Kitendo cha kocha wa Yanga, Cedric Kaze kuomba ajira Simba SC kimenishtua sana

Kitendo cha kocha wa Yanga, Cedric Kaze kuomba ajira Simba SC kimenishtua sana

Naona familia ya MWAMEDI mnajitekenya na kucheka ovyo kama watu wenye HYSTERIA
 
Kama paka ndo analeta matokeo.tafuteni n wenu awaletee matokeo
Paka hakucheza mechi ile na Platinum eee?!!
Basi nakukumbusha mlivyozidi uwanjani....mlikuwa 12....

Peupeee mchezaji wenu huyo aliachiwa acheze....
Akaitoa penalti ya Kapombe nje ya 18 na kuwanyima Platinum Yao....kubwa hatuwezi kubadili matokeo....ila mmeingia Katika historia kwa ZAWADI ILE.....

Msalimie SAHIBU YENU yule refa mtutsi wa pale GISENYI....
 
Platinum walikuwa 11...ninyi 12 mkiongozwa na yule mtutsi REFA kutoka Gisenyi.....

Paka alikuwa akihanikiza yasiyoeleweka huko nje....cha ajabu pale si sehemu ya kuuza vyakula...kumuona PAKA MWEUSI AKISHUSHWA NA MTU aliyevaa jezi nyekundu ni jambo la kutafakarisha....

Japo hauonekani...ila uchawi unabaki IMANI YA WATU WENGI WEUSI....

Nisalimie paka wenu na yule refa kutoka Rwanda.....
Utopolo tangia muanze kuvaa madera mmekuwa wambeyawambeya
 
Simba ni timu ya kimataifa.

Simba ni timu rahisi sana kupandisha credit/CV za kocha.

Simba ni timu inayoongozwa kisasa zaidi kwa East Africa.

Simba ni timu yenye sifa ya kuuza wachezaji nje ya nchi na wakafanya vizuri.

Makocha kama Kaze yamkini kabisa kuomba kazi kwenye klabu kubwa ya Simba, yenye mafanikio makubwa kwa nchi za SADC.
Anaelishangaa hilo la kuomba ajira, anachanganya kazi na ushabiki. Wachezaji na kocha ni waajiriwa, na ajira ni popote, mapenzi kwa club ni kwa mashabiki.
 
Pale yanga hata ofisi HANAA.
Ila alipokuwa Simba alikuwa na ofisi ya CEO. Na alikuwa anafanya mikutano na body ya Simba
Alikuwa anaheshimika sanaa.
Ila Sasa hivi haeleweki ana cheo gani.
KWELI YANGA WACHAWI.
Una uhusiano gani nae? aliwahi kukuambia anataka ofisi?
 
Back
Top Bottom