavyo havitumiki, unakuta kuna vyombo vya wageni na vya wenyeji.
Kwangu naona ni matumizi mabaya ya rasilimali, tumia vyombo vya kila siku. Kabati dogo la mlango mmoja linatosha sana.
Pia kitanda cha 4 kwa 6 kinatosha sana.
 
Kitanda cha 8*8 ni oda maalum , kawaida mwisho 6*6 , unatengeneza 8*8 na upo kwenye ndoa , huyo jamaa ni bonge la kiaz
 
Mie nimeweka 2 na nusu Kwa 6
Hehehe akanipiga bit lkn wapi

Nakuambia ikipita sana ni ck moja tu

Yaani tuna banana hasa kitandani nikigeuka lzm aamke akigeuka lzm niamke

Siyo kunyegeshana huko

Hakuna kupungukiwa nguvu sijui za nn
 
Kitanda cha nane kwa nane? Jamaa anapitia wakati mgumu sana.
 
Andaa kitanda cha gunia kama wazee wa zamani. Ni kubanana A mpakaZ.
 
Shida ni msimu wa joto sijui kama mpata usingizi[emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…