Donasoani pastory kabengo
Senior Member
- Jul 21, 2018
- 177
- 163
Acha kutufundisha woga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hawashauriki na huenda alifanya hivyoMamlaka yoyote ya kibanaadamu inapaswa kukoselewa ila mimi nimeuliza namna au njia aliyo tumia Jaji Mugasha kukosoa kwa kuandika barua na kunakilisha na kisha kuzisambaza kwenye vyombo mbalimbali je huo sio utovu wa maadili?
Kumbuka Jaji Mugasha ni kiongozi pia, na anaweza kumshauri hata Jaji Mkuu aliye ongezewa muda kwanini hajatumia nafasi hiyo?
Nakubaliana na wewe ila huenda mengine hayaletwi hadharani kwa bahati mbaya. Ni mpango kamili wenye lengo mahususi kwa waliletao, mimi na wewe tunaweza baki kubishana wee kumbe ni lengo haswa. Na huenda sio yeye aliyelileta hadharani japo hawezi kuja kulikana...wasemapo kuna sijui dipu siteti huenda yote haya ni kutoa tahadhari na kusukuma jambo walitakolo.Kitendo cha Jaji wa Mahakama ya Rufaa cha kuandika barua na kuzisambaza kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kuhusu au Kukosoa Kitendo cha Rais kumuongezea Jaji Mkuu muda wa kuendelea kuwepo kwenye kiti ni kitendo cha ukosefu wa nidhamu kwa mamlaka zilizo juu yake.
Kutoa maoni ni haki ya kila raia lakini inategemea maoni unyatoa wapi na kwa njia gani, Jaji Mugasha alipaswa aishauri mamlaka kwa njia sahihi sio hii aliyo itumia.
tunafahamu kuwa Jaji Stela Mugasha ni Jaji wa Mahakama ya Rufaa hivyo kwa nafasi yake ni kiongozi mkubwa tu ambaye yupo karibu na viongozi wa juu sasa kwa nini aliamua kuandika mabarua na kusambaza?!
kwahiyo lengo lake lilikuwa sio kujenga bali itatafsiriwa kuwa alilenga kubomoa na kudhalilisha mamlaka.
Jaji Stella Mugasha alikuwa nayo nafasi ya kumshauri hata Prof. Jaji Mkuu aliyepo kabla ya kusambaza mabarua yake.
Je? kulikuwa na haja ya kuandika baru kwa Mhe. Rais na kisha kutoa nakala kila ofisi ambazo zipo chini ya Rais?! Mugasha alikuwa na lengo gani?
wakati mwengine ukijifanya mjuaji sana unakuwa na Kiburi na dharau.
mimi ni mwananchi Mkulima, sijui sheria ila nimesema kitendo cha Jaji Mugasha kuandika Barua kwa Rais kisha kuinakilisha ktk ofisi za chini ya Rais na kusambaza kwenye vyombo na mitandao je? huo sio utovu wa nidhamu?
Je, kulikuwa na haja ya sisi wananchi kujua mawasiliano yao ya kiofisi?
Pia soma: Profesa Ibrahim Juma kuendelea kuwa Jaji Mkuu, Rais Samia anavunja Katiba ya JMT?
Hajafanya kosa lolote hapa kwa kufanya hivyo.kosa ni;
1. kusambaza barua ya mawasiliano ya kiofisi kwenye vyombo na mitandao.
Naungana na wewe, huenda kuna kufitiniana huko ndani. Mambo kama haya hupelekea misiba ambayo huleta taharuki mbeleni.Serikali ya sasa ni kama ile ya JK. Inawezekana kabisa huyu jaji siye aliyesambaza hiyo barua. Huko ilikotumwa ndiko wameisambaza ili kudhalilisha mamlaka.
Utamlaumu bure huyu jaji ila ujue huu utawala usipojirekebisha utafitinika
Huyo Jaji atoke hadharani kama sio yeye aliye isambaza barua, kwa sasa sisi wananchi tunajua kuwa yeye kama mwandishi ndiyo source ya barua kusambaa.Serikali ya sasa ni kama ile ya JK. Inawezekana kabisa huyu jaji siye aliyesambaza hiyo barua. Huko ilikotumwa ndiko wameisambaza ili kudhalilisha mamlaka.
