Kitendo cha kumpa Mbowe privilege kuwa hastahili kushtakiwa kwa ugaidi si sawa kisheria na ni kinyume na dhana ya "Equality before the law"

Shujaa Mwendazake

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
4,016
Reaction score
6,759
Kwa elimu yetu ndogo ya uraia tulisomasoma kidogo kuhusu Equality Before the Law (The principle which requires a systematic rule of law that observes due process to provide equal justice, and requires equal protection ensuring that no individual nor group of individuals be privileged over others by the law.). Sitaki kwenda mbali nabaki hapo kwenye Rule of Law na pia kwenye "nor group of individuals be privileged over others"

Si kwamba nami mathibitisha kuwa Mbowe ni gaidi La hasha lakini hizi harakati za vyuoni ambazo mnazileta mpaka ukubwani siyo sawa na mnasumbua Taifa. Ni wazi kuwa hata ninyi hamuheshimu utawala wa Sheria . Utawala gani wa Sheria ambao mnaulilia sasa? Sote tunatambua kuwa "no one is guilty unless proven by the court" . Sasa mnasema yeye siyo Guilty tujiulize je ninyi ni mahakama? . Lakini mnavyokazania kwamba Mbowe si gaidi kwani nani amesema Mbowe ni gaidi ?.

Kitendo ch kumpa Mbowe privilege kuwa hastahili kushtakiwa kwa ugaidi si sawa kisheria na ni kinyume na dhana ya "Equality before the law" lakini pia tujiulize nani anajua Nyendo zote za Mbowe kiasi cha kumtetea namna hii. Ni kweli inafikirisha kuwa ukaribu wa Mbowe (kutokana na nafasi yake) kwa Viongozi mbalimbali na tuhuma zake ni kama haziingii akilini lakini kwani treason cases nyingi zinatokea mbali?, masterminds wa ugaidi na treasons wanatokaga mbali?

Kuchafua Kuta za watu haiwezi kuwa ushaidi wa Makosa ya Mbowe, Mpaka anashutumiwa na kukamatwa manake kuna Dalili za Makosa ya Ugaidi. Mnapaswa kutafuta Ushaidi wakisheria utkaaomtoa kwenye makosa au kusubiri ushahidi wa upande wa mashtake ili mpate kutengeneza hizo reasonable doubts na kumnasua. Lakini si kwa huu utopolo wakuchafua Kuta za Watu na Kuandamana kwenda Mahakamani huku mkichafua mitandao ya kijamii kwa jambo ambalo liko kwenye meza za kisheria.

Mnapaswa kuwa mfano wa vita ya katiba mnayopigania kwa maana ya kuwa "All people are equal under the law" . Kwani Freeman ni mtu wa kwanza kushtakiwa kwa makosa hayo au kwamba watanzania wengine wanaoshtakiwa ni wapumbavu?. Je Mnatufundisha nini mkishika dola. Viongozi wenu wa Chama wataguswa kweli na sheria?. Mbowe akiwa waziri mkuu akifanya kosa ataguswa kweli?. Mnawasema CCM kila siku kuwa hawaheshimu sheria lakini nanyi mnaonesha kuwa ni walewale. What went wrong?, sasa si ni bora hata ya ACT mnaowadharau!

Mnalaumu viongozi kuwa wanaingilia uhuru wa mahakama, Vipi hiki mnachokifanya ninyi siyo kuingilia uhuru wa mahakama?. Mlipaswa kupiga kelele za "JUSICE FOR MBOWE" na si kelele za "MBOWE SIYO GAIDI" na kuchorachora kuta za watu ambapo ni makosa pia kisheria.

Kesi ya Mbowe ni sensitive ndo maana mawakili waki HAWALIPUKI NA KAULI za hovyohovyo bali wanasubiri facts waanza kucounter na wala hakuwaambia mchorechore nyumba za na kuta za watu.

