Kitendo cha kocha wa Yanga, Cedric Kaze kuomba ajira Simba SC kimenishtua sana

Umeshaosha vyombo lakini?
 
Tutampa ajira ya kit manager na si kocha hana hazi iyo
 
Nani kakwambia kaze ANALIPWA MSHAHARA wa Dola 8,000?
Njaa kali mshahara wa dola elfu 8,huyo kishingo tu mshahara wake ulikua aumfikii kaze,kaze hajaombea kutoka kwa wasanii wa south africa,alikua canada kwenye academy kaka
 
Ajira ni ngumu kila mahali, chunga uliyonayo
 
Njaa kali mshahara wa dola elfu 8,huyo kishingo tu mshahara wake ulikua aumfikii kaze,kaze hajaombea kutoka kwa wasanii wa south africa,alikua canada kwenye academy kaka
Endelea kujidanganya tu Eti dola 8,000.
 
Endeleeni kujitekenya na kucheka wenyewe. Kipindi kile ilivyoshindikana mara ya kwanza kuja Yanga, Mikia walimfuata na hawakuweza kumchukua.
Sasa hivi ndiyo wataweza?
 
Mikia bana.....

Kutwa kupika majungu tu....

Haya tumeshatangulia FAINALI....

Njooni na YULE PAKA WENU MWEUSI......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…