Kitendo cha Jaji Mugasha kukosoa mamlaka hadharani ni utovu wa nidhamu, sio ushujaa

Hujui chochote kuhusu haya mambo. Vitu vingine kaeni kimya au muulize.
 
Pia napenda kukushauri kwamba unapotumwa na "wale jamaa wa Dawati la Propaganda" kuja huku mitandaoni ili "kumpigia promo" yule sponsa wenu muwe mnajiaandaa vizuri, mpige shule vya kutosha na muive sawa sawa kabla ya kuja ku-argu na "elites or think tanks" huku mitandaoni. Msiwe mnakurupuka huku mkiwa na "short-sighted minds", mtatolewa knock-out (KO) kwa aibu huku.
 
Mtoa maada hataki uhuru wa maoni ambao umetajwa kwenye katiba yetu,
 
Nyie ndio wale wapumbavu niliokuwa nawazungumzia, mnaoamini Rais ni kama Baba, na kwa tamaduni zenu za kipumbavu huwa mnasema mtu mzima hakosei, wajinga!

Jaji Mugasha ameweka vifungu vya sheria vinavyompa nguvu ya kufanya alichofanya sasa wewe na ujinga wako ulioota mizizi unakuja na hoja za kijinga.

Lakini pia, hiyo barua ya Jaji Mugasha inaonesha kabisa wamepewa/wametumiwa walionakiliwa kwenye hiyo barua. Sasa hebu tueleze wewe Bwana Zandrano una ushahidi gani kwamba Jaji ndiye amesambaza hiyo barua.

Ujinga ni kipaji!
 
Yuko sahihi ila ingekuwa na maana zaidi kama angeshauri na maeneo mengine zaidi yenye changamoto, ila ile kujikita kutoa ushauri katika tasnia yake kunaweza kuleta tafsiri ya kuwa alikuwa anakitaka hicho cheo.
Kabakisha miaka 3 tuu astaafu rasmi, hivyo hawezi kukitaka hicho cheo
 
Mtoa maada hataki uhuru wa maoni ambao umetajwa kwenye katiba yetu,
Huyo ni chawa aliyetumwa na wale jamaa wa "Dawati la Propaganda" ili kumpigia promo sponsa wao huku mitandaoni. Alichoambulia ni kukwaa kisiki kwa sababu huku hakuna watu wajinga kama wao.
Walivyo wao wajinga wanadhani na wenzao wengine wote ni wajinga kama wao.
 
nafasi yake ya kuwa Jaji ndio inamtaka awe na nidhamu pindi anapo taka kukosoa viongozi walio Juu yake.
alicho kifanya hakifai kwasababu yeye ni kiongozi
Kwa akili hizi acha bandari ibinafsishwe tu
 
Kutetea katiba ni utovu wa nidhamu ila kuvunja katiba ndiiyo nidhamu
 
usikurupuke.
elewa nilicho kisema.
narudia tena, nimesema;
akiwa kama Jaji anayo nafasi ya kuishauri mamlaka kwa njia sahihi bila kusambaza mabarua kwenye media.
Acha ufala
 
Yuko sahihi ila ingekuwa na maana zaidi kama angeshauri na maeneo mengine zaidi yenye changamoto, ila ile kujikita kutoa ushauri katika tasnia yake kunaweza kuleta tafsiri ya kuwa alikuwa anakitaka hicho cheo.
uko sahihi.

na hii inatokana na uroho, uchu na tamaa ya vyeo kwa baadhi ya viongozi.

lakini pia unafiki, uzandiki na majungu.
 
Kutetea katiba ni utovu wa nidhamu ila kuvunja katiba ndiiyo nidhamu
Hakuna kifungu chochote cha katiba kilicho vunjwa au kukiukwa.
Katiba haijavunjwa kama ilivyo zushwa.
Rais ametumia mamlaka yake vyema kumuongezea muda Jaji Mkuu Prof. Ibrahimu kuendelea na nafasi yake
 
Hakuna kifungu chochote cha katiba kilicho vunjwa au kukiukwa.
Katiba haijavunjwa kama ilivyo zushwa.
Rais ametumia mamlaka yake vyema kumuongezea muda Jaji Mkuu Prof. Ibrahimu kuendelea na nafasi yake
"Kuwa kichaa siyo mpaka uvae chupi kichwani" na "Majibu yake mtu ndio kipimo cha akili yake".
Kwa kitu ambacho hukijui au hauna ufahamu nacho, kukaa kimya ni busara zaidi.
 
Wewe kama ni mwamachi mkulima na hujui sheria basi kaa Kwa kutulia...
 
nafasi yake ya kuwa Jaji ndio inamtaka awe na nidhamu pindi anapo taka kukosoa viongozi walio Juu yake.
alicho kifanya hakifai kwasababu yeye ni kiongozi
...Hakukosea. Amewarekebisha walipokosea !!....[emoji848][emoji848][emoji848]
 
Kaka acha maisha ya uoga
 
Matatizo ya Afya ya Akili ni mengi sana
 
Huyo jaji ana akili nyingi sana,katiba inabakwa na watawala kwa interest zao,lakini mtu wa kawaida akivunja katiba anafungwa jela maisha.
Hongera kwa jaji mwenye akili zilizokamilika kwa kuweka mambo public.
Alikuwa wapi 2016-2021?
 
ndo kashasema sasa mukamuite mahakamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…