GROW UP CDM
20210820_153134.jpg
 
Umeandika vizuri mno na kwa muangalio wa haraka upo sahihi kwa asilimia mia.Ulichopunguza au kukipuuza ni swali rahisi la "ni kwa vipi tumefikia hapa?".Jambo la pili ni kuwa umeangalia upande mmoja kwani umeacha kwa maksudi "ukamatwaji wa Mbowe",nane usiku (dhamira ilikuwa nini,kumkuta na kimada ili kumpunguzia credibility?kumkuta akiwa uchi na kumdhalilisha?).Jambo la tatu ambalo umeliacha ni kuhusu sheria au law,inasemaje kuhusu kupekuliwa?Mwisho ni saa ngapi?
Yote tunayoyaona yana chanzo na bahati mbaya sisi ni wasaulifu mno.
 
Unapoint nzuri sema, polisiccm wanaonea watu mpaka makanisani inakuwa ipo wazi sn, mahakama zetu nazo hizi ni sehemu ya mfumo mbovu, kwanini wasi reject kesi za kijinga? polisi wanachezea mahakama kama shamba la bibi yao.

Kesi ya Kijinga mahakama wanaijuaje. Kwani kesi ngapi CHADEMA wameshinda?

Jaji/Hakimu anareject vip kesi iliyoletwa kwake?

Kwa nini wareject kesi ya mbowe na si ya babu seya?
 
Umeandika vizuri mno na kwa muangalio wa haraka upo sahihi kwa asilimia mia.Ulichopunguza au kukipuuza ni swali rahisi la "ni kwa vipi tumefikia hapa?".Jambo la pili ni kuwa umeangalia upande mmoja kwani umeacha kwa maksudi "ukamatwaji wa Mbowe",nane usiku (dhamira ilikuwa nini,kumkuta na kimada ili kumpunguzia credibility?kumkuta akiwa uchi na kumdhalilisha?).Jambo la tatu ambalo umeliacha ni kuhusu sheria au law,inasemaje kuhusu kupekuliwa?Mwisho ni saa ngapi?
Yote tunayoyaona yana chanzo na bahati mbaya sisi ni wasaulifu mno.

Sijaongelea Criminal Procedures mkuu.

Nimebaki na kesi Mahakamani. Sijataka kudeal na PGO walah!

Utaratibu kama haukufuatwa wakati wa ukamataji, ni "ni sehemu ya Reasonable Doubts" zitamsaidia yeye wakati wa utetezi.

Tumefika hapa wapi?.. Mtuhumiwa wa ugaidi anaweza kuwa yeyote yaani Kiongozi wa dini, Waziri, Mfanyabiashara, Mwanasiasa na yeyote yule. NO EXCUSES. Lakini je CDM mnapaswa kuipangia polisi nani wamtuhumu na nani wasimtuhumu?

Time of arrest nayo inaondoa Criminality ya Mbowe?. Kama inaondoa basi iende mahakamani mkuu.

Kupekuliwa upo sawa, wakikokosea kumpekua si ushahidi utakuwa batili, shida iko wap?

Nachopinga ni hizi Stunts na Mmemes za "SIYOGAIDI" na kuchorachora Mali za watu.

NI UTOTO, UJINGA NA UPUMBAVU
 
"nor group of individuals be privileged over others"
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Spika wa Bunge la JMT, Jaji Mkuu wa JMT, Waziri Mkuu, Makamu wa Rais, mnaweza kuwataja niliowaacha ''is it a group or not?'' na maanisha hiki ni kikundi au la? ok umesema '' hakuna kikundi cha watu kitakacho pendelewa dhidi ya wengine mbele ya sheria'' sawa kama sijasahau hawa watu walitungiwa sheria inayo wapendelea dhidi ya raia wengine wa nchi kuwa hawata shitakiwa kwa makosa yoyote watakayotenda wakiwa madarakani. kwa maana nyingi huwezi kuja kumshitaki ndungai kwa ukiukaji wa katiba anaoufanya pale bungeni na ndio maana yupo comfortable hata anapo vunja katiba.
Bado somo lako lina maana yoyote?
 
