TuliaIla watanzania ni wasahaulifu Leo Polepole anaonekana shujaa kumbe ndio wale wale kesi ya ngedere ukampelekea nyani.
NakaziaSio balozi tena.. Ila hadhi itabaki palepale lakini sio kwa ccm
Kwa kweli kujiuzulu kwa balozi Humphrey Polepole kumeishtua CCM lakini zaidi sana kimemshtua mwenyekiti wa CCM na rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania.
Kujiuzulu kwa balozi Polepole kumetokea wakati ambapo serikali ya Tanzania inashutumiwa ndani na nje kwa kukandamiza haki za raia.
Tayari vyombo vya habari vya nje ya nchi vimeanza kuunga mkona maamuzi ya balozi Polepole na kuona uamuzu huu ni hatua nzuri ya kuishinikiza serikali kuangalia upya msimamo wake kuhusu haki na demokrasia.
Je Polepole ana maono gani? Je ataendelea kubaki na hadhi yake ya ubalozi?
Huku kwingine The big show kaanzisha Uzi anapondea,Pole pole anahoja,tumkilize!Kwa kweli kujiuzulu kwa balozi Humphrey Polepole kumeishtua CCM lakini zaidi sana kimemshtua mwenyekiti wa CCM na rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania.
Kujiuzulu kwa balozi Polepole kumetokea wakati ambapo serikali ya Tanzania inashutumiwa ndani na nje kwa kukandamiza haki za raia.
Tayari vyombo vya habari vya nje ya nchi vimeanza kuunga mkona maamuzi ya balozi Polepole na kuona uamuzu huu ni hatua nzuri ya kuishinikiza serikali kuangalia upya msimamo wake kuhusu haki na demokrasia.
Je Polepole ana maono gani? Je ataendelea kubaki na hadhi yake ya ubalozi?
Mungu kamuonyaa!Na tuheshimu!Polepole ajiuzulu kushinikiza demokrasia....
Jamaa aliyenajisi demokrasia huku akidhihaki wahanga leo anajiuzulu kushinikiza demokrasia....Hiki kitakuwa ni kituko kikubw zaidi katika siasa za Tanzania
kama sio ccm wanatuchezea mchezo ili kutupoteza ramani, basi kutakuwa na jambo kubwa sana ndani ya ccm, au yeye atakuwa amejipanga sasa.Kwa kweli kujiuzulu kwa balozi Humphrey Polepole kumeishtua CCM lakini zaidi sana kimemshtua mwenyekiti wa CCM na rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania.
Kujiuzulu kwa balozi Polepole kumetokea wakati ambapo serikali ya Tanzania inashutumiwa ndani na nje kwa kukandamiza haki za raia.
Tayari vyombo vya habari vya nje ya nchi vimeanza kuunga mkona maamuzi ya balozi Polepole na kuona uamuzu huu ni hatua nzuri ya kuishinikiza serikali kuangalia upya msimamo wake kuhusu haki na demokrasia.
Je Polepole ana maono gani? Je ataendelea kubaki na hadhi yake ya ubalozi?
Mimii pia, nawasiwasiihuoWas was wangu zisije zikawa ndio drama zile zile kama kawaida ya nchi hii
Ila watanzania ni wasahaulifu Leo Polepole anaonekana shujaa kumbe ndio wale wale kesi ya ngedere ukampelekea nyani.
Nini tena mkuuSubiri next week utaona
Lakini mkuu mbona chadema wanashangilia sana kwamba Sasa Tundu lissu anaingia madarakani kiurahisi baada ya polepole kujiuzulu na kuungana nae?!!!Polepole ajiuzulu kushinikiza demokrasia....
Jamaa aliyenajisi demokrasia huku akidhihaki wahanga leo anajiuzulu kushinikiza demokrasia....Hiki kitakuwa ni kituko kikubw zaidi katika siasa za Tanzania
Hawa walimchukua Lowasa baada ya kuimba ni fisadi sembuse polepoleLakini mkuu mbona chadema wanashangilia sana kwamba Sasa Tundu lissu anaingia madarakani kiurahisi baada ya polepole kujiuzulu na kuungana nae?!!!
kazi ya mbowe hiyo, ndio maana amefutwa chadema rasmi. aliwachezea watanzania michezo mibaya sana wakati anapokea mpunga.Hawa walimchukua Lowasa baada ya kuimba ni fisadi sembuse polepole
Si amejielezea kwenye barua mkuu???Kwa kweli kujiuzulu kwa balozi Humphrey Polepole kumeishtua CCM lakini zaidi sana kimemshtua mwenyekiti wa CCM na rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania.
Kujiuzulu kwa balozi Polepole kumetokea wakati ambapo serikali ya Tanzania inashutumiwa ndani na nje kwa kukandamiza haki za raia.
Tayari vyombo vya habari vya nje ya nchi vimeanza kuunga mkona maamuzi ya balozi Polepole na kuona uamuzu huu ni hatua nzuri ya kuishinikiza serikali kuangalia upya msimamo wake kuhusu haki na demokrasia.
Je Polepole ana maono gani? Je ataendelea kubaki na hadhi yake ya ubalozi?
Hiyo itakuwa imepangwaKwamba amejiuzuru ili akagombee urais kupitia ACT au chauma?
intelligensia za kimataifa zainajua mazingaombwe ya POLEPOLE, kwanza ni mtu ambaye ni inssignificant ndyo maana akapekekwa CUBA (a backward one party communist nation and enemy of the west) kujizuru ubalozi si kitu cha ajabu, ila sababu zinajulikana, uteuzi wake ulikuwa unafikia kikomo, yeye amejihami tu, kwa sababu alijua mwisho wake umeshafika.Kwa kweli kujiuzulu kwa balozi Humphrey Polepole kumeishtua CCM lakini zaidi sana kimemshtua mwenyekiti wa CCM na rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania.
Kujiuzulu kwa balozi Polepole kumetokea wakati ambapo serikali ya Tanzania inashutumiwa ndani na nje kwa kukandamiza haki za raia.
Tayari vyombo vya habari vya nje ya nchi vimeanza kuunga mkona maamuzi ya balozi Polepole na kuona uamuzu huu ni hatua nzuri ya kuishinikiza serikali kuangalia upya msimamo wake kuhusu haki na demokrasia.
Je Polepole ana maono gani? Je ataendelea kubaki na hadhi yake ya ubalozi?
Wapo mabalozi wengi sasa ni mwaka wa 25 wapo kwenye balozi zake kwa hivyo kusema amefika mwisho sio kweli. Halafu nashangaa sana kwamba wewe unashindwa kuona kuwa Polepole na wengine wanasaidia serikali iliyopo na viongozi wa CCM kupata changamoto na kugutuka kutoka kwenye ulevi wa madaraka? Au na wewe ni mlevi mwenzao?intelligensia za kimataifa zainajua mazingaombwe ya POLEPOLE, kwanza ni mtu ambaye ni inssignificant ndyo maana akapekekwa CUBA (a backward one party communist nation and enemy of the west) kujizuru ubalozi si kitu cha ajabu, ila sababu zinajulikana, uteuzi wake ulikuwa unafikia kikomo, yeye amejihami tu, kwa sababu alijua mwisho wake umeshafika.