daraja la kigamboni
JF-Expert Member
- Apr 28, 2016
- 3,127
- 3,062
Una reference utuwekeeni kosa la kinidhamu.
Mamlaka za kinidhamu zinaweza kuchukua hatua dhidi ya huyo Jaji kama itathibitika kuwa amekiuka maadili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una reference utuwekeeni kosa la kinidhamu.
Mamlaka za kinidhamu zinaweza kuchukua hatua dhidi ya huyo Jaji kama itathibitika kuwa amekiuka maadili.
Naunga mkono hojaHuna akili
soma katiba. acha uvivu.Una reference utuwekee
Basi Jaji kuvunja katiba/sheria makusudi anajua effect na yupo tayari kwa adhabu itakayotolewa.soma katiba. acha uvivu.
Ila mkuu., huyo mama naamini ana akili timamu. Mpaka kufanya hivyo ujue kuna mengi yaliyojificha nyuma ya pazia., hii Nchi unafiki na ubinafsi ni mwingi sana, usilaum saana kwa usichokijuwa,Kitendo cha Jaji wa Mahakama ya Rufaa cha kuandika barua na kuzisambaza kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kuhusu au Kukosoa Kitendo cha Rais kumuongezea Jaji Mkuu muda wa kuendelea kuwepo kwenye kiti ni kitendo cha ukosefu wa nidhamu kwa mamlaka zilizo juu yake.
Kutoa maoni ni haki ya kila raia lakini inategemea maoni unyatoa wapi na kwa njia gani, Jaji Mugasha alipaswa aishauri mamlaka kwa njia sahihi sio hii aliyo itumia.
tunafahamu kuwa Jaji Stela Mugasha ni Jaji wa Mahakama ya Rufaa hivyo kwa nafasi yake ni kiongozi mkubwa tu ambaye yupo karibu na viongozi wa juu sasa kwa nini aliamua kuandika mabarua na kusambaza?!
kwahiyo lengo lake lilikuwa sio kujenga bali itatafsiriwa kuwa alilenga kubomoa na kudhalilisha mamlaka.
Jaji Stella Mugasha alikuwa nayo nafasi ya kumshauri hata Prof. Jaji Mkuu aliyepo kabla ya kusambaza mabarua yake.
Je? kulikuwa na haja ya kuandika baru kwa Mhe. Rais na kisha kutoa nakala kila ofisi ambazo zipo chini ya Rais?! Mugasha alikuwa na lengo gani?
wakati mwengine ukijifanya mjuaji sana unakuwa na Kiburi na dharau.
mimi ni mwananchi Mkulima, sijui sheria ila nimesema kitendo cha Jaji Mugasha kuandika Barua kwa Rais kisha kuinakilisha ktk ofisi za chini ya Rais na kusambaza kwenye vyombo na mitandao je? huo sio utovu wa nidhamu?
Je, kulikuwa na haja ya sisi wananchi kujua mawasiliano yao ya kiofisi?
Pia soma: Profesa Ibrahim Juma kuendelea kuwa Jaji Mkuu, Rais Samia anavunja Katiba ya JMT?
Kwa sas hakuna makando kando, maana mtu anaiba hapa anahamishiwa pale, mahakama hata haina meno kwa mtawala., wakati huo huo unaaminishwa eti kuna mihimili mitatu, na kila mhimili unajisimamia. Lakini leo hii unakuta mhimili sirikali unaibaka mihimili mingine, so sad.nafasi yake ya kuwa Jaji ndio inamtaka awe na nidhamu pindi anapo taka kukosoa viongozi walio Juu yake.
alicho kifanya hakifai kwasababu yeye ni kiongozi
Thibitisha kama ameisambaza kwenye mitandaomimi ni mwananchi Mkulima, sijui sheria ila nimesema kitendo cha Jaji Mugasha kuandika Barua kwa Rais kisha kuinakilisha ktk ofisi za chini ya Rais na kusambaza kwenye vyombo na mitandao je? huo sio utovu wa nidhamu?
je? huyo Jaji hakuwa na nafasi ya kuishauri mamlaka kwa njia nyingine? je alishindwa kukutana na Jaji Mkuu aliye ongezewa muda na kumshauri? hadi akaamua kuandika mabarua na kuyasambaza?
Je, kulikuwa na haja ya sisi wananchi kujua mawasiliano yao ya kiofisi?
Kuna kitu hukijui. Kaa kwa kutulia.Kitendo cha Jaji wa Mahakama ya Rufaa cha kuandika barua na kuzisambaza kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kuhusu au Kukosoa Kitendo cha Rais kumuongezea Jaji Mkuu muda wa kuendelea kuwepo kwenye kiti ni kitendo cha ukosefu wa nidhamu kwa mamlaka zilizo juu yake.
