LGE2024 Kitendo cha CHADEMA kufanya vizuri Vijijini kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ni Ishara Tundu Lissu anakubalika kuliko Mbowe!

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Napitia takwimu mbalimbali na ninachokiona kinanishangaza sana

Chadema wamefanya vizuri maeneo ya Vijijini tofauti na chaguzi zilizotangulia

ACT Wazalendo amejitahidi kidogo maeneo ya Mjini walau pale Tandika ambayo ndio DSM ya zamani wamepata Mtaa mmoja

Uchaguzi Mkuu wa 2020 Tundu Lisu alikubalika sana Vijijini hadi Jimbo la Nkasi Kaskazini alizawadiwa Jogoo na akapewa na mbunge kabisa Mh Aida

Chadema iitishe Baraza kuu la dharura Ni Yeye akabidhiwe mikoba na makamu wake awe Mnyika huku John Heche akiwa Katibu Mkuu

Hima hima wakati ni Mali

Mtanishukuru baadaye 🐼😂
 
Ondoa udhalimu CCM, then uje kuleta mihemko hpa
 
Nakuunga mkono kwenye hili mkuu CHADEMA inahitaji Reform
 
Swali la msingi ni hili:

Hivi ni kwa nini ccm wanang'ang'ania kubaki madarakani? Ni kwani hawataki kuongozwa bali kuongoza tu?

Hata baba wa familia huwa anakata Pumzi na kuachia vijana wamuongoze, lakini kwa ccm hii ni tofauti , ni kwa nini?

Pumzikeni basi wakati bado mnapendwa kwa mujibu wa munavyo waaminisha walimwengu. Si lazima nyie kila siku muongoze hata kwa damu, achieni wengine basi. Nyumba yetu ni moja, sote tumo humu ndani na hakuna wa kuibomoa.

Maneno ni mengi, achieni wengine nao watoe muelekeo tuwaone hata kwa kuwajaribu. Mtoto kalilia wembe sana, mpeni.
 
Unavyowapangia safu ya uongozi Chadema utadhani wewe ni mkwe wa Mbowe.
 
Swali la msingi ni hili:

Hivi ni kwa nini ccm wanang'ang'ania kubaki madarakani? Ni kwani hawataki kuongozwa bali kuongoza tu?

Hata baba wa familia huwa anakata Pumzi na kuachia vijana wamuongoze, lakini kwa ccm hii ni tofauti , ni kwa nini?

Pumzikeni basi wakati bado mnapendwa kwa mujibu wa munavyo waaminisha walimwengu. Si lazima nyie kila siku muongoze hata kwa damu, achieni wengine basi. Nyumba yetu ni moja, sote tumo humu ndani na hakuna wa kuibomoa.

Maneno ni mengi, achieni wengine nao watoe muelekeo tuwaone hata kwa kuwajaribu. Mtoto kalilia wembe sana, mpeni.
Muulize Mbowe kwanini anang'ang'ania kuongoza na hataki kuongozwa? Hàta wafuasi wake mnataka aendelee kuongoza tuu.
 
Wewe ni CCM unawagombanisha wale.
Chadema imefanya vizuri wapi? Mbona matokeo hayajatoka?
Waache waseme nani anakubalika kuliko nani.
In fact,sasa hivi they have other things on their minds.
 
Muulize Mbowe kwanini anang'ang'ania kuongoza na hataki kuongozwa? Hàta wafuasi wake mnataka aendelee kuongoza tuu.
Nani alikuambia kwamba mimi ni mfuasi wa Mbowe ndugu yangu ? Mimi ni interested observer tu, hayo ya ufuasi mimi simo, napambana na hali yangu kwa sasa.
 
Napitia takwimu mbalimbali na ninachokiona kinanishangaza sana

Chadema wamefanya vizuri maeneo ya Vijijini tofauti na chaguzi zilizotangulia

ACT Wazalendo amejitahidi kidogo maeneo ya Mjini walau pale Tandika ambayo ndio DSM ya zamani wamepata Mtaa mmoja

Uchaguzi Mkuu wa 2020 Tundu Lisu alikubalika sana Vijijini hadi Jimbo la Nkasi Kaskazini alizawadiwa Jogoo na akapewa na mbunge kabisa Mh Aida

Chadema iitishe Baraza kuu la dharura Ni Yeye akabidhiwe mikoba na makamu wake awe Mnyika huku John Heche akiwa Katibu Mkuu

Hima hima wakati ni Mali

Mtanishukuru baadaye 🐼😂
Ati CCM wanataka Chadema iimarike kwa kumuondoa Mbowe!

Amandla...
 
Napitia takwimu mbalimbali na ninachokiona kinanishangaza sana

Chadema wamefanya vizuri maeneo ya Vijijini tofauti na chaguzi zilizotangulia

ACT Wazalendo amejitahidi kidogo maeneo ya Mjini walau pale Tandika ambayo ndio DSM ya zamani wamepata Mtaa mmoja

Uchaguzi Mkuu wa 2020 Tundu Lisu alikubalika sana Vijijini hadi Jimbo la Nkasi Kaskazini alizawadiwa Jogoo na akapewa na mbunge kabisa Mh Aida

Chadema iitishe Baraza kuu la dharura Ni Yeye akabidhiwe mikoba na makamu wake awe Mnyika huku John Heche akiwa Katibu Mkuu

Hima hima wakati ni Mali

Mtanishukuru baadaye 🐼😂
Acha kumchonganisha Lissu na mmiliki wa CHADEMA. Hujui kutaka nafasi ya uenyekiti ni sawa na kutaka kuonja sumu?
 
Back
Top Bottom