Umeandika vizuri mno na kwa muangalio wa haraka upo sahihi kwa asilimia mia.Ulichopunguza au kukipuuza ni swali rahisi la "ni kwa vipi tumefikia hapa?".Jambo la pili ni kuwa umeangalia upande mmoja kwani umeacha kwa maksudi "ukamatwaji wa Mbowe",nane usiku (dhamira ilikuwa nini,kumkuta na kimada ili kumpunguzia credibility?kumkuta akiwa uchi na kumdhalilisha?).Jambo la tatu ambalo umeliacha ni kuhusu sheria au law,inasemaje kuhusu kupekuliwa?Mwisho ni saa ngapi?
Yote tunayoyaona yana chanzo na bahati mbaya sisi ni wasaulifu mno.
Kwa kuongezea tu, mbona hakusema chochote juu ya hao wanao kanyaga katiba kama kweli wote tuko sawa mbele ya sheria?
 
Kwa elimu yetu ndogo ya uraia tulisomasoma kidogo kuhusu Equality Before the Law (The principle which requires a systematic rule of law that observes due process to provide equal justice, and requires equal protection ensuring that no individual nor group of individuals be privileged over others by the law.). Sitaki kwenda mbali nabaki hapo kwenye Rule of Law na pia kwenye "nor group of individuals be privileged over others"

Si kwamba nami mathibitisha kuwa Mbowe ni gaidi La hasha lakini hizi harakati za vyuoni ambazo mnazileta mpaka ukubwani siyo sawa na mnasumbua Taifa. Ni wazi kuwa hata ninyi hamuheshimu utawala wa Sheria . Utawala gani wa Sheria ambao mnaulilia sasa? Sote tunatambua kuwa "no one is guilty unless proven by the court" . Sasa mnasema yeye siyo Guilty tujiulize je ninyi ni mahakama? . Lakini mnavyokazania kwamba Mbowe si gaidi kwani nani amesema Mbowe ni gaidi ?.

Kitendo ch kumpa Mbowe privilege kuwa hastahili kushtakiwa kwa ugaidi si sawa kisheria na ni kinyume na dhana ya "Equality before the law" lakini pia tujiulize nani anajua Nyendo zote za Mbowe kiasi cha kumtetea namna hii. Ni kweli inafikirisha kuwa ukaribu wa Mbowe (kutokana na nafasi yake) kwa Viongozi mbalimbali na tuhuma zake ni kama haziingii akilini lakini kwani treason cases nyingi zinatokea mbali?, masterminds wa ugaidi na treasons wanatokaga mbali?

Kuchafua Kuta za watu haiwezi kuwa ushaidi wa Makosa ya Mbowe, Mpaka anashutumiwa na kukamatwa manake kuna Dalili za Makosa ya Ugaidi. Mnapaswa kutafuta Ushaidi wakisheria utkaaomtoa kwenye makosa au kusubiri ushahidi wa upande wa mashtake ili mpate kutengeneza hizo reasonable doubts na kumnasua. Lakini si kwa huu utopolo wakuchafua Kuta za Watu na Kuandamana kwenda Mahakamani huku mkichafua mitandao ya kijamii kwa jambo ambalo liko kwenye meza za kisheria.

Mnapaswa kuwa mfano wa vita ya katiba mnayopigania kwa maana ya kuwa "All people are equal under the law" . Kwani Freeman ni mtu wa kwanza kushtakiwa kwa makosa hayo au kwamba watanzania wengine wanaoshtakiwa ni wapumbavu?. Je Mnatufundisha nini mkishika dola. Viongozi wenu wa Chama wataguswa kweli na sheria?. Mbowe akiwa waziri mkuu akifanya kosa ataguswa kweli?. Mnawasema CCM kila siku kuwa hawaheshimu sheria lakini nanyi mnaonesha kuwa ni walewale. What went wrong?, sasa si ni bora hata ya ACT mnaowadharau!

