Kitendo cha kumpa Mbowe privilege kuwa hastahili kushtakiwa kwa ugaidi si sawa kisheria na ni kinyume na dhana ya "Equality before the law"

Kitendo cha kumpa Mbowe privilege kuwa hastahili kushtakiwa kwa ugaidi si sawa kisheria na ni kinyume na dhana ya "Equality before the law"

Kwa hiyo kesi ya ugaidi ya Mbowe ni ya kisiasa?

..Nimeuliza ni kikao gani cha ccm kimewahi kutawanywa na polisi wenye silaha, na mbwa, kama ilivyotokea kwa Chadema kule Mwanza.

..Au ni wajumbe wa ngapi wa Kamati Kuu ya CCM wamewahi kupigwa na kujeruhiwa na Polisi kama ilivyotokea kwa Chadema.

..Umewahi kusikia kiongozi wa CCM amepelekwa magereza halafu akavuliwa nguo kuwa uchi wa mnyama kama walivyofanyiwa Chadema ktk kesi ile ya kusingiziwa?

..Au ni mara ngapi WANAWAKE wa CCM wamewahi kupigwa na kujeruhiwa na Polisi mpaka kulazwa hospitali?
 
Kiongozi anayewasimamia hao wanaokamata na kuwashitaki raia alisema jukwaani mbele ya camera kuwambia msibamkize watu kesi za uwongo na kuanzia sasa kesi zote za kubambikiza mkaondoe mahakamani na hilo lilitekelezwa

HERI YAO VIONGOZI WASEMAO UKWELI NA KUWATETEA WANYONGE WANAOONEWA
 
Hii ndo hoja ya kusema MBOWE SIYO GAIDI .

Mbona umehama na kukimbilia kwenye Mabomu ?

..Wewe si unasema hakuna double standards?

..Sasa mimi nakuonyesha kwamba polisi na mahakama mara nyingi huwa hawatendi haki kwa Chadema.
 
WANAOLETA HIZI VURUGU NI WATANZANIA WOTE AU NI KIKUNDI CHA WAFUASI WA MBOWE?

Hakuna vurugu Tanzania? Kufanya mikutano sio vurugu😂 mna jaribu kuweka vitu ambavyo havipo yaani watu wafanye mikutano yao huko kwasababu tu ni upinzani ni vurugu tueleze vurugu iko wapi?
 
Tujikumbushe rais alisema wazi wazi vyombo vya sheria viache kubambikia watu kesi!! Can you imagine?? Yaani mkuu wa nchi anajua kwamba raia wake wanabambikiwa kesi!!! Angalia kesi ya Mdude ilivyotupwa, hakimu alisemaje??
Katika kitabu cha Mithali ndani ya Biblia, sura ya 14:34 inasema wazi kuwa "Haki huinua Taifa na dhambi ni aibu kwa watu wote"

Umequote vizuri Sana, Rais mwenyewe Samia aliwaonya hao Polisi kuwa waache kuwabambikia raia wema kesi.

Hebu jaribu kujiuliza hivi ni nani atamfidia Mbowe, kwa mateso makubwa anayopata ya kukaa rumande kwa kipindi chote hiki kwa kesi ya kubambika??
 
..Nimeuliza ni kikao gani cha ccm kimewahi kutawanywa na polisi wenye silaha, na mbwa, kama ilivyotokea kwa Chadema kule Mwanza.

..Au ni wajumbe wa ngapi wa Kamati Kuu ya CCM wamewahi kupigwa na kujeruhiwa na Polisi kama ilivyotokea kwa Chadema.

..Umewahi kusikia kiongozi wa CCM amepelekwa magereza halafu akavuliwa nguo kuwa uchi wa mnyama kama walivyofanyiwa Chadema ktk kesi ile ya kusingiziwa?

..Au ni mara ngapi WANAWAKE wa CCM wamewahi kupigwa na kujeruhiwa na Polisi mpaka kulazwa hospitali?

Waulize wanaokwenda magereza mzee!

CCM hawez kuzuiwa mkutano kwa sababu za kiusalama na wakalazimisha

Kwa nini polisi waatumia nguvu?

MWISHO SWALA NI KWA NINI MNAKAZANIA MBOWE SI GAIDI WAKATI KESI IPO MAHAKAMANI?
 
..Wewe si unasema hakuna double standards?

..Sasa mimi nakuonyesha kwamba polisi na mahakama mara nyingi huwa hawatendi haki kwa Chadema.
Onesha ili nami nikose imani na Mahakama.

Niambie ni wapi mahakama iliwaonea nje ya taratibu za kisheria
 
Hakuna vurugu Tanzania? Kufanya mikutano sio vurugu😂 mna jaribu kuweka vitu ambavyo havipo yaani watu wafanye mikutano yao huko kwasababu tu ni upinzani ni vurugu tueleze vurugu iko wapi?
kuchora kuta za watu siyo vurugu?

Kuja mahakamani na mabango "SIYO GAIDI" siyo vurugu hizi?
 
Waulize wanaokwenda magereza mzee!

CCM hawez kuzuiwa mkutano kwa sababu za kiusalama na wakalazimisha

Kwa nini polisi waatumia nguvu?

