Drama kama hizi ndio tunazozitakaWas was wangu zisije zikawa ndio drama zile zile kama kawaida ya nchi hii
Subiri next week utaonaNChi imechangamka, tinataka watu watoe hits song kama hizi. Haya nan mwingine aliamshe dudeee pale alipo.
Dr Slaa alinyang'anywa hadhi ya ubalozi....Sio balozi tena.. Ila hadhi itabaki palepale lakini sio kwa ccm
Aliondoka Lowassa , sumaye,Kwa kweli kujiuzulu kwa balozi Humphrey Polepole kumeishtua CCM lakini zaidi sana kimemshtua mwenyekiti wa CCM na rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania.
Kujiuzulu kwa balozi Polepole kumetokea wakati ambapo serikali ya Tanzania inashutumiwa ndani na nje kwa kukandamiza haki za raia.
Tayari vyombo vya habari vya nje ya nchi vimeanza kuunga mkona maamuzi ya balozi Polepole na kuona uamuzu huu ni hatua nzuri ya kuishinikiza serikali kuangalia upya msimamo wake kuhusu haki na demokrasia.
Je Polepole ana maono gani? Je ataendelea kubaki na hadhi yake ya ubalozi?
Mwigulu NchembaNChi imechangamka, tinataka watu watoe hits song kama hizi. Haya nan mwingine aliamshe dudeee pale alipo.
Malizia na ccmDr Slaa alinyang'anywa hadhi ya ubalozi....
Tanzania mpya itazaliwa soonKwa kweli kujiuzulu kwa balozi Humphrey Polepole kumeishtua CCM lakini zaidi sana kimemshtua mwenyekiti wa CCM na rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania.
Kujiuzulu kwa balozi Polepole kumetokea wakati ambapo serikali ya Tanzania inashutumiwa ndani na nje kwa kukandamiza haki za raia.
Tayari vyombo vya habari vya nje ya nchi vimeanza kuunga mkona maamuzi ya balozi Polepole na kuona uamuzu huu ni hatua nzuri ya kuishinikiza serikali kuangalia upya msimamo wake kuhusu haki na demokrasia.
Je Polepole ana maono gani? Je ataendelea kubaki na hadhi yake ya ubalozi?
Kwamba amejiuzuru ili akagombee urais kupitia ACT au chauma?Sasa naona utabiri unaelekea kukamilika. Tuendelee kusubiri
Ila watanzania ni wasahaulifu Leo Polepole anaonekana shujaa kumbe ndio wale wale kesi ya ngedere ukampelekea nyani.Polepole ajiuzulu kushinikiza demokrasia....
Jamaa aliyenajisi demokrasia huku akidhihaki wahanga leo anajiuzulu kushinikiza demokrasia....Hiki kitakuwa ni kituko kikubw zaidi katika siasa za Tanzania