Kitendo cha kocha wa Yanga, Cedric Kaze kuomba ajira Simba SC kimenishtua sana

Naona familia ya MWAMEDI mnajitekenya na kucheka ovyo kama watu wenye HYSTERIA
 
Kama paka ndo analeta matokeo.tafuteni n wenu awaletee matokeo
 
Utopolo tangia muanze kuvaa madera mmekuwa wambeyawambeya
 
Anaelishangaa hilo la kuomba ajira, anachanganya kazi na ushabiki. Wachezaji na kocha ni waajiriwa, na ajira ni popote, mapenzi kwa club ni kwa mashabiki.
 
Pale yanga hata ofisi HANAA.
Ila alipokuwa Simba alikuwa na ofisi ya CEO. Na alikuwa anafanya mikutano na body ya Simba
Alikuwa anaheshimika sanaa.
Ila Sasa hivi haeleweki ana cheo gani.
KWELI YANGA WACHAWI.
Una uhusiano gani nae? aliwahi kukuambia anataka ofisi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…