Utamlaumu bure huyu jaji ila ujue huu utawala usipojirekebisha utafitinika
Hahahaa... kwanini unasema 'sisi wananchi?' sema 'sisi wengine' maana wengine (kama mimi) sioni unavyoona. Kama mkataba wa DPW umevujishwa, sembuse barua ya jaji? Kama Aziz kasema kuna watu kisutu wanapigiwa simu ya namna ya kuhukumu, bado huoni lolote nchi hii linawezekana!?Huyo Jaji atoke hadharani kama sio yeye aliye isambaza barua, kwa sasa sisi wananchi tunajua kuwa yeye kama mwandishi ndiyo source ya barua kusambaa.
wacha kutetea makosa, kuwa mkweli, sema kuwa Jaji Mugasha kakosea kwa kusambaza barua ya mawasiliano ya kiofisi kwenye mitandao.Hahahaa... kwanini unasema 'sisi wananchi?' sema 'sisi wengine' maana wengine (kama mimi) sioni unavyoona. Kama mkataba wa DPW umevujishwa, sembuse barua ya jaji? Kama Aziz kasema kuna watu kisutu wanapigiwa simu ya namna ya kuhukumu, bado huoni lolote nchi hii linawezekana!?
Sasa km amekiuka KATIBA asiseme watu wengine Bwana, yeye ni msimamizi wa sheria ulitaka akasemee wapi uvunguni kwako ?Kukosoa Kitendo cha Rais kumuongezea Jaji Mkuu muda wa kuendelea kuwepo kwenye kiti ni kitendo cha ukosefu wa nidhamu kwa mamlaka zilizo juu yake.
Huyo jaji ana akili nyingi sana,katiba inabakwa na watawala kwa interest zao,lakini mtu wa kawaida akivunja katiba anafungwa jela maisha.
Hongera kwa jaji mwenye akili zilizokamilika kwa kuweka mambo public.
Kukosea wapi we ulitaka afanyeje aje akwambie wewe peke yako ?wacha kutetea makosa, kuwa mkweli, sema kuwa Jaji Mugasha kakosea kwa kusambaza barua ya mawasiliano ya kiofisi kwenye mitandao.
tunataka tabia hii ikomeshwe kwa viongozi.
We nawe kichwani zimepungua acha kulinganisha utawala mmoja na mwingine kwanini usiseme kipindi Cha Mkapa au Kikwete ?Maana sidhani kama kipindi cha Jiwe
umesema ukweli bila unafiki.Sidhani kama ni akili kwa mazingira yetu haya nacho ona anacheza na mazingira ya sasa kwamba Rais ni Mwanamke afu Mzanzibar na tena Muislam ni kama kuna ka wivu hivi
Pia issue ya Bandari watu wameanza ku test kina cha Rais na kwa hasa hoja kama hizo tatu juu, lkn hana sijui akili au nini ni kuona tu atafanywaje? Maana sidhani kama kipindi cha Jiwe kama angethubutu kuonyesha huo ujuaji kwa kutoa kwa changamoto kwa kiti cha Urais
Ndo unaona wana nyanyuka hata kina Tibaijuka kusema wee wakati aliisha kuwa na madudu ya kila aina toka UN mpaka wizarani hapa achia mbali mambo ya Escrow Acc
Kwani aliyeandikiwa huoni hata yeye anaweza kuivujisha!? Akija sema sio yeye aliyevujisha, itabadilisha kitu gani? Hizi habari kuja humu kwangu naona ni mikakati fulani hivi, suala la nani anakosea nani anapatia nyakati hizi sioni kama zina mantiki. Tujue tu hazijaja kwa bahati mbaya..huku kuna DPW (wapo wasemao Rais kadanganywa), ghafla linakuja hili la kikatiba tena(wapo wasemao Rais anazidi kudanganywa). Huoni ni kama mkakati MAALUMU dhidi ya kiti?wacha kutetea makosa, kuwa mkweli, sema kuwa Jaji Mugasha kakosea kwa kusambaza barua ya mawasiliano ya kiofisi kwenye mitandao.
tunataka tabia hii ikomeshwe kwa viongozi.
