Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
Ramani za kizungu hizo SIO utamaduni wetu
Ya kwetu ni ipi?Ya wazungu waachie wazungu.
Siku hizi kila MTU na sahani yake anakula Kwa muda wake, usipokuwa makini unakuta watoto hawana hata table manners
Nini kifanyike?Kuiga mambo ambayo hatuyawez tabu tupu
Kula kwenye mkeka huku tumeizunguka sinia. Na story za hapa na pale huku wazee wazee wakitupa mawaidha na moto ukiwa unachochewa pembeni.Ya kwetu ni ipi?
ASILI NI ASILI MKUUInapendeza kuona nyumba nyingi za Watanzania zikiwa na jiko n chumba cha kulia, ila cha kushangaza kitchen (jiko) na chumba cha kulia (dining room) ni kama mapambo tu.
Kwa familia kadhaa au wengi utakuta wanatumia chumba cha nje kupikia maarufu kama jiko la nje wengine wanapikia nje tu tena kibarazani na jiko lipo ndani.
Wakati wa mlo Watanzania wanapenda kulia sebuleni. Utakuta chakula kimewekwa kwenye dining table wanajipakulia na kuketi sebuleni au mahali pengine wale.
Hata hawawafundishi watoto wao kula wakiwa wameketi kwenye dining table ni purukushani tu nyumba nzima mtoto anakula au analishwa akimwaga mwaga chakula
Na hii sio tu kwa familia za kipato cha chini na cha kati ni kama
Shida ni nini hasa? Huu ni ushamba au utamaduni huu wa Kimagharibi umetushnda?
Usije na hoja ya jiko la mkaa.[/JUST
Kula kwenye mkeka huku tumeizunguka sinia. Na story za hapa na pale huku wazee wazee wakitupa mawaidha na moto ukiwa unachochewa pembeni.
Unachosema ni kweli, japo kama unataka kuwafundisha watoto maadili ya mezani ni lazima mkae pamoja wakati wa mlo.
hahahaha umenifanya nicheke mkuu.Huu maandiko wako unaumiza macho yangu.
Nyumba zao, chakula chao, wataamua wenyewe wanakula wapi.Inapendeza kuona nyumba nyingi za Watanzania zikiwa na jiko n chumba cha kulia, ila cha kushangaza kitchen (jiko) na chumba cha kulia (dining room) ni kama mapambo tu.
Kwa familia kadhaa au wengi utakuta wanatumia chumba cha nje kupikia maarufu kama jiko la nje wengine wanapikia nje tu tena kibarazani na jiko lipo ndani.
Wakati wa mlo Watanzania wanapenda kulia sebuleni. Utakuta chakula kimewekwa kwenye dining table wanajipakulia na kuketi sebuleni au mahali pengine wale.
Hata hawawafundishi watoto wao kula wakiwa wameketi kwenye dining table ni purukushani tu nyumba nzima mtoto anakula au analishwa akimwaga mwaga chakula
Na hii sio tu kwa familia za kipato cha chini na cha kati ni kama kadesturi ka Watanzania wa hali zote
Shida ni nini hasa? Huu ni ushamba au utamaduni huu wa Kimagharibi umetushinda?
Usije na hoja ya jiko la mkaa.
Sisi kule kijjn watoto wote tulikuwa tunakula pamoja kwenye chombo kimoja yaani Sinia. Hii ilitusaidia kujenga umoja Kama ndugu...
Nyumba zao, chakula chao, wataamua wenyewe wanakula wapi.
Tatizo lako nini?
Kwa sababu wenyewe wametaka, ni haki yao hata wakitaka kuzifanya store, tatizo lako nini?Kwa nini dining rooms na kitchen ziwe kama mapambo?