Kutoa maoni ni haki ya kila raia lakini inategemea maoni unyatoa wapi na kwa njia gani, Jaji Mugasha alipaswa aishauri mamlaka kwa njia sahihi sio hii aliyo itumia.
tunafahamu kuwa Jaji Stela Mugasha ni Jaji wa Mahakama ya Rufaa hivyo kwa nafasi yake ni kiongozi mkubwa tu ambaye yupo karibu na viongozi wa juu sasa kwa nini aliamua kuandika mabarua na kusambaza?!
kwahiyo lengo lake lilikuwa sio kujenga bali itatafsiriwa kuwa alilenga kubomoa na kudhalilisha mamlaka.
Jaji Stella Mugasha alikuwa nayo nafasi ya kumshauri hata Prof. Jaji Mkuu aliyepo kabla ya kusambaza mabarua yake.
Je? kulikuwa na haja ya kuandika baru kwa Mhe. Rais na kisha kutoa nakala kila ofisi ambazo zipo chini ya Rais?! Mugasha alikuwa na lengo gani?
wakati mwengine ukijifanya mjuaji sana unakuwa na Kiburi na dharau.
mimi ni mwananchi Mkulima, sijui sheria ila nimesema kitendo cha Jaji Mugasha kuandika Barua kwa Rais kisha kuinakilisha ktk ofisi za chini ya Rais na kusambaza kwenye vyombo na mitandao je? huo sio utovu wa nidhamu?
Je, kulikuwa na haja ya sisi wananchi kujua mawasiliano yao ya kiofisi?
Pia soma: Profesa Ibrahim Juma kuendelea kuwa Jaji Mkuu, Rais Samia anavunja Katiba ya JMT?
kuwa Mhimili unao jitegemea haimaanisha kila mmoja anakurupuka nakuanza kupandisha mabega juu na kujifanya mjuajiKwa sas hakuna makando kando, maana mtu anaiba hapa anahamishiwa pale, mahakama hata haina meno kwa mtawala., wakati huo huo unaaminishwa eti kuna mihimili mitatu, na kila mhimili unajisimamia. Lakini leo hii unakuta mhimili sirikali unaibaka mihimili mingine, so sad.
Mh kama chuki imekujaa kwa mh. Stella, yaani kama unahistoria ya kuwa na bifu nae... Maana barua yake hainyeshi hiyo chuki wala dharau... Bwana we usituletee hila zako, mh. Kaweka wazi maana keshajua uongozi unamadudu... Mwendo ndio huu sasa hivi fanyeni madudu wazalendo wanamwaga Michele.... Mtakoma hadi mjaze watu wenu serikali watakao Linda maslahi yenu.. Sio leo... Go Mh. STELA sisi tunakua heko madame😁😁🙏ujuwaji mwingi ni ujinga ndio unawaponza.
wapo wanao jua zaidi yake lkn wanatumia busara zaidi kuliko Kiburi na madharau.
Duh!Thibitisha kama ameisambaza kwenye mitandao
ww mwenyew umesema ni mkulima hujui mambo ya sheria so kinachokuwasha ni nn?Kitendo cha Jaji wa Mahakama ya Rufaa cha kuandika barua na kuzisambaza kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kuhusu au Kukosoa Kitendo cha Rais kumuongezea Jaji Mkuu muda wa kuendelea kuwepo kwenye kiti ni kitendo cha ukosefu wa nidhamu kwa mamlaka zilizo juu yake.
Kutoa maoni ni haki ya kila raia lakini inategemea maoni unyatoa wapi na kwa njia gani, Jaji Mugasha alipaswa aishauri mamlaka kwa njia sahihi sio hii aliyo itumia.
tunafahamu kuwa Jaji Stela Mugasha ni Jaji wa Mahakama ya Rufaa hivyo kwa nafasi yake ni kiongozi mkubwa tu ambaye yupo karibu na viongozi wa juu sasa kwa nini aliamua kuandika mabarua na kusambaza?!
kwahiyo lengo lake lilikuwa sio kujenga bali itatafsiriwa kuwa alilenga kubomoa na kudhalilisha mamlaka.
Jaji Stella Mugasha alikuwa nayo nafasi ya kumshauri hata Prof. Jaji Mkuu aliyepo kabla ya kusambaza mabarua yake.
Je? kulikuwa na haja ya kuandika baru kwa Mhe. Rais na kisha kutoa nakala kila ofisi ambazo zipo chini ya Rais?! Mugasha alikuwa na lengo gani?
wakati mwengine ukijifanya mjuaji sana unakuwa na Kiburi na dharau.
mimi ni mwananchi Mkulima, sijui sheria ila nimesema kitendo cha Jaji Mugasha kuandika Barua kwa Rais kisha kuinakilisha ktk ofisi za chini ya Rais na kusambaza kwenye vyombo na mitandao je? huo sio utovu wa nidhamu?
