Kitendo cha balozi Polepole kujiuzulu kimeivua nguo CCM kimataifa lakini ni nini kinampa Polepole ujasiri huu?

How it is started ... How it is going...!
Your browser is not able to display this video.
 
Kilicho muondoa ni ile comment yake ya kuficha status ya Whatsap Kwa viongozi. Hili sidhani Kama wakubwa zake walilipenda na ndio maana amekurupa kuachia Ngazi , huko wizarani mkubwa wake ni wazi hakupenda… Yajayo yanafikirisha na yaliyopita pia
 

Huu ni mwanzo
 
Pengine ni jasusi la sisiem huyu alinunua wapinzani wengi sana akiwa mwenezi,na kujidai kucheza bolingo na kuuliza unajua v8 wewe sisiem ni kama mti wenye matunda mabovu sasa utachagua lipi!!
 
Huku kwingine The big show kaanzisha Uzi anapondea,Pole pole anahoja,tumkilize!
 
Polepole ajiuzulu kushinikiza demokrasia....

Jamaa aliyenajisi demokrasia huku akidhihaki wahanga leo anajiuzulu kushinikiza demokrasia....Hiki kitakuwa ni kituko kikubw zaidi katika siasa za Tanzania
Mungu kamuonyaa!Na tuheshimu!
 
kama sio ccm wanatuchezea mchezo ili kutupoteza ramani, basi kutakuwa na jambo kubwa sana ndani ya ccm, au yeye atakuwa amejipanga sasa.
 
Watanzania wanafki sana + ni watu rahisi wa kusahau kumbuka ya lowasa kutoka ccm kwenda chadema Toka kuwafisadi Hadi kuwa shujaa
Ila watanzania ni wasahaulifu Leo Polepole anaonekana shujaa kumbe ndio wale wale kesi ya ngedere ukampelekea nyani.
 
Polepole ajiuzulu kushinikiza demokrasia....

Jamaa aliyenajisi demokrasia huku akidhihaki wahanga leo anajiuzulu kushinikiza demokrasia....Hiki kitakuwa ni kituko kikubw zaidi katika siasa za Tanzania
Lakini mkuu mbona chadema wanashangilia sana kwamba Sasa Tundu lissu anaingia madarakani kiurahisi baada ya polepole kujiuzulu na kuungana nae?!!!
 
Lakini mkuu mbona chadema wanashangilia sana kwamba Sasa Tundu lissu anaingia madarakani kiurahisi baada ya polepole kujiuzulu na kuungana nae?!!!
Hawa walimchukua Lowasa baada ya kuimba ni fisadi sembuse polepole
 
Hawa walimchukua Lowasa baada ya kuimba ni fisadi sembuse polepole
kazi ya mbowe hiyo, ndio maana amefutwa chadema rasmi. aliwachezea watanzania michezo mibaya sana wakati anapokea mpunga.
 
Si amejielezea kwenye barua mkuu???
 
intelligensia za kimataifa zainajua mazingaombwe ya POLEPOLE, kwanza ni mtu ambaye ni inssignificant ndyo maana akapekekwa CUBA (a backward one party communist nation and enemy of the west) kujizuru ubalozi si kitu cha ajabu, ila sababu zinajulikana, uteuzi wake ulikuwa unafikia kikomo, yeye amejihami tu, kwa sababu alijua mwisho wake umeshafika.
 
Wapo mabalozi wengi sasa ni mwaka wa 25 wapo kwenye balozi zake kwa hivyo kusema amefika mwisho sio kweli. Halafu nashangaa sana kwamba wewe unashindwa kuona kuwa Polepole na wengine wanasaidia serikali iliyopo na viongozi wa CCM kupata changamoto na kugutuka kutoka kwenye ulevi wa madaraka? Au na wewe ni mlevi mwenzao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…