Kitchen na dining rooms za watanzania wengi hazitumiki inavyotakiwa. Hivi ni kwa nini?

Kitchen na dining rooms za watanzania wengi hazitumiki inavyotakiwa. Hivi ni kwa nini?

Usisahau kugusia;
  1. Kitchan store - wengi huitumia kuhifadhia vyombo, majembe, mifagio na makorokoro mengine
  2. Choo cha maji cha ndani - wengi hawaweki matenki yake ya kuflashia wanatumia ndoo au kikombe
  3. Choo cha kukaa - wengi hawavitaki,
  4. Bafu la ndani - hawaweki shower rose wanataka ndoo na kikombe au kata ya kifuu cha nazi (hasa Tanga)
 
Una hoja mkuu

Na inatakiwa hasa sisi akina baba angalau mlo wa usiku tule na watoto wetu ni nafasi ya kuwafundisha table manners na hata kupiga nao stori mbili tatu za maisha, masomo na ushauri
​
Ni kweli, Kula nao pamoja na kuzungumza mawili matatu hujenga bond na pia watoto unaweza kufahamu vitu vingi wanavyovipitia
 
Hamna undugu unaojengwa Kwa kugombania Sina Moja ndio maana muafrica akaitwa nyani sababu nyingine ni hii
Mkuu labda hapa dsm ndio kuna shida ya chakula.

Sisi kijjn ilikuwa chakula kipo, mnatenga kikiisha kwenye Sinia mnaongeza, yaan chakula hakikuwahi kutokutosha

Kwa hiyo wale wanaokaaa shishi food Kula kisinia ni manyani?
 
Nyumba zao, chakula chao, wataamua wenyewe wanakula wapi.

Tatizo lako nini?
Kwa sababu wenyewe wametaka, ni haki yao hata wakitaka kuzifanya store, tatizo lako nini?

Mzee WA Uhuru binafsi. Mkuu jina lako liandikwe kwenye statue of liberty pale marekani.

Lakini kutoa maoni pia si Uhuru?? Mtoa mada ametoa maoni na mtazamo wake
 
Usisahau kugusia;
  1. Kitchan store - wengi huitumia kuhifadhia vyombo, majembe, mifagio na makorokoro mengine
  2. Choo cha maji cha ndani - wengi hawaweki matenki yake ya kuflashia wanatumia ndoo au kikombe
  3. Choo cha kukaa - wengi hawavitaki,
  4. Bafu la ndani - hawaweki shower rose wanataka ndoo na kikombe au kata ya kifuu cha nazi (hasa Tanga)
Hawajui falsafa ya "a man's house is his castle".
Cc
Kiranga
 
Mzee WA Uhuru binafsi. Mkuu jina lako liandikwe kwenye statue of liberty pale marekani.

Lakini kutoa maoni pia si Uhuru?? Mtoa mada ametoa maoni na mtazamo wake
Maoni kutoa ruksa.

Na kukosolewa ruksa.

Vonginevyo, tutajifunza vipi habari kama hizo za libertarianism, uhuru wa mtu binafsi, a man's house is his castle?

"AI Overview

"A man's home is his castle" is a proverb and legal principle emphasizing the sanctity and inviolability of a person's home, meaning they have the right to privacy and control within their residence.

Here's a more detailed explanation:

Origin:
The phrase has roots in English common law and was popularized by the 17th-century jurist Sir Edward Coke, who declared in Semayne's Case that a person's house is their "castle and fortress".

Meaning:
It signifies that a person's home is a place of safety, privacy, and sanctuary, where they have the right to feel secure and be free from intrusion or harm.

Legal Significance:
This principle is a cornerstone of the Fourth Amendment to the United States Constitution, which protects against unreasonable searches and seizures.

Modern Interpretation:
While the phrase evokes a sense of strong defense, the modern understanding emphasizes the right to privacy and the need for a warrant or permission before entering someone's home.

Examples:
Law enforcement generally needs a warrant to search a person's home, unless there are exceptions, such as an emergency or consent.
Landlords have limited rights to enter a tenant's property, and must provide notice before doing so.
 
Ni kweli, Kula nao pamoja na kuzungumza mawili matatu hujenga bond na pia watoto unaweza kufahamu vitu vingi wanavyovipitia
Umesema vyema.

Katika visa fulani watoto wanafanyiwa mambo ya hovyo huenda shuleni, mtaani au hata nyumbani ila wazazi wanachelewa kuja kujua ni kwa sababu hawakuwa wanatenga muda wa kuzungumza na watoto wao
​
 
Siku moja moja saana. Mkuu
Hongera hata kama ni siku moja moja unasaidia kuchochea cheche za upendo kwenye ndoa yako

Mambo madogo madogo kama hayo huwa yanaboresha ndoa, na wanawake jinsi walivyoumbwa kihisia huwa yanawagusa sana huenda sisi wanaume tukachukulia poa

Ni kweli mkuu,

Jumapili lazima nikae na vijana round table na mama Yao tule ubwabwa kwenye Sinia moja,
 
Hiyo yakulia dinning kila MTU na sahani yake ni tumeiga tuu,

Ndio maana kuishi kinamna hiyo inakuwa ngumu,

Sisi kule kijjn watoto wote tulikuwa tunakula pamoja kwenye chombo kimoja yaani Sinia. Hii ilitusaidia kujenga umoja Kama ndugu...

Siku hizi Kula pamoja ni adventure... Kisinia shishi food

Siku hizi kila MTU na sahani yake anakula Kwa muda wake, usipokuwa makini unakuta watoto hawana hata table manners,
Watoto kweli hawana table manners, wachoyo na ndio faida ya kula kila mtu kivyake.
 
Ni kweli mkuu,

Jumapili lazima nikae na vijana round table na mama Yao tule ubwabwa kwenye Sinia moja,
Ni pindi moja amazing sana nadhani huwa unajionea jinsi familia yako inakuwa na furaha wakati huo

Keep doing it bro ndoa ni kama moto usipochochea kuni moto wa upendo utazima

Badala ya kufurahia maisha ya ndoa mtaanza kuvumilia ndoa
​
 
Watoto kweli hawana table manners, wachoyo na ndio faida ya kula kila mtu kivyake.
Wazazi wa siku hawawafundishi watoto wao ukarimu

Zamani ilikuwa ni desturi kusikia mzazi akimwambia mtoto wake mdogo anayekula kitu fulani kama andazi au biskuti n.k haya mpe na mwenzio mtoto anampa.

Ilikuwa hivyo hata kama ulienda kama mgeni mzazi atamwambia mpe uncle, bamdogo, aunt n.k na mtoto akifaulu wote wanampongeza na kumsifu wewe sio mchoyo mtoto mzuri

Mitoto ya siku hizi inalelewa kiuchoyo sana. Usishangae ndio maana ubinafsi umejaa kwenye jamii ya leo
​
 
Back
Top Bottom