mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Hapo kwenye [emoji76][emoji76] senzo kamaanisha paka fc
Mikia bana.....
Kutwa kupika majungu tu....
Haya tumeshatangulia FAINALI....
Njooni na YULE PAKA WENU MWEUSI......
Ilikuwaje CEO ameondoka akaenda Yanga?Simba ni timu ya kimataifa.
Simba ni timu rahisi sana kupandisha credit/CV za kocha.
Simba ni timu inayoongozwa kisasa zaidi kwa East Africa.
Simba ni timu yenye sifa ya kuuza wachezaji nje ya nchi na wakafanya vizuri.
Makocha kama Kaze yamkini kabisa kuomba kazi kwenye klabu kubwa ya Simba, yenye mafanikio makubwa kwa nchi za SADC.
🤣🤣🤣Eti Namungo....Level za Simba Ni akina Al ahly.
Nyie hata namungo hamko level nae
Ya zamani ki vipi na Babra yupo ndani?Ya zamani hiyo
Kwani CEO awezi kulukwa na akili?Ilikuwaje CEO ameondoka akaenda Yanga?
Hivi kichwani mna akili kweli?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Eti Namungo....
Ninakusubiri FAINALI.....usimsahau yule PAKA wenu mweusi.....
Paka hakucheza mechi ile na Platinum eee?!!Kama paka ndo anayecheza hapo sawa
Jina lako na mambo yako vina endanaSenzo hayupo kweli yanga.
Mambo magumu.
Hawa lengo lao nikujaribu kuvuruga kasi ya Yanga mabingwa wa kihistoria.ULITAKA ATUME MAOMBI KWA.MWAMPOSA?
Kama paka alicheza mechi alikuwa namba gani?Paka hakucheza mechi ile na Platinum eee?!!
Basi nakukumbusha mlivyozidi uwanjani....mlikuwa 12....
Peupeee mchezaji wenu huyo aliachiwa acheze....
Akaitoa penalti ya Kapombe nje ya 18 na kuwanyima Platinum Yao....kubwa hatuwezi kubadili matokeo....ila mmeingia Katika historia kwa ZAWADI ILE.....
Msalimie SAHIBU YENU yule refa mtutsi wa pale GISENYI....
🤣🤣Jina lako na mambo yako vina endana
Alikua south hana hata wiki toka arudiSenzo hayupo kweli yanga.
Mambo magumu.
Platinum walikuwa 11...ninyi 12 mkiongozwa na yule mtutsi REFA kutoka Gisenyi.....Kama paka alicheza mechi alikuwa namba gani?
Kateni rufaa basi siyo mnakata mauno humu kwa hoja za kijingaPlatinum walikuwa 11...ninyi 12 mkiongozwa na yule mtutsi REFA kutoka Gisenyi.....
Paka alikuwa akihanikiza yasiyoeleweka huko nje....cha ajabu pale si sehemu ya kuuza vyakula...kumuona PAKA MWEUSI AKISHUSHWA NA MTU aliyevaa jezi nyekundu ni jambo la kutafakarisha....
Japo hauonekani...ila uchawi unabaki IMANI YA WATU WENGI WEUSI....
Nisalimie paka wenu na yule refa kutoka Rwanda.....
Hatuwezi kuikata sisi....Kateni rufaa basi siyo mnakata mauno humu kwa hoja za kijinga
Napenyezewa habari hapa kutoka Simba SC jikoni kuhusu maombi ya ajira ya ukocha Simba SC. Nimeambiwa mpaka jana kuna makocha 108 ndani na nje ya bara la Afrika wametupa maombi.
Kati ya makocha hao kocha Kaze wa Yanga SC naye ametuma maombi kujaribu habati yake. Wapo pia Mwinyi Zahera na Uchebe.
Kitendo cha huyo kocha wa Yanga kutaja kujiunga na wekundu mabingwa na timu tishio Afrika ni jambo zuri lakini limenishtua sana.
Ni propaganda za kijinga, upumbavu na ushenzi pamoja...Napenyezewa habari hapa kutoka Simba SC jikoni kuhusu maombi ya ajira ya ukocha Simba SC. Nimeambiwa mpaka jana kuna makocha 108 ndani na nje ya bara la Afrika wametupa maombi.
Kati ya makocha hao kocha Kaze wa Yanga SC naye ametuma maombi kujaribu habati yake. Wapo pia Mwinyi Zahera na Uchebe.
Kitendo cha huyo kocha wa Yanga kutaja kujiunga na wekundu mabingwa na timu tishio Afrika ni jambo zuri lakini limenishtua sana.