Kwa kweli kujiuzulu kwa balozi Humphrey Polepole kumeishtua CCM lakini zaidi sana kimemshtua mwenyekiti wa CCM na rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania.
Kujiuzulu kwa balozi Polepole kumetokea wakati ambapo serikali ya Tanzania inashutumiwa ndani na nje kwa kukandamiza haki za raia.
Tayari vyombo vya habari vya nje ya nchi vimeanza kuunga mkona maamuzi ya balozi Polepole na kuona uamuzu huu ni hatua nzuri ya kuishinikiza serikali kuangalia upya msimamo wake kuhusu haki na demokrasia.
Je Polepole ana maono gani? Je ataendelea kubaki na hadhi yake ya ubalozi?