Mnalaumu viongozi kuwa wanaingilia uhuru wa mahakama, Vipi hiki mnachokifanya ninyi siyo kuingilia uhuru wa mahakama?. Mlipaswa kupiga kelele za "JUSICE FOR MBOWE" na si kelele za "MBOWE SIYO GAIDI" na kuchorachora kuta za watu ambapo ni makosa pia kisheria.

Kesi ya Mbowe ni sensitive ndo maana mawakili waki HAWALIPUKI NA KAULI za hovyohovyo bali wanasubiri facts waanza kucounter na wala hakuwaambia mchorechore nyumba za na kuta za watu.

GROW UP CDM
View attachment 1899796
Equality before the law? jee wewe na Majaliwa, Ndugai au Tulia unadhani mko equal?
Ukilipatia jibu sahihi swali hilo utagundua kuwa mada yako imepotea mazima
 
Sijaongelea Criminal Procedures mkuu.

Nimebaki na kesi Mahakamani. Sijataka kudeal na PGO walah!

Utaratibu kama haukufuatwa wakati wa ukamataji, ni "ni sehemu ya Reasonable Doubts" zitamsaidia yeye wakati wa utetezi.

Tumefika hapa wapi?.. Mtuhumiwa wa ugaidi anaweza kuwa yeyote yaani Kiongozi wa dini, Waziri, Mfanyabiashara, Mwanasiasa na yeyote yule. NO EXCUSES. Lakini je CDM mnapaswa kuipangia polisi nani wamtuhumu na nani wasimtuhumu?

Time of arrest nayo inaondoa Criminality ya Mbowe?. Kama inaondoa basi iende mahakamani mkuu.

Kupekuliwa upo sawa, wakikokosea kumpekua si ushahidi utakuwa batili, shida iko wap?

Nachopinga ni hizi Stunts na Mmemes za "SIYOGAIDI" na kuchorachora Mali za watu.

NI UTOTO, UJINGA NA UPUMBAVU
Kama wapinzani hawaruhusiwi kukusanyika kuelezea hisia zao, mbadala wake ni pamoja na kuandika ukutani. Wewe unaona ni utoto/ujinga/upumbavu lakini kumbuka wamezibwa midomo ili hali katiba / sheria za vyama vya siasa inaruhusu mikusanyiko. Viongozi wa CCM wanazunguka kona zote za nchi na kukusanyika ila wengine ni haramu. Huu uminywaji wa haki ni sawa?
 
Hiyo ni kwa Mbowe je kuna watanzania wangapi wako mahabusu aua jela kwa kesi za kusingiziwa, kukamatwa kwao hakukufuata sheria na taratibu
 
Kwa elimu yetu ndogo ya uraia tulisomasoma kidogo kuhusu Equality Before the Law (The principle which requires a systematic rule of law that observes due process to provide equal justice, and requires equal protection ensuring that no individual nor group of individuals be privileged over others by the law.). Sitaki kwenda mbali nabaki hapo kwenye Rule of Law na pia kwenye "nor group of individuals be privileged over others"

Si kwamba nami mathibitisha kuwa Mbowe ni gaidi La hasha lakini hizi harakati za vyuoni ambazo mnazileta mpaka ukubwani siyo sawa na mnasumbua Taifa. Ni wazi kuwa hata ninyi hamuheshimu utawala wa Sheria . Utawala gani wa Sheria ambao mnaulilia sasa? Sote tunatambua kuwa "no one is guilty unless proven by the court" . Sasa mnasema yeye siyo Guilty tujiulize je ninyi ni mahakama? . Lakini mnavyokazania kwamba Mbowe si gaidi kwani nani amesema Mbowe ni gaidi ?.

