johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ondoa udhalimu CCM, then uje kuleta mihemko hpaNapitia takwimu mbalimbali na ninachokiona kinanishangaza sana
Chadema wamefanya vizuri maeneo ya Vijijini tofauti na chaguzi zilizotangulia
ACT Wazalendo amejitahidi kidogo maeneo ya Mjini walau pale Tandika ambayo ndio DSM ya zamani wamepata Mtaa mmoja
Uchaguzi Mkuu wa 2020 Tundu Lisu alikubalika sana Vijijini hadi Jimbo la Nkasi Kaskazini alizawadiwa Jogoo na akapewa na mbunge kabisa Mh Aida
Chadema iitishe Baraza kuu la dharura Ni Yeye akabidhiwe mikoba na makamu wake awe Mnyika huku John Heche akiwa Katibu Mkuu
Hima hima wakati ni Mali
Mtanishukuru baadaye 🐼😂
Rafiki yangu Mbowe amefikia ukomoOndoa udhalimu CCM, then uje kuleta mihemko hpa
Tatizo ukiwa ccm lazima uwe mjinga mjinga,sijui kwa nini??au mmerogwa??Rafiki yangu Mbowe amefikia ukomo
Abakie Kuwa Mzee wa Kanisa tu 😀
Nakuunga mkono kwenye hili mkuu CHADEMA inahitaji ReformNapitia takwimu mbalimbali na ninachokiona kinanishangaza sana
Chadema wamefanya vizuri maeneo ya Vijijini tofauti na chaguzi zilizotangulia
ACT Wazalendo amejitahidi kidogo maeneo ya Mjini walau pale Tandika ambayo ndio DSM ya zamani wamepata Mtaa mmoja
Uchaguzi Mkuu wa 2020 Tundu Lisu alikubalika sana Vijijini hadi Jimbo la Nkasi Kaskazini alizawadiwa Jogoo na akapewa na mbunge kabisa Mh Aida
Chadema iitishe Baraza kuu la dharura Ni Yeye akabidhiwe mikoba na makamu wake awe Mnyika huku John Heche akiwa Katibu Mkuu
Hima hima wakati ni Mali
Mtanishukuru baadaye 🐼😂
Kitongoji na Kijiji ni Yale yale 🤣Mbona cdm haijashinda kijj hata kimoja
Wewe ni mlemavu wa namna gani? Ni kipofu au kiziwi? Pole sana kwa hayo matatizo.Mbona cdm haijashinda kijj hata kimoja
Unavyowapangia safu ya uongozi Chadema utadhani wewe ni mkwe wa Mbowe.Napitia takwimu mbalimbali na ninachokiona kinanishangaza sana
Chadema wamefanya vizuri maeneo ya Vijijini tofauti na chaguzi zilizotangulia
ACT Wazalendo amejitahidi kidogo maeneo ya Mjini walau pale Tandika ambayo ndio DSM ya zamani wamepata Mtaa mmoja
Uchaguzi Mkuu wa 2020 Tundu Lisu alikubalika sana Vijijini hadi Jimbo la Nkasi Kaskazini alizawadiwa Jogoo na akapewa na mbunge kabisa Mh Aida
Chadema iitishe Baraza kuu la dharura Ni Yeye akabidhiwe mikoba na makamu wake awe Mnyika huku John Heche akiwa Katibu Mkuu
Hima hima wakati ni Mali
Mtanishukuru baadaye 🐼😂
Muulize Mbowe kwanini anang'ang'ania kuongoza na hataki kuongozwa? Hàta wafuasi wake mnataka aendelee kuongoza tuu.Swali la msingi ni hili:
Hivi ni kwa nini ccm wanang'ang'ania kubaki madarakani? Ni kwani hawataki kuongozwa bali kuongoza tu?
Hata baba wa familia huwa anakata Pumzi na kuachia vijana wamuongoze, lakini kwa ccm hii ni tofauti , ni kwa nini?
Pumzikeni basi wakati bado mnapendwa kwa mujibu wa munavyo waaminisha walimwengu. Si lazima nyie kila siku muongoze hata kwa damu, achieni wengine basi. Nyumba yetu ni moja, sote tumo humu ndani na hakuna wa kuibomoa.
Maneno ni mengi, achieni wengine nao watoe muelekeo tuwaone hata kwa kuwajaribu. Mtoto kalilia wembe sana, mpeni.
Watashindaje wakati kura fake kibao zimeletwa na wasimamizi wenyewe au unajitoa ufahamuMbona cdm haijashinda kijj hata kimoja
Kwani Mbowe anamzuia Lissu kugombea urais? Au sijaelewa?Umewapa ushauri mzuri Chadema . Tatizo mbowe ana tamaa.
Nani alikuambia kwamba mimi ni mfuasi wa Mbowe ndugu yangu ? Mimi ni interested observer tu, hayo ya ufuasi mimi simo, napambana na hali yangu kwa sasa.Muulize Mbowe kwanini anang'ang'ania kuongoza na hataki kuongozwa? Hàta wafuasi wake mnataka aendelee kuongoza tuu.
Ati CCM wanataka Chadema iimarike kwa kumuondoa Mbowe!Napitia takwimu mbalimbali na ninachokiona kinanishangaza sana
Chadema wamefanya vizuri maeneo ya Vijijini tofauti na chaguzi zilizotangulia
ACT Wazalendo amejitahidi kidogo maeneo ya Mjini walau pale Tandika ambayo ndio DSM ya zamani wamepata Mtaa mmoja
Uchaguzi Mkuu wa 2020 Tundu Lisu alikubalika sana Vijijini hadi Jimbo la Nkasi Kaskazini alizawadiwa Jogoo na akapewa na mbunge kabisa Mh Aida
Chadema iitishe Baraza kuu la dharura Ni Yeye akabidhiwe mikoba na makamu wake awe Mnyika huku John Heche akiwa Katibu Mkuu
Hima hima wakati ni Mali
Mtanishukuru baadaye 🐼😂
Kumbe akiondoka mbowe chadema itadhoofika!Ati CCM wanataka Chadema iimarike kwa kumuondoa Mbowe!
Amandla...
Acha kumchonganisha Lissu na mmiliki wa CHADEMA. Hujui kutaka nafasi ya uenyekiti ni sawa na kutaka kuonja sumu?Napitia takwimu mbalimbali na ninachokiona kinanishangaza sana