Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
- Thread starter
- #81
Wakifanya choo chao kama bafu kao ni hako yao.
Hawajafanya choo chako bafu lao.
Tatizo lako nini?
Unataka kuwapangia maisha?
Kila kitu kipo kwa matumizi yake hususa, kuogea chooni ni matumizi yasiyofaa ya choo