Kitendo ch kumpa Mbowe privilege kuwa hastahili kushtakiwa kwa ugaidi si sawa kisheria na ni kinyume na dhana ya "Equality before the law" lakini pia tujiulize nani anajua Nyendo zote za Mbowe kiasi cha kumtetea namna hii. Ni kweli inafikirisha kuwa ukaribu wa Mbowe (kutokana na nafasi yake) kwa Viongozi mbalimbali na tuhuma zake ni kama haziingii akilini lakini kwani treason cases nyingi zinatokea mbali?, masterminds wa ugaidi na treasons wanatokaga mbali?

Kuchafua Kuta za watu haiwezi kuwa ushaidi wa Makosa ya Mbowe, Mpaka anashutumiwa na kukamatwa manake kuna Dalili za Makosa ya Ugaidi. Mnapaswa kutafuta Ushaidi wakisheria utkaaomtoa kwenye makosa au kusubiri ushahidi wa upande wa mashtake ili mpate kutengeneza hizo reasonable doubts na kumnasua. Lakini si kwa huu utopolo wakuchafua Kuta za Watu na Kuandamana kwenda Mahakamani huku mkichafua mitandao ya kijamii kwa jambo ambalo liko kwenye meza za kisheria.

Mnapaswa kuwa mfano wa vita ya katiba mnayopigania kwa maana ya kuwa "All people are equal under the law" . Kwani Freeman ni mtu wa kwanza kushtakiwa kwa makosa hayo au kwamba watanzania wengine wanaoshtakiwa ni wapumbavu?. Je Mnatufundisha nini mkishika dola. Viongozi wenu wa Chama wataguswa kweli na sheria?. Mbowe akiwa waziri mkuu akifanya kosa ataguswa kweli?. Mnawasema CCM kila siku kuwa hawaheshimu sheria lakini nanyi mnaonesha kuwa ni walewale. What went wrong?, sasa si ni bora hata ya ACT mnaowadharau!

Mnalaumu viongozi kuwa wanaingilia uhuru wa mahakama, Vipi hiki mnachokifanya ninyi siyo kuingilia uhuru wa mahakama?. Mlipaswa kupiga kelele za "JUSICE FOR MBOWE" na si kelele za "MBOWE SIYO GAIDI" na kuchorachora kuta za watu ambapo ni makosa pia kisheria.

Kesi ya Mbowe ni sensitive ndo maana mawakili waki HAWALIPUKI NA KAULI za hovyohovyo bali wanasubiri facts waanza kucounter na wala hakuwaambia mchorechore nyumba za na kuta za watu.

GROW UP CDM
View attachment 1899796
Naona sasa umekuja na rangi yako halisi baada ya kuchoka kujifichaficha
 
Tuiache mahakama ifanye kazi yake kwa uhuru.
Mahakama haiwezi kufanya kazi yake kwa uhuru wakati muapishaji naye kesha toa muelekeo wa hukumu kabla ya kesi kuanza na mkamataji alituthibitishia tutumie dini kuwa hakuna shaka yoyote mbele ya bibilia kuwa Mbowe ni gaidi.
 
Hiyo ni kwa Mbowe je kuna watanzania wangapi wako mahabusu aua jela kwa kesi za kusingiziwa, kukamatwa kwao hakukufuata sheria na taratibu
Wengi sana,japokuwa sijafanya utafiti rasmi ila viashiria vinaonyesha kuwa kuna idadi kubwa ya mahabusu na wafungwa wanaotumikia adhabu kwa kesi za kubumba.Ingekuwa kuna equality hata chembe ama Haki usingepata manung'uniko kama ilivyo sasa.
Kiuhalisia hapa Tanzania Usawa na Utu wa binadamu umewekwa katika misingi rasmi&isiyo rasmi ya uvyama.Tukatae tukubali Cancer itakayoisambaratisha Tanzania ya Tanganyika na Zanzibar ni uvyama na ung'ang'anizi wa madaraka hata pale Wananchi wanapoonyesha hisia zao halisi kwa kupiga kura.
Tunahitaji Katiba ya wananchi ili tuiponye nchi yetu.This Country is Ours and we want it's Prosperity irrespective of Political Parties.
 
