Kwa hiyo kesi ya ugaidi ya Mbowe ni ya kisiasa?
..Nimeuliza ni kikao gani cha ccm kimewahi kutawanywa na polisi wenye silaha, na mbwa, kama ilivyotokea kwa Chadema kule Mwanza.
..Au ni wajumbe wa ngapi wa Kamati Kuu ya CCM wamewahi kupigwa na kujeruhiwa na Polisi kama ilivyotokea kwa Chadema.
..Umewahi kusikia kiongozi wa CCM amepelekwa magereza halafu akavuliwa nguo kuwa uchi wa mnyama kama walivyofanyiwa Chadema ktk kesi ile ya kusingiziwa?
..Au ni mara ngapi WANAWAKE wa CCM wamewahi kupigwa na kujeruhiwa na Polisi mpaka kulazwa hospitali?