Kitanda na rangi za chumba nilichoandaliwa ukweni kimenisononesha sana

Nashindwaga kuwaelewa wanaume wanaolala ukweni kwao nyumbani nawaona warugaruga afu adabu kidogo sana.
Unatakiwa ulale Lodge kama bado upo unaenda kuwasalimia asubuhi ukimaliza mizunguko yako
 
"Kimjaacho mtu ndio kimtokacho", "afikirivyo mtu moyoni mwake ndio alivyo" sorry to say this: Umejawa na fikra za ushirikina na hiyo inatokana na hofu iliyoko ndani yako"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…