Kwa elimu yetu ndogo ya uraia tulisomasoma kidogo kuhusu Equality Before the Law (The principle which requires a systematic rule of law that observes due process to provide equal justice, and requires equal protection ensuring that no individual nor group of individuals be privileged over others by the law.). Sitaki kwenda mbali nabaki hapo kwenye Rule of Law na pia kwenye "nor group of individuals be privileged over others"

Si kwamba nami mathibitisha kuwa Mbowe ni gaidi La hasha lakini hizi harakati za vyuoni ambazo mnazileta mpaka ukubwani siyo sawa na mnasumbua Taifa. Ni wazi kuwa hata ninyi hamuheshimu utawala wa Sheria . Utawala gani wa Sheria ambao mnaulilia sasa? Sote tunatambua kuwa "no one is guilty unless proven by the court" . Sasa mnasema yeye siyo Guilty tujiulize je ninyi ni mahakama? . Lakini mnavyokazania kwamba Mbowe si gaidi kwani nani amesema Mbowe ni gaidi ?.

Kitendo ch kumpa Mbowe privilege kuwa hastahili kushtakiwa kwa ugaidi si sawa kisheria na ni kinyume na dhana ya "Equality before the law" lakini pia tujiulize nani anajua Nyendo zote za Mbowe kiasi cha kumtetea namna hii. Ni kweli inafikirisha kuwa ukaribu wa Mbowe (kutokana na nafasi yake) kwa Viongozi mbalimbali na tuhuma zake ni kama haziingii akilini lakini kwani treason cases nyingi zinatokea mbali?, masterminds wa ugaidi na treasons wanatokaga mbali?

Kuchafua Kuta za watu haiwezi kuwa ushaidi wa Makosa ya Mbowe, Mpaka anashutumiwa na kukamatwa manake kuna Dalili za Makosa ya Ugaidi. Mnapaswa kutafuta Ushaidi wakisheria utkaaomtoa kwenye makosa au kusubiri ushahidi wa upande wa mashtake ili mpate kutengeneza hizo reasonable doubts na kumnasua. Lakini si kwa huu utopolo wakuchafua Kuta za Watu na Kuandamana kwenda Mahakamani huku mkichafua mitandao ya kijamii kwa jambo ambalo liko kwenye meza za kisheria.

Mnapaswa kuwa mfano wa vita ya katiba mnayopigania kwa maana ya kuwa "All people are equal under the law" . Kwani Freeman ni mtu wa kwanza kushtakiwa kwa makosa hayo au kwamba watanzania wengine wanaoshtakiwa ni wapumbavu?. Je Mnatufundisha nini mkishika dola. Viongozi wenu wa Chama wataguswa kweli na sheria?. Mbowe akiwa waziri mkuu akifanya kosa ataguswa kweli?. Mnawasema CCM kila siku kuwa hawaheshimu sheria lakini nanyi mnaonesha kuwa ni walewale. What went wrong?, sasa si ni bora hata ya ACT mnaowadharau!

Mnalaumu viongozi kuwa wanaingilia uhuru wa mahakama, Vipi hiki mnachokifanya ninyi siyo kuingilia uhuru wa mahakama?. Mlipaswa kupiga kelele za "JUSICE FOR MBOWE" na si kelele za "MBOWE SIYO GAIDI" na kuchorachora kuta za watu ambapo ni makosa pia kisheria.

Kesi ya Mbowe ni sensitive ndo maana mawakili waki HAWALIPUKI NA KAULI za hovyohovyo bali wanasubiri facts waanza kucounter na wala hakuwaambia mchorechore nyumba za na kuta za watu.

GROW UP CDM
View attachment 1899796

Tuna uzoefu wa siasa za kishenzi za nchi hii, na kwa bahati mbaya hata hiyo mahakama unayoitetea hapa, imekuwa ni sehemu ya kutekeleza hizi siasa chafu. unapotaka watu wakae kimya wakati tunajua fika hizo mahakama ni sehemu ya hizi siasa chafu sijui unamaanisha nini.
 
