Uchaguzi 2020 Kitendawili cha uchaguzi 2020, Maalim Seif ana siri nzito Zanzibar

Uchaguzi 2020 Kitendawili cha uchaguzi 2020, Maalim Seif ana siri nzito Zanzibar

KISHADA

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2012
Posts
2,226
Reaction score
3,291
Huyu mzee muone tu vile alivyo. Akiwa mzoefu wa siasa, mtu asiyeyumba na mwenye historia ya kukumbana na vikwazo vingi vya chama dola (CCM) amekuwa mtu wa kutokata tamaa.

Yaliyopita yamepita tokea uchaguzi wa 1995 hadi uchaguzi wa 2015 , CCM ilipodhihirisha kuwa haiko tayari kukabidhi madaraka licha ya miafaka mingi iliyofanywa ili Zanzibar iweze kusonga mbele. Wakati tunaelekea 2020 Zanzibar inaendeshwa bila uwepo wa gnu ambayo ni matakwa ya Katiba. SMT ipo inailinda serikali ya Dr Shein. Maalim hachoki kuwatuliza watu wake na kutaka wasikate tamaa. Taarifa zilizopo si kuwa Wana CCM wameridhika kuendesha serikali Yao bila bubudha lakini Wana hofu hawajui huyu mzee kakusudia nini hasa.

Tayari hofu kuelekea 2020 imewaingia kutokana na kujuwa ukweli kwamba Zanzibar Kuna mgogoro ambao haujapatiwa ufumbuzi. Kinachowapa hofu CCM ni usiri wa maalim Seif juu ya Nini hasa anatarajia kifanyike. CCM Wana hofu kwamba watakwenda kwenye uchaguzi kwa mazingira ya sasa na kusiwe na mageuzi yoyote na wadau wote wa uchaguzi wa ndani na nje watakubali? Ukweli wanajuwa kuwa kuna dhambi ya kidemokrasia ilifanywa na kamwe hairuhusu kufanywa tena uchaguzi kwa mazingira Yale yale.

Zipo taarifa za kuongezeka hofu kutokana na maalim kufanya ziara ya karibuni kule ughaibuni na kuwa kimya Hadi sasa zaidi ya kuwaahidi wafuasi wake kuwa haki Yao itapatikana. Nini kinaendelea hasa ni siri. Jee cuf na maalim Seif ndio wameridhika au kuna nini kuelekea 2020? Jee watashiriki uchaguzi huo kwa mazingira haya. Jee dunia ndio imebariki uchaguzi ule wa 2015 na kwamba wako radhi uchaguzi wa 2020 uendelee bila kufanywa chochote? Hapo ndipo unapomuona maalim Seif na harakati zake akiwa na Siri nzito.

Vyanzo vya uhakika vimethibitisha kwamba harakati za azimio la Zanzibar la vyama na kule kutangulizwa mbele maalim Seif kuongoza harakati hizo kumezidi kuwapa hofu CCM.

Maalim Seif ana siri nzito.

Kishada
 
Naye yanaweza kumpata ya TL then kukawa kimya tu kama hakijatokea kitu. Watu wako mgahawani wanakunywa juisi alafu nyie mnaleta madharau
 
kwa siasa za znz kwasaasa nawatabiria makubwwa na mazuri aliyewahi kuwa mwanasheria kuu znz Othman Mansoor
Au Naibu katibu mkuu Mazrui.
naamini kwa sasa hawa ndio wanaoaminiwa zaidi na wananchi.

Maalim kajitega. Kajiingiza kwenye mtego na umemnasa na sasa ukimya alionao anatafuta njia ya kujinasua na haioni.

Aliwaahidi wawznz kuwa sisiem itamkabidhi ushindi wake kabla ya 2020. Sasa hataki hata kuisikia ahadi hii ikitamkwa na kiongozi yyt was CUF. Njia pekee aliyobakiwa naamin ni hizi 2

1. kuleta fitna kwa CUF. Kuwa CUF tunuachie Lipumba, na wao haiotowafaa tena na atashawishi wafuasi wake wajiunge CHADEMA.

