Kitendo cha kumpa Mbowe privilege kuwa hastahili kushtakiwa kwa ugaidi si sawa kisheria na ni kinyume na dhana ya "Equality before the law"

..kama ccm ni untouchable basi chadema nao wawe untouchable.

..hii habari ya chadema kuhangaishwa na makesi kila kukicha huku ccm wakifanya wanavyotaka sio sahihi.
 
..kama ccm ni untouchable basi chadema nao wawe untouchable.

..hii habari ya chadema kuhangaishwa na makesi kila kukicha huku ccm wakifanya wanavyotaka sio sahihi.
Nani hafuati maelekezo na makatazo ya vyombo vya dola na mamlaka husika
 
makosa ya makonda huyajui? vipi ule ujambazi wa Clouds Media huo tuunatosha je mengine ambayo watu wamekaa kimya,na huwa nacheka sana nikikumbuka kupimana mkojo kuliishia wapi! hahahaha bongo bwana dah
 
Una uhakika?

Kwa nini Mawingu hawajafungua hiyokesi?
 
Si angalau angelikuwa ametenda hilo kosa !!

Mambo haya yakupotezeana malengo na muda si sawa. Hasa wanaokufanyizia ni wale unaowapinga kisiasa.

Wenye mamlaka wa ki Africa bure kabisa. Samia alipoingia madarakani aliamuru kesi zote walizobambikizwa watu kipindi cha Maghufuli zifutwe. Na kweli kesi zimefutwa nyingi kwa mdomo wake . Kumbe ni kwa sababu hayo yalifanyika kipindi cha Maghufuli. Alipoona anakabwa yeye kwenye utashi wake ndiyo haya yanayotokea leo.

Mbowe kabambikwa kesi si kwa sababu ametenda ugaidi. Bali ni kwa sababu amekaidi agizo la Rais la kuendelea kuhamashisha mjadala wa katiba mpya Rais akiwa hataki .

Katiba ya 1977 ni mbaya inamuumba mungumutu asiyehojiwa (rais).
 
Mkuu Subiri uamuzi Mahakama aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…