Kitendo cha balozi Polepole kujiuzulu kimeivua nguo CCM kimataifa lakini ni nini kinampa Polepole ujasiri huu?

fazili

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
17,994
Reaction score
24,902
Kwa kweli kujiuzulu kwa balozi Humphrey Polepole kumeishtua CCM lakini zaidi sana kimemshtua mwenyekiti wa CCM na rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania.

Kujiuzulu kwa balozi Polepole kumetokea wakati ambapo serikali ya Tanzania inashutumiwa ndani na nje kwa kukandamiza haki za raia.

Tayari vyombo vya habari vya nje ya nchi vimeanza kuunga mkona maamuzi ya balozi Polepole na kuona uamuzu huu ni hatua nzuri ya kuishinikiza serikali kuangalia upya msimamo wake kuhusu haki na demokrasia.

Je Polepole ana maono gani? Je ataendelea kubaki na hadhi yake ya ubalozi?
 
Aliondoka Lowassa , sumaye,

Ije kuwa Huyu aliyetengwa,?
 
Tanzania mpya itazaliwa soon
 
Polepole ajiuzulu kushinikiza demokrasia....

Jamaa aliyenajisi demokrasia huku akidhihaki wahanga leo anajiuzulu kushinikiza demokrasia....Hiki kitakuwa ni kituko kikubw zaidi katika siasa za Tanzania
Ila watanzania ni wasahaulifu Leo Polepole anaonekana shujaa kumbe ndio wale wale kesi ya ngedere ukampelekea nyani.
 
Back
Top Bottom