Kichapie na simentiWakuu za muda. Kuna hawa wadudu weupe hivi kama wale wa kahawa, wanakula mbao hatari. Sasa nawasikia kila leo wanakula kitanda na huwa nawachokona hadi kuwapata na kuwaangamiza ila bado wanazaliana. Mwenye kujua dawa anijulishe tafadhi
View attachment 1924107
View attachment 1924108
Akinunua cha chuma, chaga nazo ziwe za chuma?Nunua kitanda cha chuma,hicho watakimaliza.Inaonekana mbao za kitanda ni laini.
Chaga pia za chuma.Akinunua cha chuma, chaga nazo ziwe za chuma?
Bendera chuma, Mlingoti chuma na upepo chuma, na ikiwezekana godoro chumaAkinunua cha chuma, chaga nazo ziwe za chuma?
Hapo chumbani asitumie umeme shoti ikigusa kitandani, vyuma hupokea yeye na shemeji kwishne! Bora atumie kibatali nyumba ikiungua, hana hasara coz vyuma haviungui.Bendera chuma, Mlingoti chuma na upepo chuma, na ikiwezekana godoro chuma
Dah! Oil chafu tena????Tafuta dawa mbao yaitwa Dudu killer... Iyo ikiwa ngumu, jaribu kunyunyuzia ata Oil chafu sehemu walizopo... Uenda ikasaidia pia!
Ukipenda waweza weka chaga za chuma halfu juu yake unalaza ceiling boardAkinunua cha chuma, chaga nazo ziwe za chuma?
Kitanda hicho kitakuwa ni kitamu. Wadudu nao wanaponea hapoWakuu za muda. Kuna hawa wadudu weupe hivi kama wale wa kahawa, wanakula mbao hatari. Sasa nawasikia kila leo wanakula kitanda na huwa nawachokona hadi kuwapata na kuwaangamiza ila bado wanazaliana. Mwenye kujua dawa anijulishe tafadhi
View attachment 1924107
View attachment 1924108
Pamoja sana mkuu. Ila inavyoonekana wanakula cover ya juu kama unavyoona hapo. Ndani kabisa hawajagusaNdugu yangu nikwambie tu ukweli, hicho kitanda kwisha habari yake. Utahangaika sana lakini, hao wadudu huwa wazazimia kwa muda tu kisha utawasikia tena wanafanya yao.
Chonga kitanda kwa mbao ngumu kama mninga (kuwa makini usiibiwe kwa mininga feki) au nunua cha chuma.
Pia hiyo iwe fundisho pale utakapokuwa unapauwa nyumba yako, hata wauza mbao wakushawishi vipi kuwa ziko treated usikubali, nunua dawa wazi treat upya mbele ya macho yako.