Uchaguzi 2020 Kitendo cha kuzima mitandao ya kijamii kitawagharimu kura nyingi sana CCM

Jamani Wenzangu Mnapata Wastup????

MAMBO GANI HAYA YA KIENYEJI??? SASA hilo Linasaidia kupiga kura??? Au linasaidiaje kushinda?? TCRA ndio nn hiki??
 
Ni kweli ila taarifa kuwa mitandao imefungwa zinawafikia wengi.
Tukio lolote baya kuhusu uchaguzi husambaa bila kujali mitandao.
Ni rahisi watu kuamua kutopiga kura na hii ina madhara.
Na kusema kweli wenye smartphone si haba kihivyo. Na ujue simu moja yaweza kuangaliwa na watu wengi kukiwa na tukio la ajabu.
Nyumbani simu ya mama yaweza kuangaliwa na wote wa familia na hata jirani.
Tusichukulie tu kirahisi.

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Suala la kuzimwa kwa internet katika kipindi hiki adimu kinachohitaji uhuru binafsi wa mawazo na utashi binafsi wa mwananchi kwa kiongozi anaeona ni sahihi kwake kumpigia kura ni jambo la msingi sana na pia litapunguza habar za uzushi na uchonganishi kwa watz na kupelekea uchaguzi tunaoufanya leo hii kuwa wa haki na wa amani bila mashinikizo na ushawishi wa watu wanaowaza maslahi yao binafsi kupitia uchaguzi huu .mungu ibariki Tz
 
Kwa Tanzania watu ni watulivu na wanapenda maelewano popote ukienda.
Mambo ya uvunjivu wa amani huvhochewa na wanasisa. Tatizo huanzi pale haki inapominywa. Tuombe tu kila mwenye kutaka amani azingatie haki.
Hakika haki ikiwepo hapana hofu na amani itatamalaki

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Kwanini msimwanbie kigogo ahack tcra? Yeye si bingwa wa kuhack hadi tume?

Aliwalisha matangopori na mlivyo vichwa nazi mkaamini selikali haina la kufanya.

Hii ni nchi nadhani mmeona sasa kwamba tz ni kubwa kuliko kigogo
Wewe unashabikia nini ?!
Mbona hapa unatumia hiyo hiyo mitandao kuleta ujinga wako ?!.
 
Hii kitu inaboa bhan
 
Bahati mbaya tuna vigezo vingi vya kupima wakati wa kufanya uamuzi wa kumpigia kura mgombea mbali na hizi iternet .sidhani km mawazo yako yanaweza kubalika kwa kila mtu maana hili ni suala tu la siku moja au mbili na baadae litarejea lakin kuna mengine ukikosea kuchagua utayakosa kwa miaka mitano.nadhani la msingi ifanye siku hii ni maalumu ya kukusaidia kufanya maamuzi yako binafsi sahihi bila kuingiliwa na utashi wa mtu mwingine au propaganda za mtu mwingine,kampeni zimefanyika umesikiliza na tayar umeamua wa kumchagua bila kusubir maelekezo ya mtu.
 
Baada ya kukosa watsap tangu jana nikawa napitia pitia tu vitabu na baadae Katiba na nikakutana na hiki kitu;

Nimekosa Amani sana dahh sijui itakuwaje miaka mi5 ijayo..namwachia tu Mungu🙏🏽
 
Hapa nilipo Mitandao yote ni shida,Sijajua kuhusu simu tunazopiga sehemu mbalimbali usalama upoje?
 
Hujui tu umuhimu wa kufanya hivi! Kuna vijana wendawazimu wengi Sana waneokolewa na kipondo Cha mbwa mwizi kea kushawishiwa na mashoga kuvunja Sheria! Reconciliation utafanya hata siku nyingine bana muhimu ni uhai na amani Basi! Twende tukamchague JPM kazi ya kuibadiri nchi na Kuwa Kama ulaya iendelee!
Ubarikiwe mkuu!
 
Hapa nilipo Mitandao yote ni shida,Sijajua kuhusu simu tunazopiga sehemu mbalimbali usalama upoje?
Usalama gani Tena🤔!? We pigs sing Kama kawa ilimradi usihamasishe uvunjifu wa amani! Pia nakyomba mkuu ukamchague jiwe, chuma JPM kazi iendelee!
 
Acha hizo, hili taifa limeongizwa na CCM chini ya marais mbLimbali tatizo ni pale mnapomhukumu JPM kea makosa ya Mwinyi, JK, na mkapa! Hiki chuma JPM ndio habari ya mjini, kitundu na mashoga wataendelea isoma namba!
 
Hakika, binafsi pia nimeona ni jambo la kipuuzi kabisa,sipendi kuandika sana,ila hili limenilazimu..mbona kama kumekuwa na uoga mkubwa saana???
"UKIKAZA SANA HUWA INAKATIKA"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…