Mkuu usijifiche kwenye kazi za watu. Hayo mambo na mkulima anaye pambana kutafuta mbolea wapi na wapi. Je unajuaje kama alisha shauri hapo Mwanzo. Huo ndio uhuru wa kutoa mawazo, huoni sasa mimi na wewe tumehabarishwa?Kitendo cha Jaji wa Mahakama ya Rufaa cha kuandika barua na kuzisambaza kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kuhusu au Kukosoa Kitendo cha Rais kumuongezea Jaji Mkuu muda wa kuendelea kuwepo kwenye kiti ni kitendo cha ukosefu wa nidhamu kwa mamlaka zilizo juu yake.
Kutoa maoni ni haki ya kila raia lakini inategemea maoni unyatoa wapi na kwa njia gani, Jaji Mugasha alipaswa aishauri mamlaka kwa njia sahihi sio hii aliyo itumia.
tunafahamu kuwa Jaji Stela Mugasha ni Jaji wa Mahakama ya Rufaa hivyo kwa nafasi yake ni kiongozi mkubwa tu ambaye yupo karibu na viongozi wa juu sasa kwa nini aliamua kuandika mabarua na kusambaza?!
kwahiyo lengo lake lilikuwa sio kujenga bali itatafsiriwa kuwa alilenga kubomoa na kudhalilisha mamlaka.
Jaji Stella Mugasha alikuwa nayo nafasi ya kumshauri hata Prof. Jaji Mkuu aliyepo kabla ya kusambaza mabarua yake.
Je? kulikuwa na haja ya kuandika baru kwa Mhe. Rais na kisha kutoa nakala kila ofisi ambazo zipo chini ya Rais?! Mugasha alikuwa na lengo gani?
wakati mwengine ukijifanya mjuaji sana unakuwa na Kiburi na dharau.
mimi ni mwananchi Mkulima, sijui sheria ila nimesema kitendo cha Jaji Mugasha kuandika Barua kwa Rais kisha kuinakilisha ktk ofisi za chini ya Rais na kusambaza kwenye vyombo na mitandao je? huo sio utovu wa nidhamu?
Je, kulikuwa na haja ya sisi wananchi kujua mawasiliano yao ya kiofisi?
Pia soma: Profesa Ibrahim Juma kuendelea kuwa Jaji Mkuu, Rais Samia anavunja Katiba ya JMT?
Hoja dhaifu sana. Kwani kuna kosa gani amefanya kuandika hiyo barua?Huyo Jaji atoke hadharani kama sio yeye aliye isambaza barua, kwa sasa sisi wananchi tunajua kuwa yeye kama mwandishi ndiyo source ya barua kusambaa.
yeye asinge andika barua kweli tungesema hajahusika na usmabazaji ila kwakuwa anakiri kuwa yeye ndiye mwandishi wa barua hiyo basi kwa sasa yy ndiye aliyeisambaza.
Mahakama ni Mhimiri unaojitegemea unaweza kukosoa pale sheria inapokiukwa haijarishi ni publicly au privately Ila UJUMBE umefikaumesema ukweli bila unafiki.
huo ndio ukweli.
Kitendo hicho cha Jaji ni kutaka kumpanda kichwani Amiri Jeshi Mkuu.
kwakweli hii tafasiri yake ni dharau.
Madhara ya uchawa hayoHoja dhaifu sana. Kwani kuna kosa gani amefanya kuandika hiyo barua?
Mkuu Kambaku, hivi hujaona Rais anatengua uamuzi wake ndani ya maasaa. Una umri gani?Wewe ndio huna nidhamu mnafiki mkubwa wewe.
Yaani atoe ushauri baada ya tendo kufanyika? Alafu Rais angetengua uamuzi wake?
Unafiki tu umekujaa
Akimsifu hadharani ni sawa lakini akimkosoa ni tatizo?Jaribu kufikiri zaidi ya hapo.Kitendo cha Jaji wa Mahakama ya Rufaa cha kuandika barua na kuzisambaza kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kuhusu au Kukosoa Kitendo cha Rais kumuongezea Jaji Mkuu muda wa kuendelea kuwepo kwenye kiti ni kitendo cha ukosefu wa nidhamu kwa mamlaka zilizo juu yake.