2. Hili akifanikiwa sasa atafanya figisu ili yeye awe mgombea memza wa JMT.

Hadi sasa siioni naafasi ya kugombea Urais wa Znz eitha kwa CUF au chama chcht kingine kwani kama ahadi aliyoitoa (kuwa atakabidhiwa Ushindi wke na sisiem) haitotimia atakuwa kajipunguzia credibility yake.
 
Hayo ndo maneno aliyokwambia maalim?
Huyu mzee muone tu vile alivyo. Akiwa mzoefu wa siasa, mtu asiyeyumba na mwenye historia ya kukumbana na vikwazo vingi vya chama dola (CCM) amekuwa mtu wa kutokata tamaa. Yaliyopita yamepita tokea uchaguzi wa 1995 hadi uchaguzi wa 2015 , CCM ilipodhihirisha kuwa haiko tayari kukabidhi madaraka licha ya miafaka mingi iliyofanywa ili Zanzibar iweze kusonga mbele. Wakati tunaelekea 2020 Zanzibar inaendeshwa bila uwepo wa gnu ambayo ni matakwa ya Katiba. SMT ipo inailinda serikali ya Dr Shein. Maalim hachoki kuwatuliza watu wake na kutaka wasikate tamaa. Taarifa zilizopo si kuwa Wana CCM wameridhika kuendesha serikali Yao bila bubudha lakini Wana hofu hawajui huyu mzee kakusudia nini hasa. Tayari hofu kuelekea 2020 imewaingia kutokana na kujuwa ukweli kwamba Zanzibar Kuna mgogoro ambao haujapatiwa ufumbuzi. Kinachowapa hofu CCM ni usiri wa maalim Seif juu ya Nini hasa anatarajia kifanyike. CCM Wana hofu kwamba watakwenda kwenye uchaguzi kwa mazingira ya sasa na kusiwe na mageuzi yoyote na wadau wote wa uchaguzi wa ndani na nje watakubali? Ukweli wanajuwa kuwa kuna dhambi ya kidemokrasia ilifanywa na kamwe hairuhusu kufanywa tena uchaguzi kwa mazingira Yale yale. Zipo taarifa za kuongezeka hofu kutokana na maalim kufanya ziara ya karibuni kule ughaibuni na kuwa kimya Hadi sasa zaidi ya kuwaahidi wafuasi wake kuwa haki Yao itapatikana. Nini kinaendelea hasa ni siri. Jee cuf na maalim Seif ndio wameridhika au kuna nini kuelekea 2020? Jee watashiriki uchaguzi huo kwa mazingira haya. Jee dunia ndio imebariki uchaguzi ule wa 2015 na kwamba wako radhi uchaguzi wa 2020 uendelee bila kufanywa chochote? Hapo ndipo unapomuona maalim Seif na harakati zake akiwa na Siri nzito. Vyanzo vya uhakika vimethibitisha kwamba harakati za azimio la Zanzibar la vyama na kule kutangulizwa mbele maalim Seif kuongoza harakati hizo kumezidi kuwapa hofu CCM. Maalim Seif ana siri nzito. Kishada

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa siasa za znz kwasaasa nawatabiria makubwwa na mazuri aliyewahi kuwa mwanasheria kuu znz Othman Mansoor
Au Naibu katibu mkuu Mazrui.
naamini kwa sasa hawa ndio wanaoaminiwa zaidi na wananchi.

Maalim kajitega. Kajiingiza kwenye mtego na umemnasa na sasa ukimya alionao anatafuta njia ya kujinasua na haioni.

Aliwaahidi wawznz kuwa sisiem itamkabidhi ushindi wake kabla ya 2020. Sasa hataki hata kuisikia ahadi hii ikitamkwa na kiongozi yyt was CUF. Njia pekee aliyobakiwa naamin ni hizi 2

1. kuleta fitna kwa CUF. Kuwa CUF tunuachie Lipumba, na wao haiotowafaa tena na atashawishi wafuasi wake wajiunge CHADEMA.

