Sawa Mangungu,,Alikutapeli nini? Kama utapeli ni njia mojawapo ya kufikia mafanikio aliyonayo Mo bora nawe uwe tapeli ili utajirike.
Huwa mnapenda kuhangaika na watu waliombele maili nyingi sijui kwanini.
Tutafuteni maisha tuache kujifariji.
Mwamedi na Hersi wana uadui gani? hebu tujuze.Mo Dewji acha leo yakukute kwani ulimuamini mno Barbara Gonzalez alipokuwa CEO wa Simba SC kiasi kwamba ulikuwa Ukiwachukia wote waliokuwa wakikuletea Mapungufu yake yaliyokuwa yakiigharimu Simba SC yako.
Haya sasa Mtu uliyekuwa Ukimuamini tena kwa 100% Kaacha Kukufolo katika Mitandao yake na Kumfolo Adui yako na Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said na nina Taarifa ninazoendelea Kuzithibitisha kuwa huenda muda wowote Barbara Gonzalez atahamia Yanga SC.
Kitendo ambacho GENTAMYCINE nasema kitaendelea Kuiumiza Simba SC hasa kwa Mambo yake Kujulikana kama ambavyo aliyekuwa Msemaji Wetu Haji Manara alivyohamia tu Yanga SC amekuwa Mwiba mgumu Kwetu kwani kawapa Yanga SC Siri zote za Simba SC walizozitumia vyema katika Kutuangamiza Kimchezo na Kimafanikio.
Engineer ndio January Makamba?Kwani hamjui kama Babra kazalishwa na Eng?
Wa 'Kukaziana' huyo Mrembo.Mwamedi na Hersi wana uadui gani? hebu tujuze.
Na Wewe unaamini kabisa kama Wapuuzi Wengine kuwa huyo Mtoto ni wa January Makamba? Nazidi Kukushangaa tu na kukupa Pole pia.Engineer ndio January Makamba?
Hahahahaha!!! nakumbuza nyuzi zako za 'kukisanua' ulikuwa unashusha episodes kihasira baada ya kipigo kutuka kwa Orlando pirates.Mwaka jana hapa hapa JamiiForums kwa Kujiamini kabisa GENTAMYCINE nilianzisha Uzi ( tena kwa Kujiamini kabisa ) nilisema CEO wa zamani wa Simba SC Barbara Gonzalez ana Mahusiano ya Kibaiolojia na Rais wa Yanga SC Injina Hersi Said na kwamba huwa wanakutana Nje ya Tanzania ( hasa Ulaya ) na kwamba Yanga SC wanajua Siri nyingi za Simba kwakuwa kwa Mahaba Barbara alikuwa akiyamwaga yote kwa Rais wa Yanga SC.
Narudia huo Uzi wangu uko hapa JamiiForums na kwa wale Visokolokwinyo ( Wapuuzi ) walionishangaa, walionibishis na Kunitukana mno wautafute kisha bila Aibu waje hapa Kuniomba Radhi.
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!
Cc: Arovera, PakiJinja
Sheli kama Buguruni.Mo siyo tajiri, anasimamia Mali za ukoo,alipomaliza chuo huko marekani,alikua akifanya kazi sheli,wazee walipoona wanataka kupumzika,wakamwita akae dukani
Hizohizo,alikua akipita mafuta,kwa kauli yake mwenyewe akihojiwa na salama kwenye mkasiSheli kama Buguruni.
Acha dharauMo siyo tajiri, anasimamia Mali za ukoo,alipomaliza chuo huko marekani,alikua akifanya kazi sheli,wazee walipoona wanataka kupumzika,wakamwita akae dukani
Umepngea UkweliMkuu Mo sio tajiri anasimamia Mali za ukoo kwanini na wewe usisimamie za ukoo wenu uwe billionaire?
Pia wanasema hii imekwendaUzuri Mtani ulikua unawaandikia hapa mambo mengi hawakuelewa hadi maneno kubaiolojiana ulilisema hawakukusikia walihisi ni maneno ya kijiweni haya wakenya wanasema mambo imechemka, ulipotaja virusi wa timu yenu walijikausha yako wapi sasa
Naww unamuamini maskini akikosa hela ana kauli za kujifajiriUmepngea Ukweli
Na wewe kasimamie za ukoo wenu Ili tukufahamu Kama tajiriMo siyo tajiri, anasimamia Mali za ukoo,alipomaliza chuo huko marekani,alikua akifanya kazi sheli,wazee walipoona wanataka kupumzika,wakamwita akae dukani
Ha ha haSikuwahi kuwaza kwamba ipo siku nitalike uzi wa popoma. Kula like popoma sometimes hata saa mbovu husema ukweli.
Mambo ya jikoni ya kukata nyanya na vitunguu tuwaachie wenyewe muda mwingne jenta anahangaika na vitu ambavyo havina umuhimuMkuu uyo Babra ahamie yanga Kama nani? Ahamie kama shabiki, mwanachama,kiongozi au kama nani pale yanga?
Babra sio mwajiriwa tena wa simba, anayo maisha yake uko aliko kwaiyo sioni kama kumfolo Eng. na kutomfolo Mo kama kuna impact yoyote ile kwa simba na Mo mwenyewe.
Hiyo vita ni mambo yao binafsi wanajuana wao wamedhulumiana nini wayajenge wayamalize uko na sidhani kama babra ana impact yoyote kwa sasa kwenye mpira wa bongo apambane na hali yake
Nani aliyekuambia Hersi na Mo ni maadui?Mo Dewji acha leo yakukute kwani ulimuamini mno Barbara Gonzalez alipokuwa CEO wa Simba SC kiasi kwamba ulikuwa Ukiwachukia wote waliokuwa wakikuletea Mapungufu yake yaliyokuwa yakiigharimu Simba SC yako.
Haya sasa Mtu uliyekuwa Ukimuamini tena kwa 100% Kaacha Kukufolo katika Mitandao yake na Kumfolo Adui yako na Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said na nina Taarifa ninazoendelea Kuzithibitisha kuwa huenda muda wowote Barbara Gonzalez atahamia Yanga SC.
Kitendo ambacho GENTAMYCINE nasema kitaendelea Kuiumiza Simba SC hasa kwa Mambo yake Kujulikana kama ambavyo aliyekuwa Msemaji Wetu Haji Manara alivyohamia tu Yanga SC amekuwa Mwiba mgumu Kwetu kwani kawapa Yanga SC Siri zote za Simba SC walizozitumia vyema katika Kutuangamiza Kimchezo na Kimafanikio.