Je, kulikuwa na haja ya sisi wananchi kujua mawasiliano yao ya kiofisi?
Pia soma: Profesa Ibrahim Juma kuendelea kuwa Jaji Mkuu, Rais Samia anavunja Katiba ya JMT?
hata kama mm ni Mkulima haimaanishi kuwa eti siwezi kuona makosa ya wazi yanayo fanywa na viongozi, hata kama sina utaalamu wa sheria lkn naweza kuona na kubaini ukwiukwaji wa utaratibu kwa tabia ya jeuri na dharau.ww mwenyew umesema ni mkulima hujui mambo ya sheria so kinachokuwasha ni nn?
Huyu ni jaji mtaalam was Sheria anazungumzia sheria iilvokiukwa ni vema ungetulia km hujui kitu sio Kila jambo ......
unajua ukiwa mnafiki wa viwango vya juu, tambua iko siku mungu atakuumbua tu bila wewe kujua unacho kifanya kitakuwa na madhara au la.Kuna kitu hukijui. Kaa kwa kutulia.
Yani cha ajabu hawa wote walikuwepo kipindi kile ila sasahivi ndio midomo mirefu inawatoka kisa tu mama wa watu muungwanaunajua ukiwa mnafiki wa viwango vya juu, tambua iko siku mungu atakuumbua tu bila wewe kujua unacho kifanya kitakuwa na madhara au la.
Rais wetu ni mtu muungwana sana ila kuna baadhi ya viongozi wanataka kutumia uungwana wake kama udhaifu wa kumpelekesha!! lakini hawajui, kamwe usijaribu kumchezea mtu muungwana, au usijifanye mjuaji sana mbele ya mtu muungwana ukadhani hajui kitu!! utaadhirika bila kujua.
Chawa ndio pekee mna haki ya kutoka hadharani na kusifia?Kitendo cha Jaji wa Mahakama ya Rufaa cha kuandika barua na kuzisambaza kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kuhusu au Kukosoa Kitendo cha Rais kumuongezea Jaji Mkuu muda wa kuendelea kuwepo kwenye kiti ni kitendo cha ukosefu wa nidhamu kwa mamlaka zilizo juu yake.
Kutoa maoni ni haki ya kila raia lakini inategemea maoni unyatoa wapi na kwa njia gani, Jaji Mugasha alipaswa aishauri mamlaka kwa njia sahihi sio hii aliyo itumia.
tunafahamu kuwa Jaji Stela Mugasha ni Jaji wa Mahakama ya Rufaa hivyo kwa nafasi yake ni kiongozi mkubwa tu ambaye yupo karibu na viongozi wa juu sasa kwa nini aliamua kuandika mabarua na kusambaza?!
kwahiyo lengo lake lilikuwa sio kujenga bali itatafsiriwa kuwa alilenga kubomoa na kudhalilisha mamlaka.
Jaji Stella Mugasha alikuwa nayo nafasi ya kumshauri hata Prof. Jaji Mkuu aliyepo kabla ya kusambaza mabarua yake.
Je? kulikuwa na haja ya kuandika baru kwa Mhe. Rais na kisha kutoa nakala kila ofisi ambazo zipo chini ya Rais?! Mugasha alikuwa na lengo gani?
wakati mwengine ukijifanya mjuaji sana unakuwa na Kiburi na dharau.
mimi ni mwananchi Mkulima, sijui sheria ila nimesema kitendo cha Jaji Mugasha kuandika Barua kwa Rais kisha kuinakilisha ktk ofisi za chini ya Rais na kusambaza kwenye vyombo na mitandao je? huo sio utovu wa nidhamu?
Je, kulikuwa na haja ya sisi wananchi kujua mawasiliano yao ya kiofisi?
Pia soma: Profesa Ibrahim Juma kuendelea kuwa Jaji Mkuu, Rais Samia anavunja Katiba ya JMT?
Mbona Sinare aliteuliwa ubalozi aka kataa?Mama jaji alijuwa cheo chake kisha jiandaa mara pap mtu kaongezewa muda kwanini asiumie roho na kishatangazia ndugu zake Kagera zamu inakuja kaona watu wamepiga bypass. Nchi kuna watu aina mbili tu wale wanaocheza na walioko benchi. wanaotukana wako benchi wanaocheza kimyaa lakini hakuna mtu msafi ni ile hali tu nacheza au niko reserve basi sasa reserve bado ana hope ataingiza kuna watu wameachwa kwenye usajili hao sasa ndio kelele. Ndio maana nchi hii hutawahi kusikia mtu kateuliwa akakataa, Dr Slaa tu ubalozi tu alipewa aka switch 100% leo kaachwa kwenye usajili kelele na sio yeye tu ni sisi sote tabia zetu zinafanana.