Kitchen na dining rooms za watanzania wengi hazitumiki inavyotakiwa. Hivi ni kwa nini?

Kitchen na dining rooms za watanzania wengi hazitumiki inavyotakiwa. Hivi ni kwa nini?

Hiyo yakulia dinning kila MTU na sahani yake ni tumeiga tuu,

Ndio maana kuishi kinamna hiyo inakuwa ngumu,

Sisi kule kijjn watoto wote tulikuwa tunakula pamoja kwenye chombo kimoja yaani Sinia. Hii ilitusaidia kujenga umoja Kama ndugu...

Siku hizi Kula pamoja ni adventure... Kisinia shishi food

Siku hizi kila MTU na sahani yake anakula Kwa muda wake, usipokuwa makini unakuta watoto hawana hata table manners,
Hamna undugu unaojengwa Kwa kugombania Sinia Moja la ubwabwa ndio maana muafrica akaitwa nyani sababu nyingine ni hii
 
Inapendeza kuona nyumba nyingi za Watanzania zikiwa na jiko n chumba cha kulia, ila cha kushangaza kitchen (jiko) na chumba cha kulia (dining room) ni kama mapambo tu.

Kwa familia kadhaa au wengi utakuta wanatumia chumba cha nje kupikia maarufu kama jiko la nje wengine wanapikia nje tu tena kibarazani na jiko lipo ndani.

Wakati wa mlo Watanzania wanapenda kulia sebuleni. Utakuta chakula kimewekwa kwenye dining table wanajipakulia na kuketi sebuleni au mahali pengine wale.

Hata hawawafundishi watoto wao kula wakiwa wameketi kwenye dining table ni purukushani tu nyumba nzima mtoto anakula au analishwa akimwaga mwaga chakula

Na hii sio tu kwa familia za kipato cha chini na cha kati ni kama kadesturi ka Watanzania wa hali zote

Shida ni nini hasa? Ni ushamba au utamaduni huu wa Kimagharibi umetushinda?

Usije na hoja ya jiko la mkaa.
​
Mfano kwa wakazi wa Dar wale wasio na feni ndani ya nyumba kipindi cha joto unawashauri wapikie ndani na kula humo humo ndani?
 
Mfano kwa wakazi wa Dar wale wasio na feni ndani ya nyumba kipindi cha joto unawashauri wapikie ndani na kula humo humo ndani?
Sasa mbona hata misimu ambayo siyo ya joto hawatumii jiko na dining?

Kuna vitu huwa nashangaa sana kuhusu Watanzania mtu ana flat T.V ya mamilioni, friji la bei, bonge la muziki, sofa za gharama, nje kapaki gari ya 35m ila jenereta, solar panel, AC, washing machine au feni ndani hana

Hivi Watanzania huwa tunafeli wapi yaani hatujui vitu gani tuvipe kipaumbele katika nyumba zetu

Mtu ana ghorofa umeme ukikatika anatumia mshumaa
​
 
Hiyo yakulia dinning kila MTU na sahani yake ni tumeiga tuu,

Ndio maana kuishi kinamna hiyo inakuwa ngumu,

Sisi kule kijjn watoto wote tulikuwa tunakula pamoja kwenye chombo kimoja yaani Sinia. Hii ilitusaidia kujenga umoja Kama ndugu...

Siku hizi Kula pamoja ni adventure... Kisinia shishi food

Siku hizi kila MTU na sahani yake anakula Kwa muda wake, usipokuwa makini unakuta watoto hawana hata table manners,
Huo ni utaratibu nyumbani kwa wajomba zangu hadi Leo, kitengwe kipepetwe.
 
Back
Top Bottom