Umeandika vizuri mno na kwa muangalio wa haraka upo sahihi kwa asilimia mia.Ulichopunguza au kukipuuza ni swali rahisi la "ni kwa vipi tumefikia hapa?".Jambo la pili ni kuwa umeangalia upande mmoja kwani umeacha kwa maksudi "ukamatwaji wa Mbowe",nane usiku (dhamira ilikuwa nini,kumkuta na kimada ili kumpunguzia credibility?kumkuta akiwa uchi na kumdhalilisha?).Jambo la tatu ambalo umeliacha ni kuhusu sheria au law,inasemaje kuhusu kupekuliwa?Mwisho ni saa ngapi?
Yote tunayoyaona yana chanzo na bahati mbaya sisi ni wasaulifu mno.
Kiufupi ameamua kwa makusudi kabisa kupotezea ukweli kwamba kuna possibility kubwa sana ya kuwa amebambikiwa hiyo kesi??
 
Kesi ya Kijinga mahakama wanaijuaje. Kwani kesi ngapi CHADEMA wameshinda?

Jaji/Hakimu anareject vip kesi iliyoletwa kwake?

Kwa nini wareject kesi ya mbowe na si ya babu seya?
Tujikumbushe rais alisema wazi wazi vyombo vya sheria viache kubambikia watu kesi!! Can you imagine?? Yaani mkuu wa nchi anajua kwamba raia wake wanabambikiwa kesi!!! Angalia kesi ya Mdude ilivyotupwa, hakimu alisemaje??
 
Sijaongelea Criminal Procedures mkuu.

Nimebaki na kesi Mahakamani. Sijataka kudeal na PGO walah!

Utaratibu kama haukufuatwa wakati wa ukamataji, ni "ni sehemu ya Reasonable Doubts" zitamsaidia yeye wakati wa utetezi.

Tumefika hapa wapi?.. Mtuhumiwa wa ugaidi anaweza kuwa yeyote yaani Kiongozi wa dini, Waziri, Mfanyabiashara, Mwanasiasa na yeyote yule. NO EXCUSES. Lakini je CDM mnapaswa kuipangia polisi nani wamtuhumu na nani wasimtuhumu?

Time of arrest nayo inaondoa Criminality ya Mbowe?. Kama inaondoa basi iende mahakamani mkuu.

Kupekuliwa upo sawa, wakikokosea kumpekua si ushahidi utakuwa batili, shida iko wap?

Nachopinga ni hizi Stunts na Mmemes za "SIYOGAIDI" na kuchorachora Mali za watu.

NI UTOTO, UJINGA NA UPUMBAVU
Mbona hukupinga zile memes kwenye mawe nchi nzima za kigogo fulani akijinadi yeye ni rais wa majabali?? Au ndiyo yale yale ya mkuki mtamu tuu kwa nguruwe??
 
Umeandika vizuri mno na kwa muangalio wa haraka upo sahihi kwa asilimia mia.Ulichopunguza au kukipuuza ni swali rahisi la "ni kwa vipi tumefikia hapa?".Jambo la pili ni kuwa umeangalia upande mmoja kwani umeacha kwa maksudi "ukamatwaji wa Mbowe",nane usiku (dhamira ilikuwa nini,kumkuta na kimada ili kumpunguzia credibility?kumkuta akiwa uchi na kumdhalilisha?).Jambo la tatu ambalo umeliacha ni kuhusu sheria au law,inasemaje kuhusu kupekuliwa?Mwisho ni saa ngapi?
Yote tunayoyaona yana chanzo na bahati mbaya sisi ni wasaulifu mno.
Pia Mbowe alikuwepo nchni tangu April hakuwahi kuitwa polisi akakataa kwenda, wamempeleka mahakamani bila wakili wala familia kujulishwa, yeye haoni mhimili mwingine uliomuhukumu? fair ipo wapi mbona anafumba macho?
 
Back
Top Bottom