johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Napitia takwimu mbalimbali na ninachokiona kinanishangaza sana
Chadema wamefanya vizuri maeneo ya Vijijini tofauti na chaguzi zilizotangulia
ACT Wazalendo amejitahidi kidogo maeneo ya Mjini walau pale Tandika ambayo ndio DSM ya zamani wamepata Mtaa mmoja
Uchaguzi Mkuu wa 2020 Tundu Lisu alikubalika sana Vijijini hadi Jimbo la Nkasi Kaskazini alizawadiwa Jogoo na akapewa na mbunge kabisa Mh Aida
Chadema iitishe Baraza kuu la dharura Ni Yeye akabidhiwe mikoba na makamu wake awe Mnyika huku John Heche akiwa Katibu Mkuu
Hima hima wakati ni Mali
Mtanishukuru baadaye 🐼😂