Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 89,019
- 156,726
Thobitisha ni uongo.Basi acha kutuaminisha uongo.
Thobitisha ni uongo.Basi acha kutuaminisha uongo.
Sio hilo tu, kuna familia ambazo zina vyombo vizuri sana kwaajili ya Wageni, yaani wao hawavitumii mpaka aje mgeni au wageni ndio wavitoe...hasa vyombo vya UdongoInapendeza kuona nyumba nyingi za Watanzania zikiwa na jiko na chumba cha kulia, ila cha kushangaza kitchen (jiko) na chumba cha kulia (dining room) ni kama mapambo tu.
Kwa familia kadhaa au wengi utakuta wanatumia chumba cha nje kupikia maarufu kama jiko la nje wengine wanapikia nje tu tena kibarazani na huku jiko lipo ndani.
Wakati wa mlo Watanzania wanapenda kulia sebuleni. Utakuta chakula kimewekwa kwenye dining table wanajipakulia na kuketi sebuleni au mahali pengine hata nje kabisa au vyumbani.
Hata hawawafundishi watoto wao kula wakiwa wameketi kwenye dining table ni purukushani tu nyumba nzima mtoto anakula au analishwa akimwaga mwaga chakula
Na hii sio tu kwa familia za kipato cha chini na cha kati ni kama kadesturi ka Watanzania wa hali zote
Shida ni nini hasa? Ni ushamba au huu utamaduni wa Kimagharibi umetushinda?
Usije na hoja ya jiko la mkaa.
Huo sio utamaduni ni UmasikiniUnachosema ni kweli, japo kama unataka kuwafundisha watoto maadili ya mezani ni lazima mkae pamoja wakati wa mlo.
I'm not here to seek for ya approval.Thobitisha (?????) ni uongo.
Yaani Ushamba ushamba tuSio hilo tu, kuna familia ambazo zina vyombo vizuri sana kwaajili ya Wageni, yaani wao hawavitumii mpaka aje mgeni au wageni ndio wavitoe...hasa vyombo vya Udongo
Yaani Ushamba ushamba tu
Mradi tumeshiba si dinning ya Nini!?Inapendeza kuona nyumba nyingi za Watanzania zikiwa na jiko na chumba cha kulia, ila cha kushangaza kitchen (jiko) na chumba cha kulia (dining room) ni kama mapambo tu.
Kwa familia kadhaa au wengi utakuta wanatumia chumba cha nje kupikia maarufu kama jiko la nje wengine wanapikia nje tu tena kibarazani na huku jiko lipo ndani.
Wakati wa mlo Watanzania wanapenda kulia sebuleni. Utakuta chakula kimewekwa kwenye dining table wanajipakulia na kuketi sebuleni au mahali pengine hata nje kabisa au vyumbani.
Hata hawawafundishi watoto wao kula wakiwa wameketi kwenye dining table ni purukushani tu nyumba nzima mtoto anakula au analishwa akimwaga mwaga chakula
Na hii sio tu kwa familia za kipato cha chini na cha kati ni kama kadesturi ka Watanzania wa hali zote
Shida ni nini hasa? Ni ushamba au huu utamaduni wa Kimagharibi umetushinda?
Usije na hoja ya jiko la mkaa.
Tena tulikuwa tunafundishana hata jinsi ya kutafuna chakula,siku hizi mtu anatafuta kama vile kelele za chekechea!Hiyo yakulia dinning kila MTU na sahani yake ni tumeiga tuu,
Ndio maana kuishi kinamna hiyo inakuwa ngumu,
Sisi kule kijjn watoto wote tulikuwa tunakula pamoja kwenye chombo kimoja yaani Sinia. Hii ilitusaidia kujenga umoja Kama ndugu...
Siku hizi Kula pamoja ni adventure... Kisinia shishi food
Siku hizi kila MTU na sahani yake anakula Kwa muda wake, usipokuwa makini unakuta watoto hawana hata table manners,
Mradi tumeshiba si dinning ya Nini!?
Kwa hili nakuunga mkono, una haki maana infringement of privacy is a crime offense.I am not here to seek your approval.
Especially on a proof that would ultimately expose my identity in a way I do not want.
Nimejibu swali.
Una haki na uhuru kuona porojo.
Sijali.
Ikiwa tumeiga utamaduni wao hadi wa kuabudu nini kitatushinda kuiga?Hiyo yakulia dinning kila MTU na sahani yake ni tumeiga tuu,
Ndio maana kuishi kinamna hiyo inakuwa ngumu,
Sisi kule kijjn watoto wote tulikuwa tunakula pamoja kwenye chombo kimoja yaani Sinia. Hii ilitusaidia kujenga umoja Kama ndugu...
Siku hizi Kula pamoja ni adventure... Kisinia shishi food
Siku hizi kila MTU na sahani yake anakula Kwa muda wake, usipokuwa makini unakuta watoto hawana hata table manners,
So go to my ignore list troll.I'm not here to seek for ya approval.
It does not need to be a crime to be busybodying, distasteful and nosy.Kwa hili nakuunga mkono, una haki maana infringement of privacy is a crime offense.
sawaIt does not need to be a crime to be busybodying, distasteful and nosy.
Huu ni utamaduni wa wazungu. Mbona jamii nyingine kama waarabu, wahindi wengi bado wanatumia utamaduni wao wa kula kwenye majamvi, wamekaa chini? Hata sisi tunaweza kuendelea na utamaduni wetu wa kula.Una hoja mkuu
Na inatakiwa hasa sisi akina baba angalau mlo wa usiku tule na watoto wetu ni nafasi ya kuwafundisha table manners na hata kupiga nao stori mbili tatu za maisha, masomo na ushauri
Huu ni utamaduni wa wazungu. Mbona jamii nyingine kama waarabu, wahindi wengi bado wanatumia utamaduni wao wa kula kwenye majamvi, wamekaa chini? Hata sisi tunaweza kuendelea na utamaduni wetu wa kula.
Kama kuna walionunua na hawatumii basi ni ulimbukeni, kufuata mkumbo. Au wengine wanaweza kusema wanatumia pale wanapokuwa na wageni wenye utamaduni tofauti. BTW unadhani wazungu muda wote hula wakiwa wamekaa rasmi mezani?Swali ni ulinunua dining table ya nini kama kuna majamvi na mikeka?
Huo Ni umama. I'll not ignore you simply because I'm different in opinions against you. Hiyo tabia ni ya wamama ambao wanatumia hisia kufikri.So go to my ignore list troll.
From here on I will not see any of your crap.
Kabisa mkuu kuna watu ni wachoyo sana."Usimnyime mtu chakula, hili neno nimekua nalo."
Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo
Umepata mama mkarimu sana wengine wamekua wakiona mama zao wanaficha chakula wageni au watoto wenzao wakiingia kwao
Mtoto anayekulia mazingira hayo lazima awe mchoyo kama mama yake
Hii ipo sana kwa sasa, ndugu waliokulia kwenye familia yenye upendo ni kawaida sana kuweza kusaidiana ila waliokulia kwenye familia za kila mtu chake hata kuuana ni jambo rahisi kwao na wengi huwa wanapigana vita sana.Ni kweli mkuu,
Watoto wanapaswa walelewe Kwa kuwa wamoja na Kwa upendo mkuu. Hii individualism inayojengwa kwenye familia Hadi mashuleni yaani MTU chake no sharing ukubwani huwa shida saana
Yaan unakuta watoto wafamilia moja mmoja anashida mwingine hawezi kusaidia. Tupo radhi asaidie watu Baki na sio ndugu zake.