MWISHO SWALA NI KWA NINI MNAKAZANIA MBOWE SI GAIDI WAKATI KESI IPO MAHAKAMANI?

..Na CCM kwanini mnakazania kwamba Mbowe ni gaidi wakati kesi iko mahakamani?

..Uzoefu wa kesi nyingi za kubambikiwa ndio zinazowafanya wana CDM waamini kuwa Mbowe amebambikiwa kesi ya ugaidi.
 
Mahakama ikimtia hatiani mtasemaje?

Mnajiandaa kisaikolojia kulalamika kwa watanzania?
 
Mmmejuaje za kubambikwa?
kwenye kesi kuna mawili , HATIA au HURU.

Wengi tu wameachiwa huru si wanachadema peke yao. Hata watanzania wengi wanaachiwa huru kila siku. Hata huko Marekani ipo hivyo. Msijione special.

Walaumuni Polisi, jambo likiwa mahakamani mtulie na kufuata taratibu za kisheria siyo Vurugu
 
Waulize wanaokwenda magereza mzee!

CCM hawez kuzuiwa mkutano kwa sababu za kiusalama na wakalazimisha

Kwa nini polisi waatumia nguvu?

MWISHO SWALA NI KWA NINI MNAKAZANIA MBOWE SI GAIDI WAKATI KESI IPO MAHAKAMANI?

..kwanini wanaozuiwa ni chadema na wapinzani, lakini CCM hawazuiwi?

..Mfumo wa vyama vingi upo kwa miaka 26 na sijawahi kuona wala kusikia mkutano wa CCM umezuiwa kwasababu zozote zile.
 
..kwanini wanaozuiwa ni chadema na wapinzani, lakini CCM hawazuiwi?

..Mfumo wa vyama vingi upo kwa miaka 26 na sijawahi kuona wala kusikia mkutano wa CCM umezuiwa kwasababu zozote zile.
Kwa sababu wakiombwa kibali na wakinyimwa Hawalalamiki kwenye Mitandao kama CDM
 
Mmmejuaje za kubambikwa?
kwenye kesi kuna mawili , HATIA au HURU.

Wengi tu wameachiwa huru si wanachadema peke yao. Hata watanzania wengi wanaachiwa huru kila siku. Hata huko Marekani ipo hivyo. Msijione special.

Walaumuni Polisi, jambo likiwa mahakamani mtulie na kufuata taratibu za kisheria siyo Vurugu

..Polisi na mahakama wanadhulumu wapinzani kwa niaba ya CCM.
 
Kina nani hao, unawajua au unasema kwa hisia...

Kesi ya kusingiziwa , unamaanisha mahakama inawahukumu huku wamesingiziwa?

Siyo mahakama ilimuachia huru MDUDE CHADEMA NA KUSEMA ALIKUWA FABRICATED NA JINAI ?

Au leo mnakosa imani na mahakama tena?
Screenshot_20210820-201711_1.jpg

Halafu nyie watu akili zenu mnaficha matakoni haya huyo mama yenu alisema kuna kesi za kubambikiziwa
 
Sijaongelea Criminal Procedures mkuu.

Nimebaki na kesi Mahakamani. Sijataka kudeal na PGO walah!

Utaratibu kama haukufuatwa wakati wa ukamataji, ni "ni sehemu ya Reasonable Doubts" zitamsaidia yeye wakati wa utetezi.

Tumefika hapa wapi?.. Mtuhumiwa wa ugaidi anaweza kuwa yeyote yaani Kiongozi wa dini, Waziri, Mfanyabiashara, Mwanasiasa na yeyote yule. NO EXCUSES. Lakini je CDM mnapaswa kuipangia polisi nani wamtuhumu na nani wasimtuhumu?

Time of arrest nayo inaondoa Criminality ya Mbowe?. Kama inaondoa basi iende mahakamani mkuu.

Kupekuliwa upo sawa, wakikokosea kumpekua si ushahidi utakuwa batili, shida iko wap?
Q see below
Nachopinga ni hizi Stunts na Mmemes za "SIYOGAIDI" na kuchorachora Mali za watu.

NI UTOTO, UJINGA NA UPUMBAVU
Mkuu upo vizuri sana, ili chadema kiweze kujijengea sifa nzuri na kionekane chama Cha kufuata Sheria lazima tuhuma hizi kikazishinde mahakamani na sio kutaka mtu aachiwe kwa maandamano wakati polisi wamesema mkiti wao ana kesi ya Kujibu.
 
Hawatambui hilo Mkuu.

Wao ndo walitaka Makonda ashatakiwe, wakataka Ally Hapi naye ashtakiwe.
Why just kwa sababu wanawachukia.

Mwenyekiti wao wanamfanya untouchable wakati issue iko mahakamani. Wanakosea sana.

Wakishindwa au kuelemewa wanashambulia mahakimu na majaji, wakishinda kesi wanasifu na kutukuza mahakama.

Mahakama iko imara na ndio maana wanashinda kesi nyingi sana mabazo polisi wanawapelekea.

Kama Police wanawaonea wanaweza kuwafungulia mashataka pia.
 
Back
Top Bottom