Kitendo cha kocha wa Yanga, Cedric Kaze kuomba ajira Simba SC kimenishtua sana

Simba ni timu ya kimataifa.

Simba ni timu rahisi sana kupandisha credit/CV za kocha.

Simba ni timu inayoongozwa kisasa zaidi kwa East Africa.

Simba ni timu yenye sifa ya kuuza wachezaji nje ya nchi na wakafanya vizuri.

Makocha kama Kaze yamkini kabisa kuomba kazi kwenye klabu kubwa ya Simba, yenye mafanikio makubwa kwa nchi za SADC.
Ilikuwaje CEO ameondoka akaenda Yanga?

Hivi kichwani mna akili kweli?
 
Kama paka ndo anayecheza hapo sawa
Paka hakucheza mechi ile na Platinum eee?!!
Basi nakukumbusha mlivyozidi uwanjani....mlikuwa 12....

Peupeee mchezaji wenu huyo aliachiwa acheze....
Akaitoa penalti ya Kapombe nje ya 18 na kuwanyima Platinum Yao....kubwa hatuwezi kubadili matokeo....ila mmeingia Katika historia kwa ZAWADI ILE.....

Msalimie SAHIBU YENU yule refa mtutsi wa pale GISENYI....
 
Kama paka alicheza mechi alikuwa namba gani?
 
Platinum walikuwa 11...ninyi 12 mkiongozwa na yule mtutsi REFA kutoka Gisenyi.....

Paka alikuwa akihanikiza yasiyoeleweka huko nje....cha ajabu pale si sehemu ya kuuza vyakula...kumuona PAKA MWEUSI AKISHUSHWA NA MTU aliyevaa jezi nyekundu ni jambo la kutafakarisha....

Japo hauonekani...ila uchawi unabaki IMANI YA WATU WENGI WEUSI....

Nisalimie paka wenu na yule refa kutoka Rwanda.....
 
Kateni rufaa basi siyo mnakata mauno humu kwa hoja za kijinga
 
Hatuwezi kuikata sisi....

Platinum wana yao ya kuelezea...hatujui yatawachafuaje huko CAF.....

Endeleeni na janjajanja yenu ya USHINDI WA NJE YA UWANJA mikia wahedi ninyi....
 
Napenyezewa habari hapa kutoka Simba SC jikoni kuhusu maombi ya ajira ya ukocha Simba SC. Nimeambiwa mpaka jana kuna makocha 108 ndani na nje ya bara la Afrika wametupa maombi.

Kati ya makocha hao kocha Kaze wa Yanga SC naye ametuma maombi kujaribu habati yake. Wapo pia Mwinyi Zahera na Uchebe.

Kitendo cha huyo kocha wa Yanga kutaja kujiunga na wekundu mabingwa na timu tishio Afrika ni jambo zuri lakini limenishtua sana.

Ni propaganda za kijinga, upumbavu na ushenzi pamoja...
 
Back
Top Bottom