2. Hili akifanikiwa sasa atafanya figisu ili yeye awe mgombea memza wa JMT.

Hadi sasa siioni naafasi ya kugombea Urais wa Znz eitha kwa CUF au chama chcht kingine kwani kama ahadi aliyoitoa (kuwa atakabidhiwa Ushindi wke na sisiem) haitotimia atakuwa kajipunguzia credibility yake.
Ungejielekeza kwenye mada na hio hofu waliyonayo CCM. Hayo maelezo mengine tusubiri huo uchaguzi kama utafanyika au la.
 
Jambo la kuzingatiwa hapa ni jee mazingira ya uchaguzi yatabaki yale yale au kuna setting gani inaandaliwa ili wadau wawe na imani.ikizingatiwa kuwa CCM ukiwashinda sasa wanafuta uchaguzi mazima halafu wanashusha vufaru na kufanya tena uchaguzi wao ili kuhalalisha kutawala. Hapa ndipo tatizo lilipo
 
Naye yanaweza kumpata ya TL then kukawa kimya tu kama hakijatokea kitu. Watu wako mgahawani wanakunywa juisi alafu nyie mnaleta madharau
Hapana huyu hahitaji risasi...silaha kuu ya kumuangamiza ni JAJI MUTUNGI ambaye hashtakiwi popote
 
Ungejielekeza kwenye mada na hio hofu waliyonayo CCM. Hayo maelezo mengine tusubiri huo uchaguzi kama utafanyika au la.
Soma kwa makini tahariri yangu. Sijasema sisiem sana hofu. Hoja hii umeileta wewe. Nimejaribu kuelezea matarajio makubwa uliyonayo kwa Maalim seif ambayo kwa maoni yangu hayapo.
Maalim kwass kakwama
 
Naye yanaweza kumpata ya TL then kukawa kimya tu kama hakijatokea kitu. Watu wako mgahawani wanakunywa juisi alafu nyie mnaleta madharau
Hapana huyu hahitaji risasi...silaha kuu ya kumuangamiza ni JAJI MUTUNGI ambaye hashtakiwi popote
 
Ndege Mjanja hunasa Kwenye Tundu bovu

Kuchelewa kuitisha kikao Cha kubariki uamuzi wa Lipumba kujiuzulu hadi Lipumba akaamua kupiga U turn kumeharibu kabisa hesabu zake Za Kisiasa Mzee Sefu

Mpaka sasa hajui apiganie 'urais' Au Ukatibu Mkuu wa CUF

Kosa la pili Ni kukataa kwake kuzungumza Na Lipumba hili Ni kosa kubwa Sana kwa Kuwa bora wange zungumza Halafu Mazungumzo yashindikane Au wamlaghai then wamfanyie Mapinduzi ya Kikatiba Kama walivyomfanyie Mzee James Mapalala

Kitendo Cha Mtatiro kumuacha Njia panda wakati alikuwa anaamini ndie angeweza Kuwa Mpiganaji wake Jasiri upande wa Bara kumevuruga kabisa hesabu zake Ni Sawa Na Adui kuteka Ghala lako la Silaha Muda mchache kabla ya Vita kuanza

202 CCM itashinda Znz kwa urahisi Kuliko 2015 kwa Kuwa wanapelekewa 'Mtu wa Hapa kazi tu'
 
Soma kwa makini tahariri yangu. Sijasema sisiem sana hofu. Hoja hii umeileta wewe. Nimejaribu kuelezea matarajio makubwa uliyonayo kwa Maalim seif ambayo kwa maoni yangu hayapo.
Maalim kwass kakwama
Nimesoma kwa nukta kabisa. Umekwenda siko. Hapo twazungumzia Siri aliyonayo kuelekea 2020 na hofu ya upande wa pili Nini kitatokea ili kuweka mazingira ya uchaguzi sawa. Wewe unakuja na tumaini la kugombania urais.
 
Hana Siri yyt Muslim zaidi ya kukwama tu. Na Hakuna tofauti Wala Siri tunapoelekea 2020 ina Maana tunaelekea kwenye uchaguzi WA kumpata rais.

Unbelievable sisiema inaendelea kushikwa pabaya na wafadhili ilhali haiko tayari kumuachia nchi Maalim seif
 
Back
Top Bottom